Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

Wewe ndio unatembea na mikoba ya bulaya basi mpelekee taarifa kuwa 2020 atafute kwaya ya kuimbia ,ubunge umefika mwisho licha ya Uzi huu wa uongo na kusadikika

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfanyabiashara mwenye Asili ya Kihindi maarufu "Mwanza Huduma Ltd"
amemwaga noti kwa Wajumbe wa CCM....

Kufuru hiyo imefanyika nyumbani kwa Mwenyekiti wa CCM aliyekuwa akiongoza kikao cha Wajumbe hao nyumbani kwake....

Walipoulizwa kwanini wanatoa rushwa bila kuogopa, wamedai kuwa TAKUKURU Bunda wamewekwa 'sawa'.

Takukuru Bunda washapewa mgao wao.... Bado polisi na wasimamizi wa uchaguzi muda ukiwadia...
 
Kuna dalili kubwa kuwa Mheshimiwa Mwigulu Nchemba wa Jimbo la Iramba Magharibi akawa na upinzani mkubwa sana mwaka huu katika kutetea nafasi yake ya Ubunge.

Kuteuliwa kwa Prof. Kitila Mkumbo ambaye anaonekana kuwa kipenzi cha Raisi Magufuli kimesababisha Mheshimiwa Mwigulu kupooza sana. Wengine ambao wanampa kiwewe ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa na aliyewahi kuwa Mbunge Jimbo hilo Juma Kilimba ambaye taarifa zinaonyesha akiwa katika maandalizi makali sana ya kugombea jimbo hilo.

Ukiacha mchakato wa wana CCM wenyewe, katika uchaguzi uliopita upinzani mkubwa wa Mwigulu ulitoka kwa Mwanadada Jesca Kishoa (Mbunge Viti Maalum kupitia CHADEMA) ambaye ni Mke wa Mwana CCM David Kafulila.

Kumekuwa na tetesi kuwa huyu mwanadada anaweza akahamia CCM ili kwenda kuongeza mbinyo kwa Mwigulu Nchemba ambaye dalili zinaonesha kuwa sio kipenzi cha Rais kwa sasa.
 
Mnambua, Pia kuna Mhandisi mmoja yuko AfDB nae anaonekana kutajwa kwenye kinyanganyiro hicho. Aliwahi kuonyesha nia kipindi Mwigulu ana chukua jimbo ila kura za ndani ya chama hazikutosha. Ila huyu kijana ni mwenyeji anae endeleza jimbo kwa mambo mengi yanayo onekana tofauti sana na hao walio tajwa ambao makazi yao ni nje ya jimbo la Iramba... Tusubirie kipenga kilie..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnambua,
Hivi huko CCM mbunge anapaswa kuwa kipenzi cha wananchi au kipenzi cha Rais?
Yaani sasa hivi viongozi wote wa CCM na Wanachama wote wa CCM wamekuwa kama wake wenza kwa mwenyekiti wao.
Kila mmoja anajitahidi kujipitisha pitisha kwa mwenyekigoda akitikisa kalio kumtamanisha apangiwe zamu ya kulala kwake.
Hakika ina sikitisha kuona Bashiru anajikomba, Majaliwa anajipendekeza, Polepole ndio kabisa anataka kuvunja nyonga kwa kukatika katika.
Wengine kama Makonda, ma DC, wakurugenzi na hata wanaJF buku 7 ni balaa! Hawa ndio hata nanihii waweza kuita keki! Astakafulilah wallah! Wamelogwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikimkumbuka nyodo zake wakati ule hadi anachana hotuba ya upinzani bungeni, naishia kuishangaa dunia jinsi inavyo kwenda kasi hadi Mwigulu Leo anatembea kwa kujificha Singida!


Sent using Jamii Forums mobile app

Ile ilikuwa laana, huwezifanya Wabunge wa Upinzani WAPUMBAVU KIASI KILE, ETI SPIKA NAYE ALISHANGILIA.

OVYO KABISA.
 
Muda si mrefu jiwe ataweka sheria kuwa ili uteuliwe kwenye nafasi lazima akupigilie msumari wa jicho!!nadhani kuna wanachama wa ccm watakubali!!!
 
Mnambua, Pia kuna Mhandisi mmoja yuko AfDB nae anaonekana kutajwa kwenye kinyanganyiro hicho. Aliwahi kuonyesha nia kipindi Mwigulu ana chukua jimbo ila kura za ndani ya chama hazikutosha. Ila huyu kijana ni mwenyeji anae endeleza jimbo kwa mambo mengi yanayo onekana tofauti sana na hao walio tajwa ambao makazi yao ni nje ya jimbo la Iramba... Tusubirie kipenga kilie..

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Mhandisi anaitwa nani? ni vizuri tu atajwe hapa na hata kuendelea kuwachambua hawa waonesha nia sio mbaya sana. Kwa mfano Mwigulu Vs Kitila Mkumbo vipi?
au Mwigulu Vs Juma Kilimba - hapo vipi?
 
Mtaji mkubwa wa Mwigulu ni wananchi wengi, sasa hao vipenzi wa Rais wabaki kusubiri teuzi tu lkn kwa ubunge tutaenda na kipenzi cha wananchi mwigulu
 
1578303714871.jpeg

Those were the days
 
Back
Top Bottom