Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Copy na kupaste kutoka chadema digitali, hizi information centre chadema imeanzisha since 2010 ila polis huzivamiaga kila uchaguz na kuweka watu ndan
Lowasa ndio aliefanya sio hao Cha Domo,na lowasa alitoka CCM na huo mpango na alivyoondoka alifia mbali wataweza wapi Wana Sacco's?Nakumbuka 2015 chadema walifanya hivi ila kilichowakuta Allah ndie anajua zaidi
Walikuja na wazo mapema... Lakini waliitwa wadukuzi!
Duh kweli jobless ni janga la taifaInterview zilifanyika lini, make naona tayari kuna wafanyakazi!
Umezaliwa lini wew?CDM huwa na centre kama hii wakati wa uchaguzi toka 2010!Ila huwa wanavamiwa na polisi na kuwekwa ndani kipindi cha uchaguzi!Wakiona hivi wale Wana Sacco's wanatamani kujinyea [emoji23][emoji1787][emoji2960]
CDM huwa na utaratibu wa kuwa na data centre toka 2010!Inapofika wakati wa uchaguzi,polisi huvamia na kubeba computer lakini pia huwaweka ndani wanaokutwa kwenye hizo ofisi!Lowasa ndio aliefanya sio hao Cha Domo,na lowasa alitoka CCM na huo mpango na alivyoondoka alifia mbali wataweza wapi Wana Sacco's?
Wanafanya Makosa Nategemea Police Wajionee WenyeweCCM Elections Information Centre ya nini wakati NEC wapo? Hivi Centre ikionesha CCM inaanguka au imeanguka mahali fulani kabla ile Centre ya NEC haijatoa, watakuwa watulivu kweli? Elections Information Centre lazima iwe NEC na si vinginevyo!
Kwani huduma kama hizi mbona zipo tu duniani.Sasa kama Mlianzisha ziko wapi, mliuza mkapiga pesa.Copy na kupaste kutoka chadema digitali, hizi information centre chadema imeanzisha since 2010 ila polis huzivamiaga kila uchaguz na kuweka watu ndan
Wanajiandaa kufanya umafia mambo yakiwa hayaendi sawa upande wao!Ni kama 2015 kule Zanzibar,centre ya CCM walipoona Maalim anaongoza basi wakaamrisha vyombo vya dola kuzingira jengo la ZEC na kumfanya Jecha apindue meza kwa kufuta uchaguzi!CCM Elections Information Centre ya nini wakati NEC wapo? Hivi Centre ikionesha CCM inaanguka au imeanguka mahali fulani kabla ile Centre ya NEC haijatoa, watakuwa watulivu kweli? Elections Information Centre lazima iwe NEC na si vinginevyo!
Published on Aug 17, 2020
KUELEKEA UCHAGUZI, CCM YATESTI MITAMBO! ONA DKT BASHIRU ALIVYOZINDUA KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA... Kuelekea Uchaguzi mkuu 2020 Chama cha mapinduzi kimezindua kituo maalum cha mawasiliano lengo kuu likiwa ni kuhakikisha wanakuwa na mawasiliano ya karibu na wanachama na watendaji wa chama icho Katika kipindi cha uchaguzi mkuu Akizingumza mapema leo jiji Dodoma katibu mkuu wa ccm Dkt bashiru ally amesema kuwa mfumo huu ni matokeo ya uboreshaji wa utendaji na kuwasiliana na wanachama ambapo mpango huu alishapitishwa na kamati kuu ya chama hicho
Ukumbi wa kuandaa fujo unakuwa na nini ndani?Au unatambulikaje?Unauliza miaka yangu? Hawawi na centre Kama hii wanakuwa na kajiukumbi kakuandaa fujo wakati wa uchaguzi
Nakumbuka 2015 chadema walifanya hivi ila kilichowakuta Allah ndie anajua zaidi