Kuelekea robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika, ungependa Simba SC apangwe na Timu Ipi Hapa

Mkuu, utamkwepa robo fainali Je..! itakuwaje ukifanikiwa kutinga nusu fainali na ukakutana naye. La msingi nikujiandaa vilivyo kuweza kumkabili yeyote.
Ni kweli kabisa bora kupambana tu
 
Kwanini Tp Mazembe ikutane na Simba SC?
simba itakutana na yoyete kati ya
tp mazembe wakali wa drc
wydad kasablaka wakali wa moroco
expirence de tunisi wakali wa tusia
hivyo bac aombe mungu asikutane na hao watunisia ni moto wa kuotea mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…