Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: CCM ya-test mitambo, yazindua Kituo cha Huduma kwa Wanachama na Watendaji

CCM waamua kufungua kituo cha kuhesabia kura katika uchaguzi mkuu wa 2020. Nakumhuka kituo kama hikinkilianzishwa na ukawa mwaka 2015 na wahusika walikamatwa na kunyimwa dhamana kwa kile walichokisema polisi kujitangqzia matokeo.

Sijajua ni hofu kiasi gani CCM wanayo na huku miaka yote 5 kuanzia rais hadi diwani wa CCM walikuwa ruksa kufanya siasa lakini wana hofu na uchahuzi huu.
 
Wanashindwa na hawataki kabisa kushughulikia suala la TUME HURU YA UCHAGUZI badala yake wana fanya yale ambayo yatawapa upendeleo
 
2010 CDM ilikuwa na Data centre!Sema wewe umefikia hatua ya kujitambua 2015!
 
Return Of Undertaker,

Mwaka huu ndo watajua hawajui. Kura tunapiga kituoni, tunazilinda kituoni na kuhakikisha zikihesabiwa tunazilinda na washindi wa kweli ndo wanatangazwa. Sijui watakusanya matokeo gani mwaka huu!!
 
Sehemu ya kituo cha CCM cha kupokelea taarifa za uchaguzi, pichani Dr. Bashiru akikagua vifaa vilivyofungwa kwenye kituo hicho kwenye jengo la Jakaya Kikwete mara baada ya kukifungua jijini Dodoma.

 
Copy na kupaste kutoka chadema digitali, hizi information centre chadema imeanzisha since 2010 ila polis huzivamiaga kila uchaguz na kuweka watu ndan
embu leta angalau pixture tuone. wameanziashia wapi maana hawana hata ofis au ni hoteli. hiv kwenye kile kinyumba cha room mbili mnakaaje huko ndani
 
Kikwete alisema ni Bora yeye akose Urais kulikoni Mh. Lissu kuingia Bungeni. Magufuli analifahamu hilo fika ndiyo maana wanafanya juu chini asigombee.

Wanafahamu kitakachotokea endapo atagombea Urais,hawawezi kumshinda. Jamaa anagusa maisha ya wengi na anakubalika bila shinikizo.
 
Kweli mkuu
 
Copy na kupaste kutoka CHADEMA digitali, hizi information centre CHADEMA imeanzisha since 2010 ila polis huzivamiaga kila uchaguz na kuweka watu ndani.

Mie Naipenda chadema ila uongo kwangu ni Mwiko! Hiki kituo ni kizuri kuliko hata makao makuu ya chadema!

Swali: unataka nambia chadema imeanzisha kituo kizuri kuliko makao makuu yao?

Chadema kwenye Majengo, office etc kwa kweli wanatia aibu, wanaweka mashuka yao ya blue hivyo hivyo, aibu tupu!

Ila ukiangalia Nyumba zao, magari yao etc ni mazuri mno! Hemu chadema badilikeni sasa maana ni wakati mnapaswa kufanya hivyo!
 
Buku Saba mataga wa humu JF hebu fanyeni ku update CV zenu za memkwa walau mkajishikize katika hivyo vituo..

Maana mnatia huruma sana humu kwa kuwa kazi yenu ya kulamba viatu vya viongozi wahuni wa Fissiem inakoma October.
 
CHADEMA hawalali ofisini..wako field.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…