Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Kilichofanyika ni kuzipokonya halmashauri na vyanzo vyote vya mapato na kuyafanya kuwa kodi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namshauri Esther Matiko atafute kazi nyingine ya kufanya maana pale Bunda Mjini hatakiwi wapiga kura wake wanasema huwa wanamsikia tu kila kukicha yuko Mahakamani tena Dar hata kama kesi si ya kwake lakini yupo Mahakamani
Utani mbaya mbaya huu!Akikosa ubunge atapata udiwani viti maalum, maisha yataendelea.
Hasna Mwilima Chenga tu hata hatumwelewi, Tangu achaguliwe ubunge hajawahi kutembelea jumbo zaidi ya Mara nne, Hasikiki bungeni, jimboni kero nyingi bora asisumbuke kabisaJimbo La Kigoma Kusini CCM:
1. Hasna Mwilima
2. Kafulila David
3. Mwanamvua Mlindoko, DC Uvinza.
4. Kifu Gulam Hussein
5.
Sent using Jamii Forums mobile app