Mnambua,
Hivi huko CCM mbunge anapaswa kuwa kipenzi cha wananchi au kipenzi cha Rais?
Ina maana akikatwa kule juu mtakuwa tayari kumpa kura akihamia chama letu la CHADEMA?Mtaji mkubwa wa Mwigulu ni wananchi wengi, sasa hao vipenzi wa Rais wabaki kusubiri teuzi tu lkn kwa ubunge tutaenda na kipenzi cha wananchi mwigulu
Leo umewamaliza, kabisaaaaa! Polepole kiuno cha kukatika mbona hakipo? Bashite Kishitobe kipo poa!Yaani sasa hivi viongozi wote wa CCM na Wanachama wote wa CCM wamekuwa kama wake wenza kwa mwenyekiti wao.
Kila mmoja anajitahidi kujipitisha pitisha kwa mwenyekigoda akitikisa kalio kumtamanisha apangiwe zamu ya kulala kwake.
Hakika ina sikitisha kuona Bashiru anajikomba, Majaliwa anajipendekeza, Polepole ndio kabisa anataka kuvunja nyonga kwa kukatika katika.
Wengine kama Makonda, ma DC, wakurugenzi na hata wanaJF buku 7 ni balaa! Hawa ndio hata nanihii waweza kuita keki! Astakafulilah wallah! Wamelogwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Feeling The Presidential Test and Smell!View attachment 1313828
Those were the days
Muda si mrefu jiwe ataweka sheria kuwa ili uteuliwe kwenye nafasi lazima akupigilie msumari wa jicho!!nadhani kuna wanachama wa ccm watakubali!!!
Huko ukishatofautiana na mwenyekiti huna chako..Mnambua,
Hivi huko CCM mbunge anapaswa kuwa kipenzi cha wananchi au kipenzi cha Rais?
Mnambua nikushauri uibadilishe username isomeke "munaambûâ"Huyo Mhandisi anaitwa nani? ni vizuri tu atajwe hapa na hata kuendelea kuwachambua hawa waonesha nia sio mbaya sana. Kwa mfano Mwigulu Vs Kitila Mkumbo vipi?
au Mwigulu Vs Juma Kilimba - hapo vipi?
Asante kwa kuboresha. Hapo Jogi ni kifupi cha Joginda ama? Halafu unafikiri utakuwa na nafasi ya kuwauliza maswali?Mnambua nikushauri uibadilishe username isomeke "munaambûâ"
Usijihusishe kabisaa na wanaoita "kisiriri" maana wanyiramba "anaambûâ" inclusive hawana "R"
Mwigulu ni raia mnyiramba pasi na shaka, likewise kétiilâ Mùkúmbo na J. Kêlímbâ.
Tutasikiliza ahadi zao nasi tutawauliza maswali.
Hii ni nzuri:Huyo Mhandisi anaitwa nani? ni vizuri tu atajwe hapa na hata kuendelea kuwachambua hawa waonesha nia sio mbaya sana. Kwa mfano Mwigulu Vs Kitila Mkumbo vipi?
au Mwigulu Vs Juma Kilimba - hapo vipi?
He is back to his people!
Wa kushoto Brigedi Generali Marco Gaguti Mkuu wa Mkoa wa Kagera, enzi hizo akiwa Kanali na Mkuu wa Wilaya ya BuhigweView attachment 1313828
Those were the days
Mhe. Mwigulu Nchemba amekuwa akituhubiria kila siku TUJIAJIRI...nadhani sasa anatakiwa kuonyesha kwa vitendo dhana ya KUJIAJIRI baada ya kupigwa chini Ubunge
Sent using Jamii Forums mobile app
Usihamishe goli mnilyamba, kukosa nafasi ya kuwauliza maswali means hawataniwakilisha kama ambavyo hawaniwakilishi.Asante kwa kuboresha. Hapo Jogi ni kifupi cha Joginda ama? Halafu unafikiri utakuwa na nafasi ya kuwauliza maswali?