Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
So I have absolutely no qualms about the so called "flip-flopping".Labda mtu aniambie kuwa hii inasababisha move kutoka decision nzuri kwenda decisoin mbaya.
The potential for that is huge or may be big because too much flip-flopping is borderline erratic.
Appearances can be deceiving, the calm of a nincompoop can appear more dignified than the controlled chaos of a genius.
Lol...are you calling Hon. Zitto an erratic genius?
Pamoja na uhuru wa kusema na ukajikuta huna la kusema ni vema ukanyamaza kuliko kuongea pumba hizi.Hivi nyinyi mna masikio lakini hamsikii na macho mnayo lakini hamuoni. Nimeambiwa mzee Mtei ambaye ni muasisi na mkwe wa Mbowe alisema hawezi kukubali chama chake kiongozwe na Zito.
Mama yake Zito ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Tanzania alikuwa anataka sana mwanae achukue. Lakini kuna watu waliomshauri amwambie Zito asing'anganie maana masulaa ya Chacha Wangwe bado hayajasahaulika. Kwa hiyo Zito kuogopa laana ya mama akatii. Ila ukweli ndiyo huo CHADEMA ni NGO ya wanafamilia kama mbili tatu hivi. Wengine ni vibarua. Hawana kiu ya kuchukua nchi bali kiu yao nikuwepo wepo mradi wanapata ruzuku na wanagawana pale juu basi. Unajua siasa Tanzania ukiwa na chama hata chenye mbuge mmoja nyie wa juu mambo yenu mazuri. Hiyo ndiyo mila ya kifisadi 'a la Tanzania'.
Wanasiasa wetu wanahitaji vitu hivi ili wafanye maamuzi mazuri:
1. Washauri Wazuri
2. Ushauri Mzuri
Je, Mheshimiwa alishauriwa kabla au baada tu ya kuchukua fomu?
The bottom line is, if you are going to criticize someone, criticize on the basis of what decision was made and what is the quality of the decision vis a vis the prevailing state of affairs, not how often the decision is changed
Wanasiasa wetu wanahitaji vitu hivi ili wafanye maamuzi mazuri:
1. Washauri Wazuri
2. Ushauri Mzuri
Je, Mheshimiwa alishauriwa kabla au baada tu ya kuchukua fomu?
I criticize on the basis of how the decision was made and not so much what decision was made. How did Zitto arrive at his decision not to run run for re-election. Did he consider everything in the equation? Did he weigh the pros and cons of his decision? I'm more interested in the "how" part of it.
Companero,
Vipi kama ana washauri wazuri, ambao walimpa ushauri uliokuwa mzuri at point A, lakini kutokana na dynamic nature ya politics zetu ukoaonekana kuwa outdated at point B, wakamshauri autengue uamuzi uliokuwa based on information zilizoprevail at point A?
Kama hivyo ndivyo ilivyo basi hili ndilo ambalo lingetokea:
1. Mheshimiwa angeshauriana na hao washauri wake wazuri
2. Kisha Mheshimiwa angewataarifu wazee kuhusu azma yake
3. Pia Mheshimiwa angemtaarifu Mwenyekiti kuhusu azma hiyo
4. Wazee na Mwenyekiti wangeshauriana naye kuhusu hilo
5. Baada ya hapo Mheshimiwa angeamua kugombea au la
Kushtukiza ni mbinu unayotumia ukiwa na uhakika na uamuzi wako.
Wanasiasa wetu wanahitaji vitu hivi ili wafanye maamuzi mazuri:
1. Washauri Wazuri
2. Ushauri Mzuri
Je, Mheshimiwa alishauriwa kabla au baada tu ya kuchukua fomu?
Vipi kama Zitto ali i overestimate centrality ya democracy katika CHADEMA?
Wazee ni kina nani? wana nafasi kikatiba?
Companero,
Vipi kama ana washauri wazuri, ambao walimpa ushauri uliokuwa mzuri at point A, lakini kutokana na dynamic nature ya politics zetu ukoaonekana kuwa outdated at point B, wakamshauri autengue uamuzi uliokuwa based on information zilizoprevail at point A?
Kwa upande wangu naona hilo ni jambo la busara sana sana,kosa lake ni lile la kutaka kugombea wakati bado wakuu wa Chama yeye akiwa mmojawapo bado wanazo nguvu za kupambana na CCM,ukiangalia kule CUF yule Kuchi(Mzee Mloo) alipojiona mikiki ya kwenda na kurudi mikoani haiwezi tena alijiuzulu na nafasi yake kupewa mtu mwengine ambae ni katika wakuu wa Chama,hivyo ushauri wangu tokea mwanzo ni wale top leaders wa Chama wasio tetereka kutulia katika nafasi zao ,wasifanye tamaa ya kutaka kumpiku alie juu katika wao ,kwani kufanya hivyo ndio kunakokiyumbusha Chama na kukigawa kiundani,wanatakiwa watulie na kukijenga Chama na pia kutayarisha viongozi wa kuwarithi na si kukigawa Chama.Ukiangalia katika CUF huoni kiongozi aliemo katika safu ya uongozi kutaka kugombea nafasi ya juu yake au ya chini yake ,wapo wametulia na ugombezi uko wazi kwa mtu yeyote yule ila ukiangalia kwa makini utaona si kwa aliendani ya uongozi wa juu ,nafasi ipo wazi kwa wanachama walio nje ya uongozi wa juu na ndio demokrasia inavyotakiwa kuwapa uhuru na wengine lakini si kwa walio ndani ya uongozi Mkuu,ikiwa kutazuka mmoja alie ndani kutaka kugombea basi ujue kuna tatizo hapo tena sio dogo.