Discoverer
Member
- Jul 16, 2009
- 58
- 12
Lengo ilikuwa ni kuimarisha chama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.............kwa kumzuia Zitto!!!! Sielewi.Lengo ilikuwa ni kuimarisha chama.
Mwanakijiji au Kitila MKUMBO huwa wanajadili CCM wao ni CCM?Lowassa au spika Sitta tunamjadili kwanini wakati sio wana CCM?
Field Marshal ES anawajadili watu wa Chadema wakati yeye sio mwana Chadema.
Mwiba ni CUF anawajadili CCM kila siku kwanini hukumuuliza swali hili?
swali langu ni la kisheria zaidi ndio maana nikaweka jukwaa la sheria. kisheria Mzee Mtei hakutakiwa kushiriki kikao kile kwa ajli ya kuwa mzazi wa mmoja wa wagombea-Mbowe.
Makani hakutakiwa kushiriki kikao kile kwa vile ana mahusiano ya kikazi na MBOWE walipokuwa BOT.
hakukuwa na FAIRNESS kutokana na sababu hizo mbili.kifupi maamuzi ya hao wazee ni batili.
Chama kimeshazama na kwa bahati mbaya kimejizamisha chenyewe. Kukinusuru katika hali kama hii inahitaji muda, nguvu na fedha nyingi... tusitarajie hilo kutokea siku za karibuninahitaji maelezo zaidi ya 'NAKINUSURU CHAMA', sitaki kuamini kuwa huo mwelekeo wa kusubiriana miaka 12 ndio u-mbadala mliotuhubiria
Kama alivyokuwa Mh.Chacha Zakayo Wangwe(RIP)!!!
![]()
Chadema top brass shake hands to show solidarity, moments after briefing journalists at the partys headquarters in Dar es Salaam yesterday. They are from (R) national chairman Freeman Mbowe, secretary general Dr. Willibrod Slaa, the party`s founder, Edwin Mtei and deputy secretary general Zitto Kabwe who withdrew from the contest for the party chairmanship against Mbowe.
Hon. ukimaliza hizi PR jongea jamvini tafadhali ujibu hoja zetu.
Yupi, huyo anayeogopa kumtazama mwenzake usoni?Hapa picha inaonesha nani mnafiki,
Yupi, huyo anayeogopa kumtazama mwenzake usoni?
Shalom hajana na hoa Wachagga na chadema yao.Imeishaeleweka Chadema ni ya Wachagga.Nasisi inabidi tuanzishe chama chetu kule nyanda za juu kusini na tunaweza kuungana na akina SIKONGE.Mtasema ukabila lakini mbona kanisa letu la moravian lilikuwa kwetu tu na kwa kina Sikonge?We Mkwe Fungua Macho
kujitoa kwa zitto kuna onesha jinsi gani ame komaa kisiasa
mafisadi ni kina nani? hili swali huwa najiuliza bila majibu na hadi imefikia kipindi nimekuwa mshabiki wa wapinga ufisadi lakini bila kujua maana halisi ya ufisadi
Je, Kujitoa Kwako Kugombea Uenyekiti Kunajenga au Kunabomoa Chama?
Ndugu Zitto Kabwe (MB),
Nimeamua kukuuliza swali hili la wazi kwa faida ya Jamii ya Kitanzania kwa ujumla. Ningeweza kukuuliza kwa faragha ila kufanya hivyo kungenisaidia mimi binafsi. Naamini suala hili linapaswa kujadiliwa kwa uwazi na ukweli.
Nilikuwa safarini hivyo nilipitiwa na hizi taarifa za wewe kujitoa kugombea Uenyekiti. Leo baada ya kusoma taarifa hizo katika za Vyombo vya Habari nimepigwa na butwaa. Swali kuu nalojiuliza ni, je, kujitoa kwako kutasaidia kuleta huo umoja ndani ya chama chenu au ndio utakigawa zaidi?
Swali hilo kuu linazaa maswali haya mengine ambayo naomba uyajibu:
1. Je, hukuona kuwa utakigawanya chama ulipochukua fomu?
2. Je, huoni kuwa ni hatari kubadili msimamo mzito kama huo?
3. Je, haionekani kuwa umewasaliti waliokuomba ukagombee?
Ndugu nitashukuru kama utanijibu maswali hayo ili nisibaki naamini kuwa hata hicho 'chama kina wenyewe'!
Wasalaam,
Mpiga Kura
Baada ya kumlazimisha zitto asigombee uenyekiti wa CHADEMA bila sababu za msingi eti chama kitapasuka..
leo hii WAZEE hao hao wametoa mpya kwa kuufuta uchaguzi wa baraza la vijana la CHADEMA (BAVICHA)
sasa ndugu zangu hawa wazee ndio katiba yao au?
kama hari ikiendelea kuwa hivi,hii ni hatari sana kwa ukuaji wa mageuzi nchini