Hala Madrid,ngoja nimalize shughuli zangu nije tupeane live updates na kubeba kombe hapahapa.
Hahahahahahahahha leo mkuu ni burudaaaaani kabisa, kombe Juve analibeba hili.Tu tu tu tu tu Juuuveee Juve!
Tu tu tu tu tu Juuuveee Juve
Tu tu Juve..Tu tu Juvee
Kazi ipo kati yake na beki kisiki Sergio Ramos
kama halla ndyo magori bac nyie mabingwaHalla Madrid
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hao jamaa hawafai Dunia hii,maana ni dhahiri hawana habari na game ya leo.Lol! Mie nimepita mahali nikawaomba jamaa wanifanyie shughuli yangu wakaniambia waiting time ni 2 hours! Nikawatolea nje maana hii game ya leo si ya kuikosa kabisa. Kombe linashuka Hala Madrid. Haya shughuli njema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hao jamaa hawafai Dunia hii,maana ni dhahiri hawana habari na game ya leo.
Nimemaliza,here we go.
Hawaoneshi mkuuHii mechi sijui real Madrid TV wataonyesha