SILENT WHISPER
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 2,209
- 822
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndiyo nini hicho mkuuWameona hawajapigana muda mrefu toka Idd Amin sasa wanataka kuanzisha vita na wananchi wanaowalinda. Ila hawa jamaa si wapo jirani na yule mwenye kipetupetu inawezekana jamaa kamtangazia kuingia msituni kama Makame akimzingua kumtangaza!!! Hahaaa, kanyaga twende no retreat no slender"
[FONT=Arial, sans-serif]Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Tanzania vimewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kukubali matokeo ya uchaguzi mkuu yatakayotangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi NEC na kutothubutu kupinga matokeo hayo na kusababisha vurugu.[/FON
.[/SIZE][/FONT]
Hii kauli ya shimbo inakihusu zaidi chama cha ccm kwani ndio chama chenye kauli mbiu kwamba ushindi ni lazima. Maana yake ni kwamba hata wakishindwa hawapo tayari kukubali matokeo. Ccm mwaka huu imeshikwa pabaya kiwewe kimewaingia, hawawezi tena hata kupambanua lipi ni lipi. Jeshi la Tz ni la wananchi hivyo halina budi kuyaheshimu matakwa ya wananchi. Likinasa katika mtego wa kikundi cha watawala wachache basi lijue linakosa ridhaa ya wananchi na hivyo lijiondoe kabla ya kuondolewa na nguvu za wananchi hao hao.
Hapo ndipo unapokosea kuzani jesha la sasa la TZ ni la wananchi, labda kuruta wake tu; wakubwa wote ni kina-KOMBA
sema tumechoka tu, bora watuumize lakini ujumbe utakuwa umefika
Wana JF,
Mie sioni dalili yoyote ya vita bali vurugu za hapa na pale tuu ndio zaweza tokea, Sielewi jeshi latokea wapi kura tuuu ndio zifanye Jeshi kutoa tahadhari?? hawajwasaidia wezao police kuzuia ujambazi na uhalamia wa majini huko na wanowinda wanyama porini jamani lets get this streaght uchaguzi utafanyika vyema tuuu ila najua kuibiana kwenye kura ndio kuta kuwa kukubwa sana ati.
Nime gundua kwenye siasa ndipo watu wanajitoa makucha ila kwenye issue kama EPA,MEREMETA,KAGODA watu hawasemi na JESHI lilikuwa wapi kusema nchi inakokwenda siko viongozi wanafuja mali ya nchi? why now during the election ndio watoe tamkooo??
[FONT=Arial, sans-serif]Hii nimeipata sasa hivi
[/FONT]
[FONT=Arial, sans-serif]
[/FONT]
[FONT=Arial, sans-serif]Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Tanzania vimewataka viongozi wa vyama vya siasa nchini kukubali matokeo ya uchaguzi mkuu yatakayotangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi NEC na kutothubutu kupinga matokeo hayo na kusababisha vurugu.[/FONT]
[FONT=Arial, sans-serif]Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ Luteni Jenerali Abdurahmani Shimbo ametoa tamko hilo leo Jijini Dar-Es-Salaam kufuatia kuwepo kwa taarifa za vyama vya kisiasa kujiandaa kukataa matokeo yatakayotangazwa na tume ya uchaguzi. [/FONT]
[FONT=Arial, sans-serif]Luteni Jenerali Shimbo amesema vyombo vya usalama vimejipanga kukabiliana na hali yoyote ya vurugu ambayo itajitokeza na kuwaonya watu kutoshiriki katika vurugu zozote baada ya kutangazwa matokeo.[/FONT]