LGE2024 Kuelekea Uchaguzi Serikali za Mitaa: CCM, raia wamewachoka badilikeni kabla mambo hayajaharibika

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Huo usahihi unaangaliwa kwenye kitu gani? Wapigwe, wanyimwe haki zao za kisiasa, waminywe, na wengine kupotezwa, bado utegemee kuona usahihi upi? Hii nchi kiuhalisia upinzani haurusiwi, yaliyopo ni geresha tuu.
Ukiskia wamepigwa wame potezwa hao niwale wanaoingia kichwa kichwa wazima wazima pasipo kujua Nini lipo nyuma ya pazia

Kuna mtu Alisha wai kusema kwamba one of the top of chadema he is the killer of wapinzani wakweli/wazalendo wanao ingia chadema kwa lengo la kupigania haki za kweli za watanzania

Na usahihi ninao uzungumzia mkuu Ni kuwa na viongozi wapinzani kweli wa ccm/chama pinzani sahihi/Cha kweli

Labda niseme chama kisicho itegemea ccm kifedha kuendesha majukumu na harakati zake za ukombozi

Chama ambacho mwasisi wake/ mwenyekiti wake Hana roots za ccm Kama ilivyo kwa kina Mbowe kuwai kulelewa na akina nyelele/ccm

Kuna wakati wata lazimika kuwa enzi walezi wao kwa kuwa uza Baadhi ya wapinzani wa kweli walio chini ya vyama vyao

Fikilia pia kuhusu ule uchaguzi ambao slaa alifanya vizuri lakini ghafra aka pachikwa nywele nyeupe

Sasa yote haya Yana tokana na vibaraka wa CCM waliomo ndani ya chadema mkuu

Nafikiri UTAKUWA umenielewa lakini Kama Kuna sehemu ntakuwa sipo sahihi una weza kuni weka sawa mkuu
 
Mwaka huu raia hata kofia za ccm hawazitaki
 
4R za mchongo
 
Ukiwa humu unaweza hisi nje huko mambo yameganda hayaenda, lakini si kweli watu wanajitokeza sana tu kwenye haki yao ya kimsingi na kikatiba.
 
Ukiwa humu unaweza hisi nje huko mambo yameganda hayaenda, lakini si kweli watu wanajitokeza sana tu kwenye haki yao ya kimsingi na kikatiba.
Tupo humu ndani tupo na nje mkuu siku hizi si Kama miaka ya nyuma miaka ya foreni
 
Mkuu Kuna point flani hapa umepiga penyewe, kiufupi mi naweza kuiweka hv
"Kwa siasa za ccm zinavyoenda, tunahitaji mpinzani ambaye ni mwanaharakati kweli kweli, gangastar haswa asiyecheka na ccm... Tunahitaji myu design flan hana urafiki na ccm mfano wa Tundu Lissu na ccm awachane kweupe km anavyofanya Boniface Mwabukusi"...... Sasa mtu km Mbowe Kila siku ni kucheka Cheka na akina Samia... Mbowe is too much democratic na ni hypocrite mbawa.. Mbowe ni mwoga pia.
 
Ni sawa tu, ujumbe kuwa hatuwataki utakuwa umefika. Na hao wapiga kura wachache ndio itakuwa wanaoikubali ccm, ila huwa wanapora za wapinzani.
Wanapo nichekesha ccm huwa nikwamba wanajua kwamba sasa hivi Hawa takiwi

Lakini hawana mda wa kujiuliza kwanini hawatakiwi ila wanamda kuwa zuia watu wasiikatae ccm
 
Ewaa mkuu Yani kamatundu akichukua nafasi ya Mbowe hivi

Makamu mwenyekiti awe mwabukusi

Yani watu ambao wapo nje ya system hii fake
 
Kusema ukweli mimi Nina marafiki zangu kama wanne hivi
Nimeshangaa kuona wote hawaipendi sisiemu hata kidogo
Maana nilijua ni mimi tu
Japokuwa hatujihusishi na siasa Ila ccm Ina kazi aisee
Hao marafiki ni wapiga kura?
 
ccm inapendwa sana aiseee dah,

ukitaka kuiponda lazima uitaje sana kwenye bandiko lako,

lakini pia ukitaka kuisifia lazima uitaje mno kwenye bandiko lako pia..

athari ya ccm kwenye saikolojia na demokrasia ya Tanzania ni kubwa mno kwakweli dah
 
ccm inapendwa sana aiseee dah,

ukitaka kuiponda lazima uitaje sana kwenye bandiko lako,

lakini pia ukitaka kuisifia lazima uitaje mno kwenye bandiko lako pia..

athari ya ccm kwenye saikolojia na demokrasia ya Tanzania ni kubwa mno kwakweli dah
Ndivyo ilivyo ukiona una semwa Sana kwenye mtaa wako huenda wewe Ni mtu mwema Sana au mpuuzi Sana
 
Kwasasa hakuna chama pinzani sahihi Cha kuiondoa ccm madarakani mkuu kwahiyo hakuna jinsi

..chama kinapewa nguvu na wananchi, wapigakura.

..hakuna chama mbadala wa vyama vya upinzani vilivyoandikishwa mpaka sasa hivi.

..tayari tuna vyama vya upinzani 18 vilivyoko kwenye daftari la Msajili.

..Kuunda chama kipya, cha kumi na tisa, na kuanza upya, ni kujirudisha nyuma.

..maamuzi ni yetu wananchi kuteua kimojawapo kati vya vyama vya upinzani tukipigie kura ili kuiondoa Ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…