Uchaguzi 2020 Kuelekea siku ya kupiga kura, Mzee Butiku apindua meza kibabe

Uchaguzi 2020 Kuelekea siku ya kupiga kura, Mzee Butiku apindua meza kibabe

Mzee anaulizwa swali juu ya chanzo cha uwoga, anatoa sababu nyepesi kweli bila kuangalia kwa kina mila, desturi, na government systems.
Kama ni ujinga mbona mpaka ma-profesa wameshikwa na woga? Au alikuwa anamaanisha 'upumbafu'?
 
Ndugu yake Nyerere ndie chanzo cha uoga,kwa kuwanyima watz exposure ya kuwazuia kutoka nje na alifanikiwa Sana kwenye mind control sababu hakukuwepo kwa mitandao.
 
Mzee Meko lazima apigwe stop, hili si taifa la kupewa matamko na taasisi za kimatafa kuhusu Demokrasia na haki za binadamu. Kuna sehemu tumejikwaa.

Miaka 5 imemtosha!! tunataka kujenga taifa letu lirudi kwenye misingi ya Upendo, Haki na Kuheshimiana regardless itikadi zetu za vyama.
 
Wazee wanafiki sana hawa.na wana wivu...kipind wako madarakan walifanya nini cha maana.
 
Back
Top Bottom