Leo asubuhi kama nimeona kichwa cha habari kuwa dr Slaa amejiuzulu au sijiu ndio macho yangu na utu uzima
lakini I am certain...
we dare talk openly!
ngoja nikalitazame hilo gazeti kabla akina mangi hawajantoa macho mie
Ikiwa Dr. Slaa hatagombea Ukatibu mkuu basi bila shaka atakuwa na aim high!.. Mhhnnnnn!.
Yaani naisubiri kwa hamu 2010, baada ya Ramadhan nitakuwa njiani kurudi home.. sitaki kupitwa drama ya mwaka huo.
Leo asubuhi kama nimeona kichwa cha habari kuwa dr Slaa amejiuzulu au sijiu ndio macho yangu na utu uzima
lakini I am certain...