Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2025 naiona CHADEMA kugawanyika sehemu mbili "CHADEMA Asili" na "CHADEMA Wazalendo"

Wewe ni kichaa ccm hawawez msajilia chama lissu hawatokubali
 
Wewe ni kichaa ccm hawawez msajilia chama lissu hawatokubali
Ndio shida ya nchi hii hakuna uwazi na demokrasia Lisu si raia wa Tanzania kwa nini azuiwe kusajili chama chake? Kichaa mwenyewe lakini
 
Niko humu tokea 2012 au wewe ni mgeni humu?!
Sikuhitaji kujua upo muda gani hapa jamvini nataka ubakie kwenye hoja yako hii mpaka uone mwenyewe nilichomaanisha na kikiri
 
Hivi yule Bon na Genge lake wanaweza kuita mkutano sehemu wakapata watu 20?? Maana naona wanatukana tu na Mbowe kama hujui hawa ndio wanakuvua nguo zaidi unaonekana demokrasia unayosema wala huiamini kama umeongoza miaka 20 achia wengine sio lazima wewe tu....Kwa Upinzani uchwara wa Ntobi na Boni CCM itatawala miaka 200!!!
Aliyosema Nyerere upinzani wa kweli utatoka CCM... Sio hawa Njaa njaa matusi hovyo kabisa
 
Kwa nukuu hiyo uliyomnukuu Mwalimu Nyerere kwa hiyo basi hata Tundu sio mpinzani wa kweli tumsubiri tumsubiri Yohana mbatizaji wetu toka CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…