Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: CCM ya-test mitambo, yazindua Kituo cha Huduma kwa Wanachama na Watendaji

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: CCM ya-test mitambo, yazindua Kituo cha Huduma kwa Wanachama na Watendaji

Ccm walichofungua ni tallying center ambayo CHADEMA walikua nayo na wakati wa uchaguzi wa 2015 mnakumbuka kile kilichotokea. Mwaka hatutakubali upuuzi wowote kutoka kwa mtu yoyote
 
Unaishia kujichekesha baada ya kuona umepewa ukweli ambao ulikuwa huujui!Vijana wa juzi mnakurupuka tu kwa mambo msiyoyajua!shame
Ukweli upi unaoujua? Wakati lowasa amekodishiwa Sacco's ndio aliyekuja na huu mpango katoka nao CCM alivyoondoka mpango ukajifia kifo Cha mende,Sasa ukisema Cha Domo ndio walikuja na huo mpango nakuona hata chadema yenyewe huijui na ndio nikaona nikucheke tu [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Ukweli upi unaoujua? Wakati lowasa amekodishiwa Sacco's ndio aliyekuja na huu mpango katoka nao CCM alivyoondoka mpango ukajifia kifo Cha mende,Sasa ukisema Cha Domo ndio walikuja na huo mpango nakuona hata chadema yenyewe huijui na ndio nikaona nikucheke tu [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Polisi ilivamia ile kituo dogo
 
Published on Aug 17, 2020
KUELEKEA UCHAGUZI, CCM YATESTI MITAMBO! ONA DKT BASHIRU ALIVYOZINDUA KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA... Kuelekea Uchaguzi mkuu 2020 Chama cha mapinduzi kimezindua kituo maalum cha mawasiliano lengo kuu likiwa ni kuhakikisha wanakuwa na mawasiliano ya karibu na wanachama na watendaji wa chama icho Katika kipindi cha uchaguzi mkuu Akizingumza mapema leo jiji Dodoma katibu mkuu wa ccm Dkt bashiru ally amesema kuwa mfumo huu ni matokeo ya uboreshaji wa utendaji na kuwasiliana na wanachama ambapo mpango huu alishapitishwa na kamati kuu ya chama hicho

Mkuu hivi mitambo ya mh bashiru aliyoifungua wakati mgombea wa ccm amechukua form wamenunua nchi gani na ina ukubwa kiasi gani kukabiliana na KIMBUNGA 2020, MAANA ikumbukwe kimbunga husomba mpaka magorofa , ila pia mtu kikimkuba kama yupo gongo la mboto huweza jikuta amepigwa mtama yupo posta , kimbunga sio kitu kizuri chazoa sana so mitambo ya kukabili kimbunga haitakiwi kuwa ya kitoto at
 
mkuu hivi mitambo ya mh bashiru aliyoifungua wakati mgombea wa ccm amechukua form wamenunua nchi gani na ina ukubwa kiasi gani kukabiliana na KIMBUNGA 2020, MAANA ikumbukwe kimbunga husomba mpaka magorofa , ila pia mtu kikimkuba kama yupo gongo la mboto huweza jikuta amepigwa mtama yupo posta , kimbunga sio kitu kizuri chazoa sana so mitambo ya kukabili kimbunga haitakiwi kuwa ya kitoto at
Vifaa vimetengenezwa hapa hapa.
 
Katibu Mkuu Ndg Bashiru Ally Kakurwa amezindua Kituo cha Mawasiliano kuhusu Habari za Uchaguzi kilichopo kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma.

Uzinduzi huo umefanywa leo tarehe 17 Agosti 2020.

20200817_201601.jpg

Naona ‘Lumumba Buku 7’ wamepata ofisi mpya. Hapo naona wanatest mitambo.

===


DK BASHIRU AZINDUA KITUO CHA MAWASILIANO CHA CCM KUHUSU HABARI ZA UCHAGUZI MKUU
01.JPG

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Bashiru akiwasiliana na Katibu wa CCM Mkoa wa Arusha, kwa simu iliyopigwa kwenye kompyuta mpakato (Laptop) ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Kituo cha Mawasiliano cha CCM kuhusu Habari za Uchaguzi kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA.

02.JPG

Dk. Bashiru akiangalia picha za wagombea urais kupitia CCM zilizopambwa upenuni mwa kituo hicho. Wagombea hao ni Dk. John Magufuli anayewania urais wa Jamhuri ya Muungano na Mgombea Mwenza Samia Suluhu Hassan pamoja na Mgombea urais Zanzibar, Hussein Ali Mwinyi.
03.JPG

IMG_2758.JPG

Katibu Msaidizi Mkuu Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM, Gabriel Athuman akiangalia mpangilio ulivyo ndani ya kituo hicho.
IMG_2760.JPG

IMG_2782.JPG

Afisa Tehama wa CCM, Magoti Wambura akimuonesha Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Bashiru, jinsi wanavyowasiliana na viongozi, wanachama na umma kupitia kwenye kompyuta mpakato wakati wa uzinduzi wa kituo hicho cha habari za uchaguzi.
IMG_2800.JPG

Baadhi ya watumishi wa kituo hicho
IMG_2802.JPG

Dk. Bashiru akiangalia kituo hicho wakati akipata maelezo kutoka kwa Afisa Tehama, Wambura (kushoto). Kulia ni Gabriel Athuman.
IMG_2806.JPG

Afisa Tehama wa CCM, akitoa maelezo kwa Dk. Bashiru jinsi kituo hicho kitakavyopokea taarifa mbalimbaliza za uchaguzi kupitia kituo hicho.
IMG_2808.JPG

Dk Bashiru akizungumza wakati wa uzinduzi wa kituo hicho ambapo alisema kuwa hivi sasa kituo hicho kitakuwa kinakusanya taarifa mbalimbali za uchaguzi kutoka kwa viongozi wa CCM, Wanachama na Umma na baada ya uchaguzi kazi yake kubwa itakuwa kukusanya Taarifa za Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi.
IMG_2813.JPG

Dk. Bashiru akizungumza na wanahabari kuhusu kazi ya kituo hicho.
IMG_2829.JPG

Mtumishi wa kituo hicho, Debora Kiyuga akiwa tayari ameanza kazi ya mawasiliano
IMG_2830.JPG

Neema Mfugale akiweka mambo sawa
IMG_2831.JPG

Zuhura Hassan akiwa kazini
IMG_2832.JPG

Baadhi ya watumishi wakiwa kazini kituoni hapo
IMG_2833.JPG

IMG_2834.JPG

IMG_2837.JPG
 
Ukweli upi unaoujua? Wakati lowasa amekodishiwa Sacco's ndio aliyekuja na huu mpango katoka nao CCM alivyoondoka mpango ukajifia kifo Cha mende,Sasa ukisema Cha Domo ndio walikuja na huo mpango nakuona hata chadema yenyewe huijui na ndio nikaona nikucheke tu [emoji23][emoji1787][emoji2960]
2010 EL alikuwa CHADEMA?
 
2010 EL alikuwa CHADEMA?
Ila wakuu tukubali au tukatae chadema ni chama kinenda kisasa sana kuanzia mipango yao, mavazi yao n.k , mfano kwa sasa mh lissu ndo mgombea wa urais but tiyari nimemuona mh heche kaweka kitu kwenye gwanda lake ya sura ya lissu namanisha tiyari wamefyatua.

Iliona 2015 mzee lowasa na mgombea mwenza walitengenezewa kitu watu tulinunua sana na kama haitoshi walikuja na magwanada ya mashati yalikua bora sana mpaka shat gwanda waliuza mpka elfu 20 na zilinunulika sana na sasa wapo na chadema digital na nimatumaini yangu kwa sasa ofisi zake haziwezi kua tz but but NEC wenda wakawa wanapokea matokeo ya huakiki kutoka vituo vya kupigia kura bila chenga mwaka huu , hiyo ndo chadema ya mwenyekiti mbowe bwana , mwana siasa bora katika ukanda wa afrika ,vizazi vitamkumbuka sana
 
Back
Top Bottom