LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
CCM bila rushwa Ni ngumu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfanyabiashara mwenye Asili ya Kihindi maarufu "Mwanza Huduma Ltd"
amemwaga noti kwa Wajumbe wa CCM....
Kufuru hiyo imefanyika nyumbani kwa Mwenyekiti wa CCM aliyekuwa akiongoza kikao cha Wajumbe hao nyumbani kwake....
Walipoulizwa kwanini wanatoa rushwa bila kuogopa, wamedai kuwa TAKUKURU Bunda wamewekwa 'sawa'.
Mwingine nae kule Tarime kaji tangazia jimbo. Kasahau ni kati ya wale ng'ombe walio katwa mkia. Mwenye zizi aliwaonea huruma wasi poteze haki zao za ubunge/udiwani.. Yaani wata liona bunge kwenye Tv.Takukuru Bunda washapewa mgao wao.... Bado polisi na wasimamizi wa uchaguzi muda ukiwadia...
Tatizo la wanaccm wengi ni kutetea wala rushwa.Wewe ndio unatembea na mikoba ya bulaya basi mpelekee taarifa kuwa 2020 atafute kwaya ya kuimbia ,ubunge umefika mwisho licha ya Uzi huu wa uongo na kusadikika
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani sasa hivi viongozi wote wa CCM na Wanachama wote wa CCM wamekuwa kama wake wenza kwa mwenyekiti wao.Mnambua,
Hivi huko CCM mbunge anapaswa kuwa kipenzi cha wananchi au kipenzi cha Rais?
Nikimkumbuka nyodo zake wakati ule hadi anachana hotuba ya upinzani bungeni, naishia kuishangaa dunia jinsi inavyo kwenda kasi hadi Mwigulu Leo anatembea kwa kujificha Singida!Mhe. Mwigulu Nchemba amekuwa akituhubiria kila siku TUJIAJIRI...nadhani sasa anatakiwa kuonyesha kwa vitendo dhana ya KUJIAJIRI baada ya kupigwa chini Ubunge
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikimkumbuka nyodo zake wakati ule hadi anachana hotuba ya upinzani bungeni, naishia kuishangaa dunia jinsi inavyo kwenda kasi hadi Mwigulu Leo anatembea kwa kujificha Singida!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikimkumbuka nyodo zake wakati ule hadi anachana hotuba ya upinzani bungeni, naishia kuishangaa dunia jinsi inavyo kwenda kasi hadi Mwigulu Leo anatembea kwa kujificha Singida!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Mhandisi anaitwa nani? ni vizuri tu atajwe hapa na hata kuendelea kuwachambua hawa waonesha nia sio mbaya sana. Kwa mfano Mwigulu Vs Kitila Mkumbo vipi?Mnambua, Pia kuna Mhandisi mmoja yuko AfDB nae anaonekana kutajwa kwenye kinyanganyiro hicho. Aliwahi kuonyesha nia kipindi Mwigulu ana chukua jimbo ila kura za ndani ya chama hazikutosha. Ila huyu kijana ni mwenyeji anae endeleza jimbo kwa mambo mengi yanayo onekana tofauti sana na hao walio tajwa ambao makazi yao ni nje ya jimbo la Iramba... Tusubirie kipenga kilie..
Sent using Jamii Forums mobile app