Kuelekea Trump kushinda, Tazama video za nyomi la wapiga kura wa Trump. Media hawataki uzione

Vipi huko pia wamezima mitandao na watu wameingia kwenye vituo na kura feki au mawakala wamefukuzwa vituoni.

Sisi hatuna haja ya kufanya uchaguzi tunafanya maigizo tu, tungemuacha huyu muhuni atawale tu kisha vikwazo vimuondoe.
 
Biden na Democratic yake wanasupport mpaka ushoga, usagaji n.k

Wakishaanza kusupport huko watainfluence zaidi mpaka huku mataifa ya walala hoi, itaathiri mpaka watoto wetu wa kiume.

Demokrasia ikizidi inaharibu

May God bless D.Trump & his motives

Yaani unadhan kwa nchi za Ulaya na Marekani mgombea anaweza kukatawaliwa eti anaunga mkono ushoga. Ushoga kule kwao is not a big deal na ndo kwanza mgombea huyo ataungwa mkono kabisa kwa kutetea haki za watu wote. Kule hata shoga maarufu anaweza kuwa Rais
 
Unafuatilia siasa za Marekani kweli?

Sio kweli unachosema, wapo watu wengi sana ulaya wanampinga Biden kwaajili hiyo, misimamo yao ni tofauti na inapinga LGBT kama ilivyokuwa wakati wa B. Obama, wakiongozwa na Frank Graham

Ingia Twitter ndio utapata statistic nzuri
 
Biden na Democratic yake wanasupport mpaka ushoga, usagaji n.k

Wakishaanza kusupport huko watainfluence zaidi mpaka huku mataifa ya walala hoi, itaathiri mpaka watoto wetu wa kiume.

Demokrasia ikizidi inaharibu

May God bless D.Trump & his motives
Trump tena.
 
....hivi uko kwa wenzetu hakunaga bendera za vyama kama CCM au chadema...kama zpo naomba zitumwe..
 
Kwan marekan Nan yupo kama ccm na Nan yupo kama chadema ili niweze kutabil mshind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…