Uchaguzi 2020 Kuelekea uchanguzi mkuu: ccm kushinda kwa asilimia99.9

Subira the princess

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2018
Posts
3,474
Reaction score
3,744
Wasalaam, imefahamika chama cha mapinduzi kimejipanga kushinda majimbo yote yanayoshikiliwa na vyama vya upinzani liwake jua inyeshe mvua wenyewe wanaimba "wembe ni ule ule" hapa wanamaanisha wembe ule uliotumika ktk uchaguzi WA serikali za mitaa ndio utatumika ktk uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, kitachofanyika utageuzwa upande wa pili.

Nasema haya ni utabiri wangu, kwa maana hata sasa ninapoandika ccm pekee ndio wanaofanya siasa za mtaa kwa mtaa wakilindwa na polisi na nimarafuku kwa vyama vingine vyote kufanya siasa. Ushahidi wa kwanza ni kesi za uchochezi zinazowakabili taribani viongozi wote waandamizi wa vyama vya upinzani, ushahidi wa pili kuwa ccm itashinda 99.9 asilimia ni uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa ambao ulikua ni wa chama kimoja.

Siku zote historia hujirudia, Natabiri.
 
kama ni hivyo kawanini wanachezea kodi zetu bila mpango? ipo siku nao watakua wapinzani, maana ukiua kwa upanga na wewe utauliwa kwa upanga!
 
Wasalaam, imefahamika chama cha mapinduzi kimejipanga kushinda majimbo yote yanayoshikiliwa na vyama vya upinzani liwake jua inyeshe mvua wenyewe wanaimba "wembe ni ule ule" hapa wanamaanisha wembe ule uliotumika ktk uchaguzi WA serikali za mitaa ndio utatumika ktk uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, kitachofanyika utageuzwa upande wa pili.

Nasema haya ni utabiri wangu, kwa maana hata sasa ninapoandika ccm pekee ndio wanaofanya siasa za mtaa kwa mtaa wakilindwa na polisi na nimarafuku kwa vyama vingine vyote kufanya siasa. Ushahidi wa kwanza ni kesi za uchochezi zinazowakabili taribani viongozi wote waandamizi wa vyama vya upinzani, ushahidi wa pili kuwa ccm itashinda 99.9 asilimia ni uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa ambao ulikua ni wa chama kimoja.

Siku zote historia hujirudia, Natabiri.

Watanzania siyo Wajinga.
 
Hapana CCM itashinda asilimia 120
 
Sawa hamna shida kwani tunajua kuwa wanamapinduzi na wadai haki wanaweza kuuliwa Ila kamwe fikra za kimapinduzi na za kudai haki haziwezi kufa ,ever
So wao washinde hivyo wanavyodhani but tutawapinga kwa nguvu zetu zote hadi mwisho..[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasalaam, imefahamika chama cha mapinduzi kimejipanga kushinda majimbo yote yanayoshikiliwa na vyama vya upinzani liwake jua inyeshe mvua wenyewe wanaimba "wembe ni ule ule" hapa wanamaanisha wembe ule uliotumika ktk uchaguzi WA serikali za mitaa ndio utatumika ktk uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, kitachofanyika utageuzwa upande wa pili.

Nasema haya ni utabiri wangu, kwa maana hata sasa ninapoandika ccm pekee ndio wanaofanya siasa za mtaa kwa mtaa wakilindwa na polisi na nimarafuku kwa vyama vingine vyote kufanya siasa. Ushahidi wa kwanza ni kesi za uchochezi zinazowakabili taribani viongozi wote waandamizi wa vyama vya upinzani, ushahidi wa pili kuwa ccm itashinda 99.9 asilimia ni uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa ambao ulikua ni wa chama kimoja.

Siku zote historia hujirudia, Natabiri.
Upinzani haujawahi kutawala Tanzania sasa tofauti ni nini hasa! Iwe 76% au 100% ni yaleyale
 
discuss causes of rise and fall of ccm ..with. reference from this thread
 
[emoji51][emoji51][emoji51]
Dpmw-LYXUAAsrws.jpeg
 
Upinzani haujawahi kutawala Tanzania sasa tofauti ni nini hasa! Iwe 76% au 100% ni yaleyale

Kwa kutumika mbinu zilizotumika kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa hizo asilimia watafikia.
 
Wasalaam, imefahamika chama cha mapinduzi kimejipanga kushinda majimbo yote yanayoshikiliwa na vyama vya upinzani liwake jua inyeshe mvua wenyewe wanaimba "wembe ni ule ule" hapa wanamaanisha wembe ule uliotumika ktk uchaguzi WA serikali za mitaa ndio utatumika ktk uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani, kitachofanyika utageuzwa upande wa pili.

Nasema haya ni utabiri wangu, kwa maana hata sasa ninapoandika ccm pekee ndio wanaofanya siasa za mtaa kwa mtaa wakilindwa na polisi na nimarafuku kwa vyama vingine vyote kufanya siasa. Ushahidi wa kwanza ni kesi za uchochezi zinazowakabili taribani viongozi wote waandamizi wa vyama vya upinzani, ushahidi wa pili kuwa ccm itashinda 99.9 asilimia ni uchaguzi uliopita wa serikali za mitaa ambao ulikua ni wa chama kimoja.

Siku zote historia hujirudia, Natabiri.
Sio 99.9% ni 110%
 
Hata mimi hili jambo nilishaliona kitambo, sijui kama kuna haja ya watanzania kuhangaika kupiga kura, ninachoweza shauri ni kwamba badala ya Wapizani kujipanga kupambana na ccm wajipange kupambana na polisi...akina muroto na vijana wa siro ikiwezekana na vyama pinzani waruhusiwe waanzishe polisi wao.
 
Back
Top Bottom