Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Mwaka 2025 Mwigulu atakuwa ameharibu sana sana Kuna wapinzani wake ndani ya Chama wamejiandaa kivyote vyote. Wapo ambao watamwaga rushwa na wapo ambao watatumia ndumba. Ndumba za Mwenyekiti wa Halmashauri Mande Kapendo au Innocen Msengi hazitafua dafu. Huyu mwaka 2025 hatoboi labda ateuliwe Ubalozi. Wameshajipanga watu hawawezi kuongozwa na Mbunge mmoja eti miaka 20. Upuuzi kabisa huu!
Rushwa ya wazi kabisa hii!
Mwigulu na rushwa ni uji na mgonjwa
Mwaka 2025 Mwigulu atakuwa ameharibu sana sana Kuna wapinzani wake ndani ya Chama wamejiandaa kivyote vyote. Wapo ambao watamwaga rushwa na wapo ambao watatumia ndumba. Ndumba za Mwenyekiti wa Halmashauri Mande Kapendo au Innocen Msengi hazitafua dafu. Huyu mwaka 2025 hatoboi labda ateuliwe Ubalozi. Wameshajipanga watu hawawezi kuongozwa na Mbunge mmoja eti miaka 20. Upuuzi kabisa huu!
Mwigulu bana wa kumtoa hajapatikana,Mkoa wa Sgd majimbo mengi yanamtaman,Na Icon ya mwigulu inawasumbua saana wabunge wengine wa mkoa wa sgd,Kwa sabb wanalinganishwa nae na amewaaacha mbali,Siasa ya IRAMBA achieni wanyuramba wenyewe,Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi na Waziri wa fedha Mhe. Dkt. Mwigulu L. Nchemba anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya kukabidhi mitungi ya gesi na majiko kwa mama lishe baba lishe, VEO na WEO. Januari 6,2024
View attachment 2864180