Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Mwanakijiji,unalionaje hili la CHADEMA kutumia neno kupinga ufisadi ,kama kauli mbiu,is it, in the long run, a sustainable war cry? itakuwaje Kikwete akiwakamata watuhumiwa wote wa ufisadi kabla ya uchaguzi mkuu na akawasweka lupango (which is a real possibility when the push will come to a shove and the guy is forced into a survival mode)?Huu ni uchaguzi muhimu kwa Chadema kwa namna ya pekee:
a. NI wakati wa kuwaonesha Watanzania kuwa wamejiandaa kuongoza taifa; yaani timu itakayoingia madarakani ndiyo ambayo itakiongoza chama hiki kuelekea uchaguzi mkuu na hivyo ni lazima iwe timu ambayo inaweza kuunda serikali.
b. Ni wakati muafaka wa kumaliza kabisa migongano ma malumbano yoyote ndani ya Chama hicho kama wanataka wawe na nafasi yoyote ya kuliongoza taifa. Endapo mkutano huu utaingia madudu kama ule wa CUF au kwa namna yoyote kutokea migongano ya binafsi (siyo ya kiitikadi au kikampeni) basi utakuwa ni mwisho wa chadema kama tunavyoijua.
c. Uongozi huo mpya ndio bila ya shaka utaandaa agenda ya uchaguzi mkuu kwa Chadema; hivyo ni lazima uwe ni uongozi ambao unaweza kukubaliana na kutokubaliana kwa hoja na pale wanapokubaliana basi wawe ni viongozi ambao hawatodhoofishana. Hiyo ajenda ndiyo itaamua chama kitakuwa na nafasi gani 2010.
Mzee Mwanakijiji,unalionaje hili la CHADEMA kutumia neno kupinga ufisadi ,kama kauli mbiu,is it, in the long run, a sustainable war cry? itakuwaje Kikwete akiwakamata watuhumiwa wote wa ufisadi kabla ya uchaguzi mkuu na akawasweka lupango (which is a real possibility when the push will come to a shove and the guy is forced into a survival mode)?
Hii kali,Mdau Kiberengo, una maana delegates watakaokuja kwenye convention watakuwa hawakuchaguliwa na mikoa/wilaya zao? sasa hiyo mandate ya ku attend convention watakuwa wameipata wapi? Duniani kote chaguzi za vyama vyote si huwa zinaanzia grassroots ili kuwapata delegates wa mkutano mkuu,unataka kutuambia CHADEMA hili halikufanyika? no way! anyway katika kila chama kuna ambao huwa wanadai ndo wenye chama lao maana hata CCM huo ni wimbo wa kawaida 'CCM INA WENYEWE,UKIONA VYAELEA,ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI,MUASISI KASEMA ETC ETC ETC.CHADEMA Msitufanyie Kiini Macho hivi Kwanini Mnavuruga DEMOKRASIA ya Chama kiasi hiki kwa Ubinafsi wenu tu uliokuzongeni? na baya zaidi Msajili wa Vyama JOHN TENDWA amekaa kimyaaaa akiangalia CHADEMA inavyoivunja katiba yake ya CHAMA.
Tuna Mtaka Msajili wa Vyama azuie mara Moja Mkutano Mkuu wa CHADEMA hadi pale CHADEMA itakapo fanya CHAGUZI zake Kikatiba Kuanzia MATAWI, KATA, WILAYA, MKOWA na Mwishowe ndio TAIFA.
Hivi uhalali wa Viongozi haowanaotaka Kuchaguliwa utakuwa upo wapi? ikiwa wale wanaokuja kuchakuwa hawakuchaguliwaa kihalali? kwa mijibu wa Katiba ya CHADEMA.
Uongozi huu wa sasa ulopo wa CHADEMA ni BOMU au ni MAMLUKI Kwani kwa Taarifa RASMI Chadema haijafanya CGhaguzi zake za ngazi ya chini kikatiba ndani ya hii TANZANIA yetu BARA na VISIWANI na hili ni KOSA ambalo litatumika KIsheria Kuwapinga WAGOMBEA WOTE WA CHADEMA 2010 WATAKAO AMUWA KUGOMBEA KUANZIA UDIWANI, UBUNGE, URAIS KWA SABABAU HAWAKUCHAGULIWA KISHERIA KWA KUWA VIKAO VILIVYOWACHAGUWA HAVIKUWA HALALI KWA MUJIBU WA KATIBA YA CHADEMA, TENA MUTALIA NA NANI? NA HILI LIPO NA LITAFANYIKA.
WACHENI KUENDESHA CHAMA KAMA KAMPUNI TANZU YA MBOWE NA SLAAA, KAJIFUNZENI KWA WENZENU VIPI CHAMA KINAVYOUNDWA, MKIONA VINAELEA VIMEUNDWAA.
Mkuu Kinepinepi,unasema hilo haliwezekani? watch this space!kikwete hawezi kukamata mafisadi, Kusila amedhibitisha hilo.
Ushauri wa Bure; FICHA UPUMBAVU WAKO USIFICHE HEKIMA ZAKOCHADEMA Msitufanyie Kiini Macho hivi Kwanini Mnavuruga DEMOKRASIA ya Chama kiasi hiki kwa Ubinafsi wenu tu uliokuzongeni? na baya zaidi Msajili wa Vyama JOHN TENDWA amekaa kimyaaaa akiangalia CHADEMA inavyoivunja katiba yake ya CHAMA.
Tuna Mtaka Msajili wa Vyama azuie mara Moja Mkutano Mkuu wa CHADEMA hadi pale CHADEMA itakapo fanya CHAGUZI zake Kikatiba Kuanzia MATAWI, KATA, WILAYA, MKOWA na Mwishowe ndio TAIFA.
Hivi uhalali wa Viongozi haowanaotaka Kuchaguliwa utakuwa upo wapi? ikiwa wale wanaokuja kuchakuwa hawakuchaguliwaa kihalali? kwa mijibu wa Katiba ya CHADEMA.
Uongozi huu wa sasa ulopo wa CHADEMA ni BOMU au ni MAMLUKI Kwani kwa Taarifa RASMI Chadema haijafanya CGhaguzi zake za ngazi ya chini kikatiba ndani ya hii TANZANIA yetu BARA na VISIWANI na hili ni KOSA ambalo litatumika KIsheria Kuwapinga WAGOMBEA WOTE WA CHADEMA 2010 WATAKAO AMUWA KUGOMBEA KUANZIA UDIWANI, UBUNGE, URAIS KWA SABABAU HAWAKUCHAGULIWA KISHERIA KWA KUWA VIKAO VILIVYOWACHAGUWA HAVIKUWA HALALI KWA MUJIBU WA KATIBA YA CHADEMA, TENA MUTALIA NA NANI? NA HILI LIPO NA LITAFANYIKA.
WACHENI KUENDESHA CHAMA KAMA KAMPUNI TANZU YA MBOWE NA SLAAA, KAJIFUNZENI KWA WENZENU VIPI CHAMA KINAVYOUNDWA, MKIONA VINAELEA VIMEUNDWAA.
Dah! hapa kweli pananitia wasi wasi kwani hizi tetesi za Lwakatare kuw atakuwemo ktk safu ya uongozi,inanibidi niamini point hii,kwani sijui atakuwa amepitia tawi gani na ktk chaguzi gani.. Lkn kila la kheri chadema ktk chaguzi zenu,mapambano kwenda mbele,mpaka ccm ingoke..CHADEMA Msitufanyie Kiini Macho hivi Kwanini Mnavuruga DEMOKRASIA ya Chama kiasi hiki kwa Ubinafsi wenu tu uliokuzongeni? na baya zaidi Msajili wa Vyama JOHN TENDWA amekaa kimyaaaa akiangalia CHADEMA inavyoivunja katiba yake ya CHAMA.
Tuna Mtaka Msajili wa Vyama azuie mara Moja Mkutano Mkuu wa CHADEMA hadi pale CHADEMA itakapo fanya CHAGUZI zake Kikatiba Kuanzia MATAWI, KATA, WILAYA, MKOWA na Mwishowe ndio TAIFA.
Hivi uhalali wa Viongozi haowanaotaka Kuchaguliwa utakuwa upo wapi? ikiwa wale wanaokuja kuchakuwa hawakuchaguliwaa kihalali? kwa mijibu wa Katiba ya CHADEMA.
Uongozi huu wa sasa ulopo wa CHADEMA ni BOMU au ni MAMLUKI Kwani kwa Taarifa RASMI Chadema haijafanya CGhaguzi zake za ngazi ya chini kikatiba ndani ya hii TANZANIA yetu BARA na VISIWANI na hili ni KOSA ambalo litatumika KIsheria Kuwapinga WAGOMBEA WOTE WA CHADEMA 2010 WATAKAO AMUWA KUGOMBEA KUANZIA UDIWANI, UBUNGE, URAIS KWA SABABAU HAWAKUCHAGULIWA KISHERIA KWA KUWA VIKAO VILIVYOWACHAGUWA HAVIKUWA HALALI KWA MUJIBU WA KATIBA YA CHADEMA, TENA MUTALIA NA NANI? NA HILI LIPO NA LITAFANYIKA.
WACHENI KUENDESHA CHAMA KAMA KAMPUNI TANZU YA MBOWE NA SLAAA, KAJIFUNZENI KWA WENZENU VIPI CHAMA KINAVYOUNDWA, MKIONA VINAELEA VIMEUNDWAA.
naamini Lwakatare ataingia mahali fulani hapa
Ni makosa makubwa kumpa mtu cheo bila kupitia process ya wanachama wengine. matokeo yake ndio Chadema walikuwa na wanachama kama JOHN GUNINITA.Dah! hapa kweli pananitia wasi wasi kwani hizi tetesi za Lwakatare kuw atakuwemo ktk safu ya uongozi,inanibidi niamini point hii,kwani sijui atakuwa amepitia tawi gani na ktk chaguzi gani.. Lkn kila la kheri chadema ktk chaguzi zenu,mapambano kwenda mbele,mpaka ccm ingoke..
Mzee Mwanakijiji,unalionaje hili la CHADEMA kutumia neno kupinga ufisadi ,kama kauli mbiu,is it, in the long run, a sustainable war cry? itakuwaje Kikwete akiwakamata watuhumiwa wote wa ufisadi kabla ya uchaguzi mkuu na akawasweka lupango (which is a real possibility when the push will come to a shove and the guy is forced into a survival mode)?
Ni makosa makubwa kumpa mtu cheo bila kupitia process ya wanachama wengine. matokeo yake ndio Chadema walikuwa na wanachama kama JOHN GUNINITA.
So far hana mchango wowote kwenye chama kwanini apewe madaraka haraka sana?
Watu kama Tundu Lissu na Kitila Mkumbo wapewe nafasi.
pia Mwana mama Chiku Abwao na wasisahau watu wa visiwani kama Asha Abdallah ambaye ni mwana Chadema na Jf.
wasifanye utumbo kama wa Viti maalum vya ubunge hakuna mwakilishi toka Zanzibar.
Mbowe anagombea Uenyekiti tena?