RADIKALI
Member
- Aug 27, 2009
- 35
- 0
kwanza - hiii sio breaking news.
Pili - wewe ni nani kuita mawazo ya wengine kuwa ni upuuzi.
Tatu - huu ulioandika nao ni upuuzi (kwa kipimo chako)?
huna shule wewee kaaaa chonjo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanza - hiii sio breaking news.
Pili - wewe ni nani kuita mawazo ya wengine kuwa ni upuuzi.
Tatu - huu ulioandika nao ni upuuzi (kwa kipimo chako)?
Kwanza - hiii sio breaking news.
Pili - wewe ni nani kuita mawazo ya wengine kuwa ni upuuzi.
Tatu - huu ulioandika nao ni upuuzi (kwa kipimo chako)?
Nakuuunga mkono 100/100 huyu jamaa upeo wake ni mfupi sana na isitoshe anashabikia kitu ambacho hakijui.Haangalii hata chaguzi za wenzetu like USA na hata Zambia jirani zetu,Ghana nk
Au nikibara wa C HAMA C HA M AFISADI?
...Kila mtu ana mawazo yake na mtazamo wake lakini wewe yako kali sana...
Wewe sio mpambanaji ni mtu wa kusubiri matokeo ya mapambamo tu ila unakata tamaa ile mbaya......hufai kuwa karibu na watu wanaopigania haki zao umeshatawaliwa maana Hao wanofaidika na rasilimali za nchi hii nani atawatoa kama sio mimi na wewe.. ili tufaidi sote....
..hivi Iddi Amini alipovamia Tanzania kama wewe ungelikuwa Rais basi leo hakuna Tanzania bali kuna Uganga Kubwa na sote ni mateka wa vita.....
...pole sana na hiyo haistahili kuwa breaking news.......
Swala sio kushabikia chama chochote mimi siko c.c.m ama chama chochote. hebu nieleze wewe unachojua swala langu hapo ni kwamba unategemea nini chama kingine kikiingia madarakani ?
RK
huna shule wewee kaaaa chonjo
Mimi siko ccm wala chama chochote hapa bongo maana vyama vyote kamba tu, mim nina kazi yangu professional,Wewe ni ccm bana acha kukana chama chako
Kwa hiyo kuna binadamu ambao wana hatimilki ya kuhodhi tamaa, wizi na uongo - wengine walie tu. Sijawahi kusikia ujinga unaozidi huu.kwa sababu watakao chukua nchi hawatoki mbinguni ama pia hawatokua sio binaadamu na kwa mantiki hiyo watafanya yale yale ya kiubinadamu ambayo ni tamaa,wizi,uongo na kadhalika
Ulianza kwa kuuliza swali, subiri ujibiwe. Kwamba kuna mtu mwenye akili timamu anaongea hivi ni dalili nzuri kuwa wakombozi wanafanya kweli - Radikali na mafisadi wenzako mmebanwa na viti vimekuwa moto.msikae makjidanganya eti nimeona humu jamvini kuna watu wana diriki kusema watu fulani ni wakombozi !!!
What is 'crazy' ni kuendelea na hii hali ya kukumbatia mafisadi na mpuuzi ni Radikali anayeita hii 'breaking news' - ni dalili ya kuchanganyikiwa.Mhhh jamani tuache upuuzi huo, yana kukaaa nakusema cuf ama chadema na vyama kadhalika wakichukua madaraka basi wizi utaisha ama maisha yakua bora ? 'it is crazy'.
Ghana.Naomba mnipe mfano wa nchi moja hapa afrika ambayo chama cha upinzani ama baada ya kua na raisi mpya mambo yamekua kama mbinguni ?
Anayejidanganya ni wewe, CCM imekuwa chuo cha mafisadi na kuna kila sababu ya kukifunga hiki chuo - wewe, Radikali, kama moja wa wahitimu wake, itabidi uikimbie nchi. Wanaoitafuna nchi hivi sasa hawana njaa, ni ulafi usio mfano unaowasukuma.jamani yote haya ni siasa.acheni kujidanganya jameni wote hawa watu ni binadamu kama sisi sote na wananjaa kama sisi sote,
Kuitoa CCM kutatoa fundisho kwa yeyote anayekuja - akivurunda na yeye atang'olewa. Miaka hamsini na bado wakereketwa hawajashiba, duh !wakisha pata kazi hua wanatusahau kama jinsi tulivyo sisi binaadamu.
Umewakilisha ujinga mtupu, kalaghabaho !nawakilisha
Mimi siko ccm wala chama chochote hapa bongo maana vyama vyote kamba tu, mim nina kazi yangu professional,
swali linarudi pale pale unategemea nini ? ama mabadiliko gani ? wakati ukizangatia wengi wa hao hao wanaotaka kutuongoza hata pesa ya kuwapeleka watoto wao shule hawana , sasa wewe unafikiri wakipata cheo wataanza kufanya nini ?
Wakipewa madaraka watatumaliza maana wenyewe hawataki kupingwa wala kutofautiana nao,ukiwapinga tu wewe ccm au wewe fisadi.Pumbavu sana hao
kama wao ni pumbavu na wewe ni nani?
Nikweli nimeulizwa na nilikosea kuweka kama ni breaking News niwieni radhi, ila swali limebaki pale paleCha ajabu huyu Tindikali..oops! Radikali amaeuliuzwa na watu mara kadhaa...kama hii ni "breaking news" lakini hajibu hilo. Anatoa tu utumbo wa propaganda za CCM!
Kwa ushauri bwana Radikali, unapoanzisha post ukaii-tittle "breaking news" inakuwa treated with special anxiousness na JF members. Kumbuka wengi wa JF members wanategemea hapa kupata real breaking news. Mtu kama mimi niko porini kinoma, habari za humu ni muhimu sana. Nitakupa mfano. Wakati wa mabomu ya Mbagala, niliingia humu nikakuta hiyo breaking news, haraka haraka nikapigia familia yangu simu. Halooo...nilikuta wako kwenye wakati mgumu sana na nikatoa ushauri wa cha kufanya, hatimaye mambo yakaenda safi kabisa.
Najua wewe bado mgeni humu (umejiunga mwezi jana), lakini naomba hilo la breaking news lizingatie. Weka post yako ya kawaida kikawaida na waungwana watachangia.
JF juuuuuu...juuu..zaidi.
Cha ajabu huyu Tindikali..oops! Radikali amaeuliuzwa na watu mara kadhaa...kama hii ni "breaking news" lakini hajibu hilo. Anatoa tu utumbo wa propaganda za CCM!