Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,075
And who will handle the fall out?Japo nimeona story ya jana ya Majira kuwa Dr. Slaa, hagombei, kwa Chadema ninayoiona mbele, Dr. Slaa M/Kiti, Zitto ni Katibu Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
And who will handle the fall out?Japo nimeona story ya jana ya Majira kuwa Dr. Slaa, hagombei, kwa Chadema ninayoiona mbele, Dr. Slaa M/Kiti, Zitto ni Katibu Mkuu.
Japo nimeona story ya jana ya Majira kuwa Dr. Slaa, hagombei, kwa Chadema ninayoiona mbele, Dr. Slaa M/Kiti, Zitto ni Katibu Mkuu.
kukomaa kukojeeee?? kijana ana uwezo mkubwa tuu na ndani ya CHADEMA demokrasiaa ina nafasi zaidi kulikoo hisiaa na mitazamoo dume. Good move zitto.Basi wasifanya uchaguzi kama ndo hivi, Zitto atatumiwa na MAFISADI hajakomaa kumbuka sakata la DOWANS
Hawawezi kumpa MUISLAM dont fool yourself.
Itawaudhi lakini ndio ukweli wenyewe huo, haya njooni na jazba zenu sasa
Zitto alichemka sana katika suala la Dowans.ni mapema sana kumkabidhi mikoba ya kukiongoza chama hasa tukizingatia umri na kuyumba yumba katika masula muhimu ya kitaifa.
Bwana Zitto pia alikuwa kioja katika suala la EAC alitofautiana na asilimia kubwa ya watanzania waliokataa kuharakishwa uundwaji wa shirikisho la Afrika mashariki.Kumpatia majukumu makubwa ni sawa na kumwangamiza kisiasa.Bwana mdogo bado anatakiwa kujifunza ili aweze kuja kuwa kiongozi bora.
Bwana Zitto alishatutangazia kwamba hatatetea kiti cha ubunge lakini baadae akabadili mawazo.Kwa maoni yangu nadhani huko ni kukosa msimamo na inaonyesha dogo ni mwanasiasa asiyekuwa na msimamo hii dosari kubwa sana kwa mtu tuanyetaka aje akiongoze chama.
Kwa maoni yangu nadhani Zitto anatakiwa abakie na nafasi yake ya ubunge tu,hafai kabisa kuongoza chama makini.

Tunashukuru kwa kutuonyesha sura yako, kama ulidhani kuwa utaweza kugeuza mjadala, jua kuwa watu wamekugundua na wala hakuna atakayekufuata huko unakotaka tuelekeeHawawezi kumpa MUISLAM dont fool yourself.
Itawaudhi lakini ndio ukweli wenyewe huo, haya njooni na jazba zenu sasa
Hawawezi kumpa MUISLAM dont fool yourself.
Itawaudhi lakini ndio ukweli wenyewe huo, haya njooni na jazba zenu sasa
bado hajakomaa kisiasa. anahitaji muda kidogo kujijenga kisiasa.
Zitto uwe na subra.