Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Ipo haja Baraza la Usalama wa Taifa kutafakari

Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Ipo haja Baraza la Usalama wa Taifa kutafakari

Kuleta nukuu za Nyerere hapa ndipo ulipovuruga. Nyerere ndiye aliyetuletea CCM, chama ambacho kimetufisha hapa Watanzania. Ni bora tungeendelea kutawaliwa na wakoloni baadae tupate uhuru halisi kuliko uhuru wa Nyerere uliojaa magumashi 🤔
 
President Nyerere ni strong stateman na SIO ICON,nchi nyingi zinafanya chaguzi zake mwaka huu,ninaufuatilia uchaguzi wa SA hapo 29th May,campaigns zenye uhuru zimetamalaki na nimeshangaa political parties wana list za wapiga kura waliojiandikisha kwa kila eneo ndani ya SA,mfano wakifika hapa lingusenguse kwenye address yangu tayari wana majina yote wanaoishi kwenye address hii waliojiandikisha na wanaomba kuongea nao kwa majina ili kuuza sera zao !!,Tanzania hii ujinga bado umetamalaki mno na mbaya umekorogwa na uoga wa kizuzu
 
Siku CCM ikiacha kulindwa na vyombo vya usalama ndio mwisho wao .

CCM ni kama mtoto anayemchapa mtu kibao na kukimbilia ndani na kujifungia mlango sababu hana uwezo wa kuhimili hit back..
 
Back
Top Bottom