Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,570
- 2,076
Tujaze bando za kutosha.. yajayo yanakasirisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Playstore imeshapigwa pin
Dah...nateseka sana
leo nitakuwa zamu lindoni hapa jf,niishuhudie hii vita
wasalimie hapo LondonKutoka asubuhi mpaka sasa nishatembelea tokyo,paris,Manchester,na sasa nipo London
Virtual Private NetworkVPN- Visual Prime Network
Jr[emoji769]
Vipi huko kwako sasa hivi unapata youtube ama whatsap ?Acha kutosha watu wewe,Watumiaji wa mitandao ni wachache kuliko wapiga kura,bado hamjaweza kuitisha serikali kwa kutumia mtandao
Kutoka asubuhi mpaka sasa nishatembelea tokyo,paris,Manchester,na sasa nipo London
Hata Fb haifungukiBraza kwangu WhatsApp,insta na Twitter naona havifanyi kazi vyote
Wameongeza hasira yangu nitaingia kituo cha kupiga kura saa kumi asubuhi niwe wa kwanza kuliviringisha jiwe