Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

Status
Not open for further replies.
Mafisadi waliofilisi nchi kupitia Buzwagi, IPTL, EPA, na mengine ni CCM (just in case umesahau). hayo ya chadema na kura zao unaweza kuwauliza viongozi wa chadema.

Nakuuliza wewe fisadi wa chadema, hayo ya ccm waulize ccm
 
Pamoja na yote yanayotokea ndani ya CHADEMA lakini ni njia mojawapo ya kukomazwa. hakuna chama duniani ambacho hakijawahi kukumbwa na dhoruba wakati wa kujipambanua kati ya wanasiasa na wadandia siasa.

Hilary Clinton alipokuwa anamkaribia Obama kwa kura wazee wa chama hicho (super Delegate) kwanza walimsihi ajitoe alipokaza shingo wakalamzimshisha,lakini wapambe wake walipomchochea kuwa asijitoe, Super delegate wengi zaidi wakatangaza kumuunga mkono Obama kwa faida ya Chama chao. Clinton alisalimu Amri

kama chama ni chama cha wachaga ni chama gani hakina wachaga? ndani ya miaka kumi CCM imewahi kuongozwa na watunza hazina wachaga wawili. kwanza Sifa Swai na Salome Mbatia. kama wachaga ni watu hatari kuwa wanasiasa ni kwa nini CCM iliwapa madaraka makubwa sana ndani ya Chama chao?

Hivi CCM Moshi inaongozwa na Waluguru?

Zitto hana uzito huo kisiasa kama wengi wenu mnavyotaka kuonyesha. ushahidi wa kimazingira unaonyesha jamaa anashawishiwa zaidi na Viongozi waandamizi wa CCM kuliko wa chama chake.
CHADEMA haitasambaratika!!

Kigarama,

CCM ina wachaga kibao tu kama ilivyo TLP na vyama vingine. Unajua ukifuatilia wanaopiga domo sana kuhusu wachaga ndani ya CHADEMA, ni wale ambao pia kwa muda fulani wamesema kuwa Chadema ni chama cha wakatoliki.

Nimeanza kuamini kuwa hii term ya wachaga inaweza kuwa inamaanisha wakatoliki wa wakristo ila sasa wasemaji wanatumia codes kuisema. Soma maandishi ya huyo Kanda2 na wenzake uone yalivyojaa chuki dhidi ya wakristo.
 
Nakuuliza wewe fisadi wa chadema, hayo ya ccm waulize ccm

FIsadi wa CCM uliyefilisi nchi unasemaje? rudia swali lako (maana husikiki vizuri) kwa vile tumbo lako limejaa vyakula vya kifisadi.
 
This is part of spinning. Uwongo, uzushi nk. Tatizo wanaopanga haya wanasahau kuwa tuliyapanga wote dhidi ya marehemu Chacha Wangwe. Unatengeneza uwongo, unausambaza, na hatimaye wewe mwenyewe unauamini kuwa ni kweli.

Kama kuna kitu kilimuuma marehemu wangwe na alikufa nacho ni kile cha kumsema kuwa alikuwa anatumiwa na mafisadi. Namshukuru Mungu kuwa nilimwomba radhi Chacha kabla na baada ya kifo chake siku ya postmorterm kwa kumzushia uwongo.

Asha ni mmoja wa wenzangu tulioshiriki kumtenda Chacha. Wanatumia mtindo ule ule na wanapita njia zile zile. Rashidi wa Kuli alisema, YANA MWISHO HAYA!

Asha, (ninakujua wewe ni nani) kuwa mkweli wa nafsi yako! Utalipwa hapa hapa duniani kwa uzushi wako na wenzako.

To put record clear - Kasisiko sio ndugu yangu wa damu. Ni mwenyekiti wangu tu wa Mkoa Kigoma. Pili, Baregu hajahudhuria kikao hata kimoja cha wazee toka ajue ukweli wa mambo.
Tatu, chama jana kimechagua rasmi Baraza la Wazee na mgombea aliyekuwa ananiunga mkono waziwazi ameshinda. Inakuwaje bado vikao vya wazee vya chama vinaendeshwa na Mtei na Ndesamburo?

Pili, vyombo vyote vya habari vilikuwapo katika hotuba ya Mtei. Imekuwaje NIPASHE peke yake ndio ione alisema kuna ufisadi kwenye chaguzi za chama? Mhariri mtendaji wa Nipashe ni jesse kwayu kutoka Machame. Mmiliki wa Nipashe ni Reginald Mengi kutoka Machame.

Spinns sio sustainable. Acheni tujenge chama chetu.

DCI Manumba mkishirikiana na Ofisi ya DPP naombeni mumkamate dogo ZITTO akae pale KEKO atusaidie upelelezi wa kifo cha mheshimiwa CHACHA Wangwe!! Huyu ni one of the key suspects!! Damu ya Chacha italia na mtatapika yote mliomtendea.

Ndugu Jesse Kwayu naamini utakuwa umeshapata hizi habari za ZITTO alizoweka hapa kuhusu Mr. Mengi na wewe. Ni wakati sasa umefika kutumia uwezo wako na waandishi mahiri wa magezeti yote muhimu (najua editors mnafahamiana) ili kummaliza huyu dogo kabla hajaendelea kusambaza utengano na kuua Chama. Hii ni aibu kubwa sana kwetu tunaotegemea mageuzi ya nchi hii kupitia vyama vya upinzani.

Bottom line, kwa namna ambavyo ZITTO umetumia kujaribu kuelezea hasira zako hapa hufai kuwa kiongozi labda katika familia yako ila nako nina wasiwasi mkihitilafiana na mamsapu utamtangaza ubaya wake wote. Mke wa ZITO kama yupo uwe makini, mumeo ni mpayukaji. Ungewezaje kuwa Mwenyekiti na hatimaye pengine urais bila kuwa na speed governor ya mdomo wako????

Sasa basi CHADEMA ni waulize je kuna siri ya Chama mtaweza kuongea ZITO akiwepo tena??? Kama ndiyo mtatambikaje asiitoe?? Fanyeni uamuzi wa kishujaa mtemeni. Atajiunga Chama kingine hata kama ni SSM, akijua kuwa nao watampokea kwa mbwembwe kwa kuwa wana kazi ya kuua upinzani ila ajue ni kiporo. That mapokezi will be temporary!!! Michezo ya Siasa!!

Eti unasema utayamaliza na kuungana na wenzio kuendelea kukiendeleza Chama!!! What a low thinking???!! Yaani kwa mtazamo wako baada ya yote uliyomwaga hapa kukichafua Chama unategemea watakuthamini tena???!!! Kidding yourself!!??? Take a mirror and look at your face and try to recall what you have posted here and talk them infront of it?? Ni kichekesho!!! I wish ningekuwa mwanachama wa Chadema, ningehakikisha naingia at least kwenye hayo mabaraza(nina hakika nitapata hii chance), watu wa design yako ningewajengea fitina kabisa mtoke ndani ya Chama. Yaani at least watu walikiamini Chama na kina angalao wabunge wanawakilisha bungeni kwa upande wa Bara halafu unaleta kukiharibu ili hali unafamu tunaingia mwaka wa uchaguzi?? Kweli umetumika wewe.

Zitto nilikuamini sana na hata michango yako hapa jamvini niliifurahia sana. Wote hapa tulikuheshimu mno, lakini ona leo tumegawanyika na majority hawafurahii unavyoenenda kwa sasa. We are confused!!! Are you really, the ZITTO we knew??? Has someone invaded your password???!!! Zitto haya uliyoyafanya will hault and make you regret for such a beautful downfall you have set!!!! Chama kitaendelea hata kama wewe na Mbowe hampo ila not at that level we used to see. Maji yamemwagika na hutaweza kuyazoa tena. Pole sana.
 
Kanda2,
Mkuu sijasema kuondolewa kwa Zitto ni haki.. jamani someni maandishi yangu. Nachosema mimi ni kwamba ipo sheria ktk kanuni za chaguzi kumuengua mgombea. Hoja yangu ni ktk kupinga msemo unatyaka kusema kuwa Demokrasia ni pale tu kila mtu (mwanachama) anaruhusiwa kugombea nafasi yeyote ya uongozi bila masharti fulani kuwepo..Ambavyo sii kweli!
Mkuu wangu nachoelewa mimi maswala haya yametokea siku za mwanzo za mikutano ya Chadema na naona kuna Kamati kuu kisha mkutano wa wazee! Hivi wewe unafikiria hao wazee ni wazee tu walezi chakari wa chama wanawahemea vijana!
Come on, Lolote lililotokea kwa Zitto tumeshasema yalikuwa makosa, katiba ya Chadema inaruhusu mgombea huyo kuchukua form.. Zitto hakuwa na mpango wa kugombea hadi alipofuatwa na wazee fulani na akajaza form akiwa Airport, kisha wazee wakamfuata na kumshauri imesha kuwa nongwa, soo, wamekipaka - hivyo itakuwa vizuri kama atachomoa... Naye akakubali Kuchomoa form yake..Hapa sioni tatizo liko wapi! na kama kuna tatizo tatizo ni Zitto mwenyewe.
 
Last edited:
Kuandika kwa CAPS kunamaanisha unashout --- au ndiyo unataka kujilipua mabomu? Watu kama wewe huwa siwaamini kabisa. Wakati mmoja unaongea na before u know it - booooom (suicide bombing).
na hao wachagga waliomuondoa Wangwe Chacha ni maSUICIDER? unajua Marehemu Wangwe hadi anakufa alimuamini MCHAGGA DEUS MALLYA toka Chadema.
tunamshauri Zitto asiongozane na Wachagga kipindi hiki awe MAKINI. kama wazee hao wastaafu walichoma benki kuu kwa maslahi yao binafsi,hawatashindwa kumuondoa ZITTO.

Mhe.Zitto soma barua ya SAKINA DATOO ya kujiuzulu kufanya kazi IPP.hawa wachagga wanashiriana na MAYAHUDI ambao ni majasusi number one duniani.

CUF wamelizungumza sana hili la wazee wa Chadema walipopewa dhamana ya kusimamia benki kuu wakaichoma. na wazee hao wanajidai watachukua hatua za kisheria hadi leo wako kimya.
 
DCI Manumba mkishirikiana na Ofisi ya DPP naombeni mumkamate dogo ZITTO akae pale KEKO atusaidie upelelezi wa kifo cha mheshimiwa CHACHA Wangwe!! Huyu ni one of the key suspects!! Damu ya Chacha italia na mtatapika yote mliomtendea.

Zitto na Kikwete ni maswahiba so usitegemee kuwa kuna lolote polisi wanaweza kulifanya dhidi ya Zitto.
 
na hao wachagga waliomuondoa Wangwe Chacha ni maSUICIDER? unajua Marehemu Wangwe hadi anakufa alimuamini MCHAGGA DEUS MALLYA toka Chadema.
tunamshauri Zitto asiongozane na Wachagga kipindi hiki awe MAKINI. kama wazee hao wastaafu walichoma benki kuu kwa maslahi yao binafsi,hawatashindwa kumuondoa ZITTO.

Mhe.Zitto soma barua ya SAKINA DATOO ya kujiuzulu kufanya kazi IPP.hawa wachagga wanashiriana na MAYAHUDI ambao ni majasusi number one duniani.

CUF wamelizungumza sana hili la wazee wa Chadema walipopewa dhamana ya kusimamia benki kuu wakaichoma. na wazee hao wanajidai watachukua hatua za kisheria hadi leo wako kimya.

Umeanza kuongelea wayahudi tena ... naona umekaribia kabisa kubonyeza kitufe cha kujilipua. Nakushauri usogee mbali na hospitali au shule maana watu kama nyie huwa hamjali kama mnaua watoto au wamama wajawazito na vikongwe.
 
Kanda2,
Mkuu sijasema kuondolewa kwa Zitto ni haki.. jamani someni maandishi yangu. Nachosema mimi ni kwamba ipo sheria ktk kanuni za chaguzi kumuengua mgombea. Hoja yangu ni ktk kupinga msemo unatyaka kusema kuwa Demokrasia ni pale tu kila mtu (mwanachama) anaruhusiwa kugombea nafasi yeyote ya uongozi bila masharti fulani kuwepo..Ambavyo sii kweli!
Mkuu wangu nachoelewa mimi maswala haya yametokea siku za mwanzo za mikutano ya Chadema na naona kuna Kamati kuu kisha mkutano wa wazee! Hivi wewe unafikiria hao wazee ni wazee tu walezi chakari wa chama wanawahemea vijana!
Come on, Lolote lililotokea kwa Zitto tumeshasema yalikuwa makosa, katiba ya Chadema inaruhusu mgombea huyo kuchukua form.. Zitto hakuwa na mpango wa kugombea hadi alipofuatwa na wazee fulani na akajaza form akiwa Airport, kisha wazee wakamfuata na kumshauri imesha kuwa nongwa soo wakipaka hivyo itakuwa vizuri wachomoe.. Naye akakubali Kuchomoa form yake..Hapa sioni tatizo liko wapi!

jina la Zitto lingekatwa na kamati kuu ya chadema nisingesema haiwezekani kila anayeomba agombee wakiomba watu 500 wote wapitishwe?
hoja nzito waliomtoa Zitto hawana power hiyo kikatiba. na Zitto hakujitoa kwa hiari yake ila MKWARA MZITO NA MBINU CHAFU ZA WAZEE HAO NDIO ZIMEMTISHA ZITTO.kwani anawajua nje ndani hao wazee.
 
umeanza kuongelea wayahudi tena ... Naona umekaribia kabisa kubonyeza kitufe cha kujilipua. Nakushauri usogee mbali na hospitali au shule maana watu kama nyie huwa hamjali kama mnaua watoto au wamama wajawazito na vikongwe.

sakina datoo kasema kuwa mfadhili wenu wa chadema ana ushirika wa karibu na wayahudi hata biashara zake zinamkono wa mayahudi.

mwaka 1991 saddam hussein alikuwa akipiga makombora yake israel.mayahudi wa israel wakamwambia sisi tutahakikisha unakufa wewe na taifa lako .leo iraq iko wapi?mayahudi wanatisha sana.

mlipomuondoa wangwe mlizingatia kama marehemu ana watoto tisa na wake wawili? Leo mmewatia uyatima wa bure watoto na familia ya wangwe. Ndio maana wazee wa tarime walitaka kumchinja mwenyekiti king'ang'anizi mwenye kutegemea ridhaa ya wazazi wake na si wanachadema.
 
Zitto na Kikwete ni maswahiba so usitegemee kuwa kuna lolote polisi wanaweza kulifanya dhidi ya Zitto.

Mkuu Mwafrika, asante kwa kunifungua macho. Mhhhhhhhh kumbe ndiyo maaana???? Lazima atende ya kufurahisha swahiba wake???? Ndiyo maana katika post zangu zote kuhusu zito katika thread zote, nimesema na ninarudia kusema ZITTO ametekwa!!!!!! Si kawaida yake??? Kuna a hidden move ambayo akiikamilisha basi atakua amefanikisha upande wa pili!!! Traitor wewe.
 
EMAIL YA ZITTO KABWE!!!!

kutoka: http://www.globalpublisherstz.com/

Nimeshangazwa sana na shutuma zako kwangu kuwa nimetumwa na mafisadi kugombea uenyekiti CHADEMA. Hao mafisadi wanataka nifanye nini baada ya mimi kuwa mwenyekiti wa CHADEMA? Hizi shutuma zinaweza kutolewa mtu mpumbavu tu ambae hana akili na hajui maana ya demokrasia. Unajua kuna maisha baada ya uchaguzi wa chama? Au kwa akili yako unaona kuwa uchaguzi wowote ni lazima ugawe watu? Inawezekana kuna mafisadi wanaona mimi nitawasaidia nikiwa na chadema, hebu niambie ni kina nani hao na maslahi yao ni nini kwenye CHADEMA. Unapata hisia kwa chuki zako na unaamua kuzitoa kwa umma kipuuzi tu?

Sawa, wewe pia nasikia tetesi una..............na mwanaume mwenzio! Unaonaje hiyo?

Mwalimu Nyerere alikwend Kenya katika Press conference - Mwandishi mmoja akamwambia kuwa 'nasikia magazeti yanasema wewe dikteta? Yeye akamjibu, nasikia pia magazeti yanasema mimi natembea na mama yako, unasemaje?

Hayo ndio majibu yanayokufaa mtu kama wewe.

(SOURCE:WANABIDII)

Hivi haya kweli ni maneno ya Kabwe au media zinatia munyu?
 
Mkuu wangu acha kamati kuu, Hata mimi ningemshauri Zitto ajitoe na akajitoa haiwezi kuchukuliwa kwamba mimi sina mamlaka..The last say (decision) alikuwa nayo Zitto mwenyewe. Na hata hiyo mikwara ya wazee angeweza kuimaliza siku ya kikao cha kamati kuu!

Nitarudia kusema hivi..Sikusema Zitto alienguliwa jina lake...na sivyo ilivyotokea kwani Zitto alijitoa yeye mwenyewe baada ya kufuatwa na wazee wa chama ambao kumbe hawana hata mamlaka ya kuondosha jina lake!...Kama Zitto angetaka kuendelea kugombea angeweza kuendelea na hao wazee wasingemfanya lolote basi..Duh, yaani kumbe ilikuwa rahisi hivi sikujua!

Nachosisitiza mimi kusema ni kwamba zipo sheria iwe ni kupitia Kamati kuu au Wazee wa chama kuwa na uwezo wa kuengua jina la mgombea kutokana na mapungufu wa mgombea iwe sifa na kadhalika. Hii ni tofauti na issue ya Zitto ila tunazungumzia sheria za chaguzi ndani ya vyama vya siasa.
Kama Chadema wenye nguvu hiyo ni Kamati kuu, vyama vingine huku majuu ni mwandikishaji mkuu wa chaguzi ndani ya chama ambaye huwa na kamati yake maalum, mara nyingi huwa ni wazee wa chama. Hawa wanaweza ondoa jina la mtu yeyote (with explanation, though)
 
[/color][/size][/b]

sakina datoo kasema kuwa mfadhili wenu wa chadema ana ushirika wa karibu na wayahudi hata biashara zake zinamkono wa mayahudi.

mwaka 1991 saddam hussein alikuwa akipiga makombora yake israel.mayahudi wa israel wakamwambia sisi tutahakikisha unakufa wewe na taifa lako .leo iraq iko wapi?mayahudi wanatisha sana.

mlipomuondoa wangwe mlizingatia kama marehemu ana watoto tisa na wake wawili? Leo mmewatia uyatima wa bure watoto na familia ya wangwe. Ndio maana wazee wa tarime walitaka kumchinja mwenyekiti king'ang'anizi mwenye kutegemea ridhaa ya wazazi wake na si wanachadema.

Naona sasa umeanza kutumia rangi nyekundu (damu?) nilidhani utatumia rangi ya matalebani - kijani!? Au talebanistan mmebadilisha rangi?
 
mkuu mwafrika, asante kwa kunifungua macho. Mhhhhhhhh kumbe ndiyo maaana???? Lazima atende ya kufurahisha swahiba wake???? Ndiyo maana katika post zangu zote kuhusu zito katika thread zote, nimesema na ninarudia kusema zitto ametekwa!!!!!! Si kawaida yake??? Kuna a hidden move ambayo akiikamilisha basi atakua amefanikisha upande wa pili!!! Traitor wewe.
baba yake mbowe alikuwa rafiki wa karibu wa nyerere unasemaje? Anayofanya mbowe katumwa na nyerere?
 
FIsadi wa CCM uliyefilisi nchi unasemaje? rudia swali lako (maana husikiki vizuri) kwa vile tumbo lako limejaa vyakula vya kifisadi.

Fisadi wa chadema huwezi elewa muombe baba mkwe akusaidie
 
baba yake mbowe alikuwa rafiki wa karibu wa nyerere unasemaje? Anayofanya mbowe katumwa na nyerere?

Umesahau kuwa Nyerere ni marehemu?! Fixation yako dhidi ya wakristo (esp wakatoliki) naona inafunika uwezo wako wa kufikiri.
 
naona sasa umeanza kutumia rangi nyekundu (damu?) nilidhani utatumia rangi ya matalebani - kijani!? Au talebanistan mmebadilisha rangi?
rangi nyekundu ni ya chadema hata mwanachama wenu mpya mchukia ufisadi alipojiunga na nyinyi anatumia rangi nyekundu kila maandishi yake.mtizame mchukia ufisadi ni taliban nae? Kwanini asitumie kijana rangi ya migomba ya bukoba?
 
umesahau kuwa nyerere ni marehemu?! Fixation yako dhidi ya wakristo (esp wakatoliki) naona inafunika uwezo wako wa kufikiri.
mbowe ni mlutheri sio mkatoliki.hujui unachoandika.

Hivi karibuni askofu wa same kaondolewa kwenye nafasi yake kwa kudhaniwa ni jasusi kwa amri ya vatican.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom