Mafisadi waliofilisi nchi kupitia Buzwagi, IPTL, EPA, na mengine ni CCM (just in case umesahau). hayo ya chadema na kura zao unaweza kuwauliza viongozi wa chadema.
Nakuuliza wewe fisadi wa chadema, hayo ya ccm waulize ccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mafisadi waliofilisi nchi kupitia Buzwagi, IPTL, EPA, na mengine ni CCM (just in case umesahau). hayo ya chadema na kura zao unaweza kuwauliza viongozi wa chadema.
Pamoja na yote yanayotokea ndani ya CHADEMA lakini ni njia mojawapo ya kukomazwa. hakuna chama duniani ambacho hakijawahi kukumbwa na dhoruba wakati wa kujipambanua kati ya wanasiasa na wadandia siasa.
Hilary Clinton alipokuwa anamkaribia Obama kwa kura wazee wa chama hicho (super Delegate) kwanza walimsihi ajitoe alipokaza shingo wakalamzimshisha,lakini wapambe wake walipomchochea kuwa asijitoe, Super delegate wengi zaidi wakatangaza kumuunga mkono Obama kwa faida ya Chama chao. Clinton alisalimu Amri
kama chama ni chama cha wachaga ni chama gani hakina wachaga? ndani ya miaka kumi CCM imewahi kuongozwa na watunza hazina wachaga wawili. kwanza Sifa Swai na Salome Mbatia. kama wachaga ni watu hatari kuwa wanasiasa ni kwa nini CCM iliwapa madaraka makubwa sana ndani ya Chama chao?
Hivi CCM Moshi inaongozwa na Waluguru?
Zitto hana uzito huo kisiasa kama wengi wenu mnavyotaka kuonyesha. ushahidi wa kimazingira unaonyesha jamaa anashawishiwa zaidi na Viongozi waandamizi wa CCM kuliko wa chama chake.
CHADEMA haitasambaratika!!
Nakuuliza wewe fisadi wa chadema, hayo ya ccm waulize ccm
This is part of spinning. Uwongo, uzushi nk. Tatizo wanaopanga haya wanasahau kuwa tuliyapanga wote dhidi ya marehemu Chacha Wangwe. Unatengeneza uwongo, unausambaza, na hatimaye wewe mwenyewe unauamini kuwa ni kweli.
Kama kuna kitu kilimuuma marehemu wangwe na alikufa nacho ni kile cha kumsema kuwa alikuwa anatumiwa na mafisadi. Namshukuru Mungu kuwa nilimwomba radhi Chacha kabla na baada ya kifo chake siku ya postmorterm kwa kumzushia uwongo.
Asha ni mmoja wa wenzangu tulioshiriki kumtenda Chacha. Wanatumia mtindo ule ule na wanapita njia zile zile. Rashidi wa Kuli alisema, YANA MWISHO HAYA!
Asha, (ninakujua wewe ni nani) kuwa mkweli wa nafsi yako! Utalipwa hapa hapa duniani kwa uzushi wako na wenzako.
To put record clear - Kasisiko sio ndugu yangu wa damu. Ni mwenyekiti wangu tu wa Mkoa Kigoma. Pili, Baregu hajahudhuria kikao hata kimoja cha wazee toka ajue ukweli wa mambo.
Tatu, chama jana kimechagua rasmi Baraza la Wazee na mgombea aliyekuwa ananiunga mkono waziwazi ameshinda. Inakuwaje bado vikao vya wazee vya chama vinaendeshwa na Mtei na Ndesamburo?
Pili, vyombo vyote vya habari vilikuwapo katika hotuba ya Mtei. Imekuwaje NIPASHE peke yake ndio ione alisema kuna ufisadi kwenye chaguzi za chama? Mhariri mtendaji wa Nipashe ni jesse kwayu kutoka Machame. Mmiliki wa Nipashe ni Reginald Mengi kutoka Machame.
Spinns sio sustainable. Acheni tujenge chama chetu.
na hao wachagga waliomuondoa Wangwe Chacha ni maSUICIDER? unajua Marehemu Wangwe hadi anakufa alimuamini MCHAGGA DEUS MALLYA toka Chadema.Kuandika kwa CAPS kunamaanisha unashout --- au ndiyo unataka kujilipua mabomu? Watu kama wewe huwa siwaamini kabisa. Wakati mmoja unaongea na before u know it - booooom (suicide bombing).
DCI Manumba mkishirikiana na Ofisi ya DPP naombeni mumkamate dogo ZITTO akae pale KEKO atusaidie upelelezi wa kifo cha mheshimiwa CHACHA Wangwe!! Huyu ni one of the key suspects!! Damu ya Chacha italia na mtatapika yote mliomtendea.
na hao wachagga waliomuondoa Wangwe Chacha ni maSUICIDER? unajua Marehemu Wangwe hadi anakufa alimuamini MCHAGGA DEUS MALLYA toka Chadema.
tunamshauri Zitto asiongozane na Wachagga kipindi hiki awe MAKINI. kama wazee hao wastaafu walichoma benki kuu kwa maslahi yao binafsi,hawatashindwa kumuondoa ZITTO.
Mhe.Zitto soma barua ya SAKINA DATOO ya kujiuzulu kufanya kazi IPP.hawa wachagga wanashiriana na MAYAHUDI ambao ni majasusi number one duniani.
CUF wamelizungumza sana hili la wazee wa Chadema walipopewa dhamana ya kusimamia benki kuu wakaichoma. na wazee hao wanajidai watachukua hatua za kisheria hadi leo wako kimya.
Kanda2,
Mkuu sijasema kuondolewa kwa Zitto ni haki.. jamani someni maandishi yangu. Nachosema mimi ni kwamba ipo sheria ktk kanuni za chaguzi kumuengua mgombea. Hoja yangu ni ktk kupinga msemo unatyaka kusema kuwa Demokrasia ni pale tu kila mtu (mwanachama) anaruhusiwa kugombea nafasi yeyote ya uongozi bila masharti fulani kuwepo..Ambavyo sii kweli!
Mkuu wangu nachoelewa mimi maswala haya yametokea siku za mwanzo za mikutano ya Chadema na naona kuna Kamati kuu kisha mkutano wa wazee! Hivi wewe unafikiria hao wazee ni wazee tu walezi chakari wa chama wanawahemea vijana!
Come on, Lolote lililotokea kwa Zitto tumeshasema yalikuwa makosa, katiba ya Chadema inaruhusu mgombea huyo kuchukua form.. Zitto hakuwa na mpango wa kugombea hadi alipofuatwa na wazee fulani na akajaza form akiwa Airport, kisha wazee wakamfuata na kumshauri imesha kuwa nongwa soo wakipaka hivyo itakuwa vizuri wachomoe.. Naye akakubali Kuchomoa form yake..Hapa sioni tatizo liko wapi!
umeanza kuongelea wayahudi tena ... Naona umekaribia kabisa kubonyeza kitufe cha kujilipua. Nakushauri usogee mbali na hospitali au shule maana watu kama nyie huwa hamjali kama mnaua watoto au wamama wajawazito na vikongwe.
Zitto na Kikwete ni maswahiba so usitegemee kuwa kuna lolote polisi wanaweza kulifanya dhidi ya Zitto.
EMAIL YA ZITTO KABWE!!!!
kutoka: http://www.globalpublisherstz.com/
Nimeshangazwa sana na shutuma zako kwangu kuwa nimetumwa na mafisadi kugombea uenyekiti CHADEMA. Hao mafisadi wanataka nifanye nini baada ya mimi kuwa mwenyekiti wa CHADEMA? Hizi shutuma zinaweza kutolewa mtu mpumbavu tu ambae hana akili na hajui maana ya demokrasia. Unajua kuna maisha baada ya uchaguzi wa chama? Au kwa akili yako unaona kuwa uchaguzi wowote ni lazima ugawe watu? Inawezekana kuna mafisadi wanaona mimi nitawasaidia nikiwa na chadema, hebu niambie ni kina nani hao na maslahi yao ni nini kwenye CHADEMA. Unapata hisia kwa chuki zako na unaamua kuzitoa kwa umma kipuuzi tu?
Sawa, wewe pia nasikia tetesi una..............na mwanaume mwenzio! Unaonaje hiyo?
Mwalimu Nyerere alikwend Kenya katika Press conference - Mwandishi mmoja akamwambia kuwa 'nasikia magazeti yanasema wewe dikteta? Yeye akamjibu, nasikia pia magazeti yanasema mimi natembea na mama yako, unasemaje?
Hayo ndio majibu yanayokufaa mtu kama wewe.
(SOURCE:WANABIDII)
[/color][/size][/b]
sakina datoo kasema kuwa mfadhili wenu wa chadema ana ushirika wa karibu na wayahudi hata biashara zake zinamkono wa mayahudi.
mwaka 1991 saddam hussein alikuwa akipiga makombora yake israel.mayahudi wa israel wakamwambia sisi tutahakikisha unakufa wewe na taifa lako .leo iraq iko wapi?mayahudi wanatisha sana.
mlipomuondoa wangwe mlizingatia kama marehemu ana watoto tisa na wake wawili? Leo mmewatia uyatima wa bure watoto na familia ya wangwe. Ndio maana wazee wa tarime walitaka kumchinja mwenyekiti king'ang'anizi mwenye kutegemea ridhaa ya wazazi wake na si wanachadema.
baba yake mbowe alikuwa rafiki wa karibu wa nyerere unasemaje? Anayofanya mbowe katumwa na nyerere?mkuu mwafrika, asante kwa kunifungua macho. Mhhhhhhhh kumbe ndiyo maaana???? Lazima atende ya kufurahisha swahiba wake???? Ndiyo maana katika post zangu zote kuhusu zito katika thread zote, nimesema na ninarudia kusema zitto ametekwa!!!!!! Si kawaida yake??? Kuna a hidden move ambayo akiikamilisha basi atakua amefanikisha upande wa pili!!! Traitor wewe.
FIsadi wa CCM uliyefilisi nchi unasemaje? rudia swali lako (maana husikiki vizuri) kwa vile tumbo lako limejaa vyakula vya kifisadi.
baba yake mbowe alikuwa rafiki wa karibu wa nyerere unasemaje? Anayofanya mbowe katumwa na nyerere?
Fisadi wa chadema huwezi elewa muombe baba mkwe akusaidie
rangi nyekundu ni ya chadema hata mwanachama wenu mpya mchukia ufisadi alipojiunga na nyinyi anatumia rangi nyekundu kila maandishi yake.mtizame mchukia ufisadi ni taliban nae? Kwanini asitumie kijana rangi ya migomba ya bukoba?naona sasa umeanza kutumia rangi nyekundu (damu?) nilidhani utatumia rangi ya matalebani - kijani!? Au talebanistan mmebadilisha rangi?
mbowe ni mlutheri sio mkatoliki.hujui unachoandika.umesahau kuwa nyerere ni marehemu?! Fixation yako dhidi ya wakristo (esp wakatoliki) naona inafunika uwezo wako wa kufikiri.