Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

Status
Not open for further replies.
So I have absolutely no qualms about the so called "flip-flopping".Labda mtu aniambie kuwa hii inasababisha move kutoka decision nzuri kwenda decisoin mbaya.

The potential for that is huge or may be big because too much flip-flopping is erratic. Is that what you want? An erratic leader?
 
The potential for that is huge or may be big because too much flip-flopping is borderline erratic.

The way the veins of a leave flip-flop around may seems erratic, but the underlying formulaes, founded in some deeper symmetric fabric of evolution may prove as a very efficient method to the apparent chaos.

Appearances can be deceiving, the calm of a nincompoop can appear more dignified than the controlled chaos of a genius.
 
Lol...are you calling Hon. Zitto an erratic genius?

I am neither calling him nor not calling him.The above inference is purely overstretched.

The bottom line is, if you are going to criticize someone, criticize on the basis of what decision was made and what is the quality of the decision vis a vis the prevailing state of affairs, not how often the decision is changed
 
Hivi nyinyi mna masikio lakini hamsikii na macho mnayo lakini hamuoni. Nimeambiwa mzee Mtei ambaye ni muasisi na mkwe wa Mbowe alisema hawezi kukubali chama chake kiongozwe na Zito.

Mama yake Zito ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Tanzania alikuwa anataka sana mwanae achukue. Lakini kuna watu waliomshauri amwambie Zito asing'anganie maana masulaa ya Chacha Wangwe bado hayajasahaulika. Kwa hiyo Zito kuogopa laana ya mama akatii. Ila ukweli ndiyo huo CHADEMA ni NGO ya wanafamilia kama mbili tatu hivi. Wengine ni vibarua. Hawana kiu ya kuchukua nchi bali kiu yao nikuwepo wepo mradi wanapata ruzuku na wanagawana pale juu basi. Unajua siasa Tanzania ukiwa na chama hata chenye mbuge mmoja nyie wa juu mambo yenu mazuri. Hiyo ndiyo mila ya kifisadi 'a la Tanzania'.
Pamoja na uhuru wa kusema na ukajikuta huna la kusema ni vema ukanyamaza kuliko kuongea pumba hizi.
 
Wanasiasa wetu wanahitaji vitu hivi ili wafanye maamuzi mazuri:

1. Washauri Wazuri
2. Ushauri Mzuri

Je, Mheshimiwa alishauriwa kabla au baada tu ya kuchukua fomu?
 
Wanasiasa wetu wanahitaji vitu hivi ili wafanye maamuzi mazuri:

1. Washauri Wazuri
2. Ushauri Mzuri

Je, Mheshimiwa alishauriwa kabla au baada tu ya kuchukua fomu?

Companero,

Vipi kama ana washauri wazuri, ambao walimpa ushauri uliokuwa mzuri at point A, lakini kutokana na dynamic nature ya politics zetu ukoaonekana kuwa outdated at point B, wakamshauri autengue uamuzi uliokuwa based on information zilizoprevail at point A?
 
The bottom line is, if you are going to criticize someone, criticize on the basis of what decision was made and what is the quality of the decision vis a vis the prevailing state of affairs, not how often the decision is changed

I criticize on the basis of how the decision was made and not so much what decision was made. How did Zitto arrive at his decision not to run run for re-election. Did he consider everything in the equation? Did he weigh the pros and cons of his decision? I'm more interested in the "how" part of it.
 
Wanasiasa wetu wanahitaji vitu hivi ili wafanye maamuzi mazuri:

1. Washauri Wazuri
2. Ushauri Mzuri

Je, Mheshimiwa alishauriwa kabla au baada tu ya kuchukua fomu?

Ewaaaaa....yaelekea jana ulilala vizuri. Hapo tuko pamoja. Ushauri mzuri hakika huonyesha msimamo na maamuzi mazuri.
 
I criticize on the basis of how the decision was made and not so much what decision was made. How did Zitto arrive at his decision not to run run for re-election. Did he consider everything in the equation? Did he weigh the pros and cons of his decision? I'm more interested in the "how" part of it.

The how of it needs some intricate details which we both would be frank in acknowledging that we do not have, and to my knowledge, Zitto has not been tasked sufficiently in explaining his reasoning, so af far as I know we cannot go into the how with the enterprise of assessing his decision making process simply because we do not have enough details to form a quality opinion.

In a country where cabinet minutes cannot be traced, expecting the decision making process of an opposition MP to be displayed frankly in public domain will be the height of quixotic idealism indeed.
 
Companero,

Vipi kama ana washauri wazuri, ambao walimpa ushauri uliokuwa mzuri at point A, lakini kutokana na dynamic nature ya politics zetu ukoaonekana kuwa outdated at point B, wakamshauri autengue uamuzi uliokuwa based on information zilizoprevail at point A?

Kama hivyo ndivyo ilivyo basi hili ndilo ambalo lingetokea:

1. Mheshimiwa angeshauriana na hao washauri wake wazuri
2. Kisha Mheshimiwa angewataarifu wazee kuhusu azma yake
3. Pia Mheshimiwa angemtaarifu Mwenyekiti kuhusu azma hiyo
4. Wazee na Mwenyekiti wangeshauriana naye kuhusu hilo
5. Baada ya hapo Mheshimiwa angeamua kugombea au la

Kushtukiza ni mbinu unayotumia ukiwa na uhakika na uamuzi wako.
 
Vipi kama Zitto ali i overestimate centrality ya democracy katika CHADEMA?

Wazee ni kina nani? wana nafasi kikatiba?
 
Wanasiasa wetu wanahitaji vitu hivi ili wafanye maamuzi mazuri:

1. Washauri Wazuri
2. Ushauri Mzuri

Je, Mheshimiwa alishauriwa kabla au baada tu ya kuchukua fomu?

Kwa upande wangu binafsi, CHADEMA wanatakiwa kuwa na wapiga kelele wengi. Hivyo Zitto angekuwa mwenyekiti angeua nafasi moja ya msemaji (News Maker).
 
Last edited:
Vipi kama Zitto ali i overestimate centrality ya democracy katika CHADEMA?

Wazee ni kina nani? wana nafasi kikatiba?

Wazee ni hao wazito wa Chama ambao ushauri wao mzito ulisababisha Zitto aone kuwa ombi hili zito la Wanachama halina uzito tena:

"But we must strengthen the party and prepare it to take the country's leadership. That is what I have been asked to do by Chadema members from regions and districts. That is the work that I have humbly agreed to do" - The Citizen, 26 Agosti 2009, kuhusu 'Zitto: Why I want to succeed Mbowe'
 
Companero,

Vipi kama ana washauri wazuri, ambao walimpa ushauri uliokuwa mzuri at point A, lakini kutokana na dynamic nature ya politics zetu ukoaonekana kuwa outdated at point B, wakamshauri autengue uamuzi uliokuwa based on information zilizoprevail at point A?

Mkuu usiegemee upande mmoja. Kwa nini tuandikie mate ilhali wino upo. Pata nukuu hii:

"I've taken time to decide to vie for the party top post. That is why I had not told any of my friends, relatives or even supporters about it" - 'Zitto; Why I want to succeed Mbowe', The Citizen, 26 Agosti 2009

Sasa jiulize, je, alishauriwa au alijishauri kufanya uamuzi kabla ya ushauri?
 
Wakuu, all in all naamini Zitto ameyapima yote yaliyotokea baada ya uamuza wake huu na ndio maana akajitoa.

Kilichobaki, na nadhani itakuwa katika kuisaidia Chadema zaidi, ni kuweka utaratibu wa ukomo wa uongozi (kama haupo) au la kama upo, waaangalia tena athari zinazoweza kujitokeza katika hali kama hii, ili kuepusha kutokea tena siku za usoni.
 
Siamini kama Zitto alifikiria vizuri uamzi wa kugombea uenyekiti wa Chadema. Nadhani alikurupuka pengine kweli haikuwa uamzi wake binafsi labda tu kwa pressure ya watu fulani.

Lakini baada ya yoote haya, Zitto has lost one political weapon..... consistency. Mimi naamini mwanasiasa bora anakuwa consistent na hayumbi yumbi kirahisi. Kuyumba yumba kuna-ashiria kitu kimoja. Kichwa hakifanyi kazi vizuri kabla ya kufikia maamuzi fulani na kuamua kuelekeza uzito wako huko. Kwa mwanasiasa hii ni balaa. Inaweza kufaa kwenye siasa za patronage hasa humo ndani ya guberi CCM. Ambapo mtu huamui mpaka uone kina fulani wanasemaje.

Lakini siasa tunazozitaka, siasa halisi zinazoeleweka, consistency ni muhimu sana. Nyerere hata baada ya sera zake za uchumi kufeli bado alikufa akiamini azimio la Arusha was the silver bullet kwa uchumi wa Tanzania.

Hata mnaochagua mnajua tunachagua nini!! Lakini I tell you hapa zito anazidi kuwapa taabu wapiga kura wake. Ni ngumu kuelewa kesho atakuwa na msimamo gani? Wasiompenda wanasema aaaa mwanasiasa anatakiwa abadilike; sawa, but not in that fashion!!
 
And CHADEMA? Just another CCM, only a little bit smaller and out of power! Bado vichwa vyetu havijawa tayari..... SAD TO SAY THIS!!!
 
Kwa upande wangu naona hilo ni jambo la busara sana sana,kosa lake ni lile la kutaka kugombea wakati bado wakuu wa Chama yeye akiwa mmojawapo bado wanazo nguvu za kupambana na CCM,ukiangalia kule CUF yule Kuchi(Mzee Mloo) alipojiona mikiki ya kwenda na kurudi mikoani haiwezi tena alijiuzulu na nafasi yake kupewa mtu mwengine ambae ni katika wakuu wa Chama,hivyo ushauri wangu tokea mwanzo ni wale top leaders wa Chama wasio tetereka kutulia katika nafasi zao ,wasifanye tamaa ya kutaka kumpiku alie juu katika wao ,kwani kufanya hivyo ndio kunakokiyumbusha Chama na kukigawa kiundani,wanatakiwa watulie na kukijenga Chama na pia kutayarisha viongozi wa kuwarithi na si kukigawa Chama.Ukiangalia katika CUF huoni kiongozi aliemo katika safu ya uongozi kutaka kugombea nafasi ya juu yake au ya chini yake ,wapo wametulia na ugombezi uko wazi kwa mtu yeyote yule ila ukiangalia kwa makini utaona si kwa aliendani ya uongozi wa juu ,nafasi ipo wazi kwa wanachama walio nje ya uongozi wa juu na ndio demokrasia inavyotakiwa kuwapa uhuru na wengine lakini si kwa walio ndani ya uongozi Mkuu,ikiwa kutazuka mmoja alie ndani kutaka kugombea basi ujue kuna tatizo hapo tena sio dogo.
 
Mkuu hapa tupo ukurasa mmoja
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom