Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo na ...

Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo na ...

Naunga mkono hoja, Rais Samia amethibitisha kuna vitu wanawake wanaweza kufanya vizuri kushinda hata wanaume!.
Big up sana kwa huyu Mama!.
P
Hata mkokoteni huthaminiwa pale tu ambapo mtu hana gari lakini haimanishi kwamba linakidhi haja La hash ni basi tu kwakuwa hakuna namna ndio tayari familia ina huo mkokoteni tu 😞
 
Wewe P.M unafahamu nguvu ya mwanamke inaanzia wapi?..🤔🤔..
Mkuu Adolph Jr , nguvu ya Mwanamke inaitwa strength of a woman, ilianzia kwa Mwanamke wa kwanza duniani kuumbwa na Mungu mwenyewe, Mama yetu Eva au Hawa, kile alichomfanyia Adam, pale ndio the axis of power, conception hutokea kwa Mwanamke na kiumbe kipya huumbika ndani ya Mwanamke pekee!. That is the most powerful thing!.
P
 
Hata mkokoteni huthaminiwa pale tu ambapo mtu hana gari lakini haimanishi kwamba linakidhi haja La hash ni basi tu kwakuwa hakuna namna ndio tayari familia ina huo mkokoteni tu 😞
We Hardbody wee!... haya!. Nani mkokoteni na nani anaukokota huo mkokoteni?!, maana mkokoteni ni lazima ukokotwe, huyu sio mkokoteni!, hakokotwi!.
P
 
Katika uongo

Tanzania haina wanawake Makomandoo wa jeshi JWTZ anaposema wana uwezo kuliko wanaume anamaanisha nini hasa? Hajafajya utafiti vizuri
Mkuu Yeho, YEHODAYA , angalia hizo bold
Wanabodi,
leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo, kuna wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume, ila wamekuwa wanabaniwa, na wanafunikwa na mfumo dume, wakipewa fursa za kuonyesha uwezo, watafanya makubwa kuliko hata wanaume na mfano hai ni Mwanamke huyu ambaye tayari ameisha onyesha uwezo kuliko mwanaume aliyemtangulia, na akipewa fursa ya kuendelea, ataonyesha uwezo kuliko wale wanaume wanne (put together) waliomtangulia!.

Mifano iko mingi, kuna wanawake wakati wakiwa na waume zao, waliishi maisha ya kawaida, lakini baada ya kufiwa na kubaki wajane, wakafungua nguvu za uwezo, sasa wanaishi maisha mazuri kuliko hata waume zao walipokuwepo.

Japo kazi ni kazi tuu, hakuna kazi za kike wala za kiume, kuna ukweli kuwa kwenye baadhi ya kazi, wanawake wana uwezo nazo kuliko wanaume,
Natumaini umenipata.
P
 
Mkuu Adolph Jr , nguvu ya Mwanamke inaitwa strength of a woman, ilianzia kwa Mwanamke wa kwanza duniani kuumbwa na Mungu mwenyewe, Mama yetu Eva au Hawa, kile alichomfanyia Adam, pale ndio the axis of power, conception hutokea kwa Mwanamke na kiumbe kipya huumbika ndani ya Mwanamke pekee!. That is the most powerful thing!.
P
Ishi nao kwa akili they are unpredictable.... ata wenyewe hawalitambui hilo...."prove me wrong"
 
Wanabodi

Makala ya leo ni kuhusu fupa fulani, ambapo ukimuondoa Baba wa Taifa aliyetuachia katiba ya Tanzania ya mwaka 1977, marais wanaume wanne, waliofuatia, hilo fupa liliwashinda, maraisi Mwinyi, Mkapa, JK na JPM, walilishindwa fupa hili, lakini sasa tuna rais Mwanamke mmoja tuu, Samia Suluhu Hassan ameisha onyesha kila dalili anakwenda kulishinda hili fupa la katiba lililowashinda marais wanaume wanne, yeye ni Mwanamke mmoja tuu anaweza!

Paskali
Hii ngoma inatua Bungeni asubuhi hii baada ya kipindi cha maswali na majibu Lile fupa lililowashinda marais wanaume 4, rais mwanamke 1 aligegeda kama mlenda!. Miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa letu yatua bungeni asubuhi hii

Hivyo tukubali, tukatae, baadhi ya wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume!.
P
 
Makala ya leo ni kuhusu fupa fulani, ambapo ukimuondoa Baba wa Taifa aliyetuachia katiba ya Tanzania ya mwaka 1977, marais wanaume wanne, waliofuatia, hilo fupa liliwashinda, maraisi Mwinyi, Mkapa, JK na JPM, walilishindwa fupa hili, lakini sasa tuna rais Mwanamke mmoja tuu, Samia Suluhu Hassan ameisha onyesha kila dalili anakwenda kulishinda hili fupa la katiba lililowashinda marais wanaume wanne, yeye ni Mwanamke mmoja tuu anaweza!

Hivyo wanawake wana uwezo kuliko wanaume kama wakipewa nafasi,

Paskali

Hii ni zawadi yangu kwa Birthday ya Mama leo, nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,

Ili zawadi hii iwe na manufaa kwake, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze kutumika mwaka kesho?.

Zawadi yenyewe ni Salaam tuu za Birthday zenye ki parcel fulani!

HBD Mhe. Rais Samia kwa kutimiza miaka 64!, nakupongeza sana na kukuombea afya njema!.

Mwakani 2025 utakuwa unatimiza umri wa miaka 65 na 2030 utakuwa na umri wa miaka 70, hivyo zawadi yangu ya pekee kwako ni HII na kukusisitizia, sio lazima kuizingatia saana kivile, ila ni muhimu kuisikiliza na kujisikilizia kama na wewe pia uliambiwa kama nilivyoambiwa mimi, kwasababu yule YEYE, sometimes ana tabia na mtindo wa kuwaambia watu wake, kupitia kwa watu wengine!, hivyo just listen and try to make sense of this, a think about it, if makes any sense to you, ikitokea it doesn't make any sense to you, then dismiss it as just another set of crap!.

Ila ikitokea na wewe pia uliambiwa, but you are not very sure kama ni YEYE au ni yeye, then don't take a chance!, usipuuze!, maana hicho kitu chenyewe, is nothing compared!.

If this being the case, then tunakuomba sana sana sana, ututekelezee haya mambo tunayokulilia nayo tangu umeingia kwenye usukani, tekeleza tuu yale yaliyomo ndani ya uwezo wako, maana kusubiria post 2025, it might be too little too late!. Please Mama!.

Na ikitokea wewe hujaambiwa mpaka 2025 inaingia na hujawahi kuambiwa na mtu mwingine yeyote, then ipuuze HII itakuwa sio sauti yake YEYE bali itakuwa ni sauti ya yeye tuu ambaye sio YEYE!.

Hivyo endelea na ule mpango wako wa 2025!, na Watanzania wanaolitakia mema taifa letu hili, wote tutakuwa Tuko nyuma yako,
Tuko pamoja nawe,
Tuko nawe!.

Mungu Akubariki Sana!.
HBD Mamaa!.

Yaani hapa ujumbe kwa ufupi ni kwamba mama Abdul, using'ang'anie kugombea 2025. Mwachie mwingine.
Ova.
 
Wanabodi,
Hii ni Makala ya Nipashe ya Leo.
View attachment 2538222View attachment 2538228Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo, kuna wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume, ila wamekuwa wanabaniwa, na wanafunikwa na mfumo dume, wakipewa fursa za kuonyesha uwezo, watafanya makubwa kuliko hata wanaume na mfano hai ni Mwanamke huyu ambaye tayari ameisha onyesha uwezo kuliko mwanaume aliyemtangulia, na akipewa fursa ya kuendelea, ataonyesha uwezo kuliko wale wanaume wanne (put together) waliomtangulia!.

Mifano iko mingi, kuna wanawake wakati wakiwa na waume zao, waliishi maisha ya kawaida, lakini baada ya kufiwa na kubaki wajane, wakafungua nguvu za uwezo, sasa wanaishi maisha mazuri kuliko hata waume zao walipokuwepo.

Japo kazi ni kazi tuu, hakuna kazi za kike wala za kiume, kuna ukweli kuwa kwenye baadhi ya kazi, wanawake wana uwezo nazo kuliko wanaume, ikiwemo ile kazi ya uumbaji wa kiumbe kipya, japo hufanywa kwa ushirikiano wa jinsia mbili, lakini uumbikaji wa kiumbe kipya kinaumbikia ndani ya jinsia ya kike pekee, hivyo ni mwanamke pekee ndiye huweza kuumba na kuleta kiumbe duniani!, hivyo Mwanamke ana uwezo kuliko mwanaume!.

Na baada ya kiumbe mpya kuzaliwa, kazi ya ulezi wa mwanzo, ya kunyonyesha, hufanywa na wanawake tuu, na kupeleka wanawake kuwa ndio walezi bora wa familia, hivyo kazi zote za kulea watoto wadogo hufanywa na wanawake!.

Tena wanawake hawaishii kwenye ulezi wa watoto wadogo tuu, na familia, bali hulea hata yule 'mtoto mkubwa' wa familia ambaye anatambulika kama kichwa cha nyumba au nguzo ya familia kwa pale sebuleni tuu, kibarazani, kiambazani na mitaani, lakini chumbani, mtoto mkubwa naye pia analelewa tuu kama mtoto!.

Hivyo hakuna ubishi kuhusu uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo, wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume kwenye mambo mengi tuu, hata katika uongozi. Tena ni ukweli usiofichika kuna baadhi ya kazi zinazohitaji miguvu, zinawafaa zaidi wanaume kuliko wanawake, ila kuna wanawake wana maumbile ya kike lakini wana nguvu kuliko wanaume na wanaweza kufanya kazi zote za kiume, na wakati huo huo, kuna wanaume wana maumbile ya kiume lakini ni walaini kupita hata wanawake!, hawawezi kufanya kazi za kiume!.

Sii wengi wanaojua kuwa baada ya uumbaji wa Mungu kuwaumba Adamu na Eva, au Adam na Hawa, mtu wa kwanza kabisa kufanya kazi ni Mwanamke, ile kazi ya kuchuma tunda, kulikofanywa na Eva au Hawa, akampelekea tunda Adamu na kumfundisha jinsi kula lile tunda ndipo Adamu akala na hii ndio kazi ya kwanza kabisa duniani ikiitwa the oldest professional.

Mwanamke ndie pekee anaweza kufanya kazi zote!, ila kuna kazi fulani fulani wanawake wanazifanya vizuri kuliko wanaume zikiwemo kazi za ndani, uhudumu, mapokezi, fashion shows, kudance kwenye clubs, wahudumu wa mabaa etc.

Kuna kazi mfumo dume umezipachika kuwa ni kazi za kike, zikiwemo upishi, ubunifu wa mavazi, ususi na kazi za kuremba wanawake, lakini imetokea ma Chef's wote wa hoteli kubwa kubwa ni wanaume!, wabunifu wakubwa wa mavazi ni wanaume, hata warembeshaji wakubwa na sasa wasusi ni wanaume!.

Nenda saloon za kike ushuhudie idadi ya wasusi wa Kikongomani, au pita pale Mwenge Jumamosi asubuhi ushuhidie jinsi morani wa Kimasai wanavyokula tenda za kuwasuka rasta dada zetu!.

Huu mfumo dume umepelelea baadhi ya nafasi kupewa majina ya kiume mfano Boss ni jina la kiume, boss akiwa ni Mwanamke anaitwa The Boss Lady, lakini mabosi wa kike wanapenda kuitwa Boss, na wafanyakazi wengi wana prefers Boss awe mwanaume na sio Mwanamke., maana boss akiwa ni Mwanamke, kuna watu wanakoma!.

Pia nafasi kama ya Chairman/Mwenyekiti, ni jina la kiume, akiwa mwanamke alipaswa kuitwa Chairwoman ila ikaonekana hainogi, hivyo Mwenyekiti akiwa mwanamke anaitwa Chairperson.

Hata cheo cha President na Amiri Jeshi Mkuu kilidhamiriwa kuwa ni cheo cha mwanaume, l mwanamke anaitwa Amirati, ila hata Amiri Jeshi Mkuu anapokuwa Mwanamke, hapendi kuitwa Amirati ana prefers kuendelea kuitwa hivyo hivyo Amiri ambalo ni jina la kiume au chairman badala ya Chairwoman or chairperson.

Makala ya leo ni kuhusu fupa fulani, ambapo ukimuondoa Baba wa Taifa aliyetuachia katiba ya Tanzania ya mwaka 1977, marais wanaume wanne, waliofuatia, hilo fupa liliwashinda, maraisi Mwinyi, Mkapa, JK na JPM, walilishindwa fupa hili, lakini sasa tuna rais Mwanamke mmoja tuu, Samia Suluhu Hassan ameisha onyesha kila dalili anakwenda kulishinda hili fupa la katiba lililowashinda marais wanaume wanne, yeye ni Mwanamke mmoja tuu anaweza!

Hivyo wanawake wana uwezo kuliko wanaume kama wakipewa nafasi, na mimi naomba kuchukua fursa hii, kuwatakia wanawake wote maandalizi mema ya siku ya wanawake Duniani hapo Machi 8.

Paskali
Leo ni siku ya wanawake duniani, hizi ni salaam zangu za siku hii, Siku ya Wanawake Duniani: Wanawake Acheni Kubwetekea Kubebwa. Viti Maalumu ni Kubebwa, Je Tuvifute. Wanawake Mjibebe?, Au Mnapenda Uroda wa Kubebwa?.

Nawatakia wanawake wote wa TiZii
Heri ya siku ya Wanawake Duniani.

Tena, by the way, naombeni mnipe pole, tumempoteza mmoja wa wanawake muhimu sana kwenye maisha yangu, tumempoteza mama mzaa Chema wangu, ameitwa kwa Muumba wake, akiwa Babati, tunampumzisha kwenye makao yake ya milele siku ya Jumatatu katika kijiji cha Gendi kwenye malalo ya ukoo wao.

View: https://youtu.be/oezcYCl60OI?si=MI6vvCGOptf82N8b

RIP Mama Nelly.

Pole sana kwa kumpoteza mama Mkuu Pascal Mayalla
 
Back
Top Bottom