Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biden na Democratic yake wanasupport mpaka ushoga, usagaji n.k
Wakishaanza kusupport huko watainfluence zaidi mpaka huku mataifa ya walala hoi, itaathiri mpaka watoto wetu wa kiume.
Demokrasia ikizidi inaharibu
May God bless D.Trump & his motives
Yaani unadhan kwa nchi za Ulaya na Marekani mgombea anaweza kukatawaliwa eti anaunga mkono ushoga. Ushoga kule kwao is not a big deal na ndo kwanza mgombea huyo ataungwa mkono kabisa kwa kutetea haki za watu wote. Kule hata shoga maarufu anaweza kuwa RaisBiden na Democratic yake wanasupport mpaka ushoga, usagaji n.k
Wakishaanza kusupport huko watainfluence zaidi mpaka huku mataifa ya walala hoi, itaathiri mpaka watoto wetu wa kiume.
Demokrasia ikizidi inaharibu
May God bless D.Trump & his motives
Kinachonisaidia mimi binasfi ni ile furaha ya Trump kushinda🤣Hivi akishinda Trump ama asishinde, wewe kama Mtanzania inakusaidia nini....jiulize tu.
Sera za Raisi yeyote wa Marekani zina maslahi chanya au hasi kwa nchi maskini (utasema sisi ni uchumi wa kati)Hivi akishinda Trump ama asishinde, wewe kama Mtanzania inakusaidia nini....jiulize tu.
Unafuatilia siasa za Marekani kweli?Yaani unadhan kwa nchi za Ulaya na Marekani mgombea anaweza kukatawaliwa eti anaunga mkono ushoga. Ushoga kule kwao is not a big deal na ndo kwanza mgombea huyo ataungwa mkono kabisa kwa kutetea haki za watu wote. Kule hata shoga maarufu anaweza kuwa Rais
True!move to another platform.Hopeless comment, hili ni jukwaa la international kama unaona mambo hauna intests nayo kaa pembeni tu
Huyo ana impact kwako kuliko magu fuli,akiamua kupaisha bei ya mafuta magu fuli na wewe mtabaki mmekodoa macho kama mijusiHivi akishinda Trump ama asishinde, wewe kama Mtanzania inakusaidia nini....jiulize tu.
Mpaka sasa Biden ana 119 Trump ana 92
Trump tena.Biden na Democratic yake wanasupport mpaka ushoga, usagaji n.k
Wakishaanza kusupport huko watainfluence zaidi mpaka huku mataifa ya walala hoi, itaathiri mpaka watoto wetu wa kiume.
Demokrasia ikizidi inaharibu
May God bless D.Trump & his motives
Daah Trump sijui kama atatoboakwaheri bw Trump
Biden ana 194 na Trumph ana 114 kati ya 270, Trumph huenda asipite
Inasikitisha Aisee yani hapa naanza kushikwa na panic attacks. Dah Jesus mtu wangu yani unamkacha Trump hivix2Daah Trump sijui kama atatoboa
Acha kutusumbua Ingia Google wewee wood packer....hivi uko kwa wenzetu hakunaga bendera za vyama kama CCM au chadema...kama zpo naomba zitumwe..
Acha kujitetea wewee kilaza...tulia wenye ujuzi wajibuAcha kutusumbua Ingia Google wewee wood packer
Tulia wewee nut cracker. Usijingize kwenye mijadala ya waliokuzid kiumri na fedha.Acha kujitetea wewee kilaza...tulia wenye ujuzi wajibu