Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,666
- 847
Ni kosa kubwa sana kuilinganisha ccm na chadema. CCM ni chama kikongwe sana na kina unafuu wa kuwa madarakani. CHADEMA ni sawa na sugura tu. Kadogo ila kana akili nyingi kuliko mamajinuni wa ccm na kukaa kwao madarakaniMpaka sasa Chadema imeongozwa na wenyeviti watatu, lakini ccm yenye miaka mingi mpaka sasa imeongozwa na wenyeviti watano tu, kama kichwani kwako kuna angalau ubongo uliobakia hebu fikiria hapo.