Kuelekea UEFA champions league final

Kuelekea UEFA champions league final

Lol! Mie nimepita mahali nikawaomba jamaa wanifanyie shughuli yangu wakaniambia waiting time ni 2 hours! Nikawatolea nje maana hii game ya leo si ya kuikosa kabisa. Kombe linashuka Hala Madrid. Haya shughuli njema.

Hala Madrid,ngoja nimalize shughuli zangu nije tupeane live updates na kubeba kombe hapahapa.
 
The Dybala Mask
Forza Juve
4ef2714bd8531075e9f358bc1369fb74.jpg
 
Mtu mmoja wa miraba mitatu huyo wakuitwaga Fernando Hiero..hatari huyo!
 
Lol! Mie nimepita mahali nikawaomba jamaa wanifanyie shughuli yangu wakaniambia waiting time ni 2 hours! Nikawatolea nje maana hii game ya leo si ya kuikosa kabisa. Kombe linashuka Hala Madrid. Haya shughuli njema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hao jamaa hawafai Dunia hii,maana ni dhahiri hawana habari na game ya leo.
Nimemaliza,here we go.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hawana habari kabisa nikawaambia nitaenda kuwaona tena weekend ijayo lol! Wanataka kunikososesha kandanda la kukata na shoka kisa!? Hahahahahah

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hao jamaa hawafai Dunia hii,maana ni dhahiri hawana habari na game ya leo.
Nimemaliza,here we go.
 
[HASHTAG]#APorLa12[/HASHTAG]

[HASHTAG]#HallaMadrid[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom