Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Naona kwa sasa wameanza kuyatafuta nje ya CCM!
Mzee anaulizwa swali juu ya chanzo cha uwoga, anatoa sababu nyepesi kweli bila kuangalia kwa kina mila, desturi, na government systems.
Kama ni ujinga mbona mpaka ma-profesa wameshikwa na woga? Au alikuwa anamaanisha 'upumbafu'?
Baada ya CCM kuwa mfukoni mwa mtu mmoja.Naona kwa sasa wameanza kuyatafuta nje ya CCM!
Nyundo 4 zinazomuondoka Magu magogoni eeeeh.Magufuli aliona Watanzania wenzake Ni waoga, ndio maana anadhulumu haki mchana kweupe.
Haki ya wafanyakazi kuongezewa mshahara...