Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba: Kuna uwezekano mkubwa wa Mitandao ya Kijamii kuzimwa

Uchaguzi 2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba: Kuna uwezekano mkubwa wa Mitandao ya Kijamii kuzimwa

Deal Done
Naona wasap toka saa 18:05 sijapokea sms na nimetuma imegoma(Voda+Tigo)

Playstore pia APN imegomaa
Kama itakubali tustuane maana huku ndo imebakia

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Naona Na huku JF wanatutingisha kweli kweli,,nashanga mara naambiwa sijui sina permision mara sija log in mara mambo yanatulia

Yani full kututingisha

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Braza kwangu WhatsApp,insta na Twitter naona havifanyi kazi vyote
 
Nilifikiri Haji Manara kakojolea minara......
 
Dawa yao Ni kuzima location kwenye sim yako.

Kisha unaingia OPERAMINI, unagoogle

"Download latest Turbo VPN apk"

Unaipakua na kuistall kisha unakula zako bata mitandao ya kijamii bila bughudha kabisa[emoji1]
 
Hii apa naidownload kupitia OPERA,[emoji116]
Screenshot_20201027-205713.jpg
 
Back
Top Bottom