Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Wasalaam, imefahamika chama cha mapinduzi kimejipanga kushinda majimbo yote yanayoshikiliwa na vyama vya upinzani liwake jua inyeshe mvua wenyewe wanaimba "wembe ni ule ule" hapa wanamaanisha wembe ule uliotumika ktk uchaguzi WA serikali za mitaa ndio utatumika ktk uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, kitachofanyika utageuzwa upande wa pili.
Nasema haya ni utabiri wangu, kwa maana hata sasa ninapoandika ccm pekee ndio wanaofanya siasa za mtaa kwa mtaa wakilindwa na polisi na nimarafuku kwa vyama vingine vyote kufanya siasa. Ushahidi wa kwanza ni kesi za uchochezi zinazowakabili taribani viongozi wote waandamizi wa vyama vya upinzani, ushahidi wa pili kuwa ccm itashinda 99.9 asilimia ni uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa ambao ulikua ni wa chama kimoja.
Siku zote historia hujirudia, Natabiri.