Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani: Je Wajua Kuna Wanawake Wana Uwezo Mkubwa Kuliko Wanaume ila Wamekuwa Wanabaniwa!. Hata Huyo Kuonyesha Uwezo na ...

Naunga mkono hoja, Rais Samia amethibitisha kuna vitu wanawake wanaweza kufanya vizuri kushinda hata wanaume!.
Big up sana kwa huyu Mama!.
P
Hata mkokoteni huthaminiwa pale tu ambapo mtu hana gari lakini haimanishi kwamba linakidhi haja La hash ni basi tu kwakuwa hakuna namna ndio tayari familia ina huo mkokoteni tu 😞
 
Wewe P.M unafahamu nguvu ya mwanamke inaanzia wapi?..🤔🤔..
Mkuu Adolph Jr , nguvu ya Mwanamke inaitwa strength of a woman, ilianzia kwa Mwanamke wa kwanza duniani kuumbwa na Mungu mwenyewe, Mama yetu Eva au Hawa, kile alichomfanyia Adam, pale ndio the axis of power, conception hutokea kwa Mwanamke na kiumbe kipya huumbika ndani ya Mwanamke pekee!. That is the most powerful thing!.
P
 
Hata mkokoteni huthaminiwa pale tu ambapo mtu hana gari lakini haimanishi kwamba linakidhi haja La hash ni basi tu kwakuwa hakuna namna ndio tayari familia ina huo mkokoteni tu 😞
We Hardbody wee!... haya!. Nani mkokoteni na nani anaukokota huo mkokoteni?!, maana mkokoteni ni lazima ukokotwe, huyu sio mkokoteni!, hakokotwi!.
P
 
Katika uongo

Tanzania haina wanawake Makomandoo wa jeshi JWTZ anaposema wana uwezo kuliko wanaume anamaanisha nini hasa? Hajafajya utafiti vizuri
Mkuu Yeho, YEHODAYA , angalia hizo bold
Natumaini umenipata.
P
 
Ishi nao kwa akili they are unpredictable.... ata wenyewe hawalitambui hilo...."prove me wrong"
 
Hii ngoma inatua Bungeni asubuhi hii baada ya kipindi cha maswali na majibu Lile fupa lililowashinda marais wanaume 4, rais mwanamke 1 aligegeda kama mlenda!. Miswada 3 ya ukombozi mpya wa taifa letu yatua bungeni asubuhi hii

Hivyo tukubali, tukatae, baadhi ya wanawake wana uwezo mkubwa kuliko wanaume!.
P
 

Hii ni zawadi yangu kwa Birthday ya Mama leo, nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025,

Ili zawadi hii iwe na manufaa kwake, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze kutumika mwaka kesho?.

Zawadi yenyewe ni Salaam tuu za Birthday zenye ki parcel fulani!

HBD Mhe. Rais Samia kwa kutimiza miaka 64!, nakupongeza sana na kukuombea afya njema!.

Mwakani 2025 utakuwa unatimiza umri wa miaka 65 na 2030 utakuwa na umri wa miaka 70, hivyo zawadi yangu ya pekee kwako ni HII na kukusisitizia, sio lazima kuizingatia saana kivile, ila ni muhimu kuisikiliza na kujisikilizia kama na wewe pia uliambiwa kama nilivyoambiwa mimi, kwasababu yule YEYE, sometimes ana tabia na mtindo wa kuwaambia watu wake, kupitia kwa watu wengine!, hivyo just listen and try to make sense of this, a think about it, if makes any sense to you, ikitokea it doesn't make any sense to you, then dismiss it as just another set of crap!.

Ila ikitokea na wewe pia uliambiwa, but you are not very sure kama ni YEYE au ni yeye, then don't take a chance!, usipuuze!, maana hicho kitu chenyewe, is nothing compared!.

If this being the case, then tunakuomba sana sana sana, ututekelezee haya mambo tunayokulilia nayo tangu umeingia kwenye usukani, tekeleza tuu yale yaliyomo ndani ya uwezo wako, maana kusubiria post 2025, it might be too little too late!. Please Mama!.

Na ikitokea wewe hujaambiwa mpaka 2025 inaingia na hujawahi kuambiwa na mtu mwingine yeyote, then ipuuze HII itakuwa sio sauti yake YEYE bali itakuwa ni sauti ya yeye tuu ambaye sio YEYE!.

Hivyo endelea na ule mpango wako wa 2025!, na Watanzania wanaolitakia mema taifa letu hili, wote tutakuwa Tuko nyuma yako,
Tuko pamoja nawe,
Tuko nawe!.

Mungu Akubariki Sana!.
HBD Mamaa!.
Paskali
 
Yaani hapa ujumbe kwa ufupi ni kwamba mama Abdul, using'ang'anie kugombea 2025. Mwachie mwingine.
Ova.
 
Leo ni siku ya wanawake duniani, hizi ni salaam zangu za siku hii, Siku ya Wanawake Duniani: Wanawake Acheni Kubwetekea Kubebwa. Viti Maalumu ni Kubebwa, Je Tuvifute. Wanawake Mjibebe?, Au Mnapenda Uroda wa Kubebwa?.

Nawatakia wanawake wote wa TiZii
Heri ya siku ya Wanawake Duniani.

Tena, by the way, naombeni mnipe pole, tumempoteza mmoja wa wanawake muhimu sana kwenye maisha yangu, tumempoteza mama mzaa Chema wangu, ameitwa kwa Muumba wake, akiwa Babati, tunampumzisha kwenye makao yake ya milele siku ya Jumatatu katika kijiji cha Gendi kwenye malalo ya ukoo wao.


View: https://youtu.be/oezcYCl60OI?si=MI6vvCGOptf82N8b
RIP Mama Nelly.

Paskali
 
Pole sana kwa kumpoteza mama Mkuu Pascal Mayalla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…