Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na siku zote CCM hawajifunzi ni kama kenge kusikia hadi damu itoke sikioni. Kiufupi Waitara anacheza pata potea ya ovyo kabisa kabisaYaani amng'oe Heche?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata angeenda kugombea akiwa Waziri full na awe RPC at the same time awe msimamizi wa uchaguzi hapo atachemka
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani amng'oe Heche?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata angeenda kugombea akiwa Waziri full na awe RPC at the same time awe msimamizi wa uchaguzi hapo atachemka
Sent using Jamii Forums mobile app
Usimpangie ! Bhita ni bhita tu Mura !😡...🤣Akumbuke akisikika tarime vijijini asijue ni kijijini kweli huko ndio wakurya wakorofi hupatikana kuna maeneo mawili magumu sirari na nyamongo aisee izo sehemu ndio koo za kikurya korofi huishi huko sasa ni bora angeenda hata tarime mjini
Sent using Jamii Forums mobile app
Aende kwa Nimrod Mkono huko maana anaumwaNa siku zote CCM hawajifunzi ni kama kenge kusikia hadi damu itoke sikioni. Kiufupi Waitara anacheza pata potea ya ovyo kabisa kabisa
Unawajua kanda maalumu au unawasikia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kiukweli hilo jimbo litampa changamoto sana kulipata, kwa hesabu za kawaida ni ngumu labda kama kuna njia mbadala.
Heche ni mbunge imara hakuna wapiga kura wanamchoka kinachaenda kufanyika ni kwenda kuiba kura kumpora jimbo kwa njia haramuKiukweli hilo jimbo litampa changamoto sana kulipata, kwa hesabu za kawaida ni ngumu labda kama kuna njia mbadala.
Ukonga si pagumu kama huko anapotaka kuja sasa, na Huko endapo atapora ushindi itabidi awe mbunge anayeongoza Duniani kwa kutembea na Ulinzi mkubwa zaidi kupita hata wa waziri mkuuKwani ameshapitishwa na chama chake? au ana uhakika ubabe utatumika kama ulivyotumika kumpitisha kurudia kugombea jimbo la ukonga?
Ukonga hawamtaki kabsa waitara
Kule hata wizi ni ngumu sana, Waitara ni jrani yangu huko kijijni. Sijajua kapiga hesabu gani iliyompa hiyo jeuriHeche ni mbunge imara hakuna wapiga kura wanamchoka kinachaenda kufanyika ni kwenda kuiba kura kumpora jimbo kwa njia haramu
Akifanya huo ujinga ajue kuanzia tarehe ya kusimikwa kwake awe na Ulinzi mkubwa wa mabunduki
Waitara huwa ni mlevi na pindi akilewa ndipo siri nyingi huvuja ni rahisi kupata siri toka kwake pindi akiwa Bar , yupo kama Le mutuzHv mkuu amekamilisha jedwali la wagombea ubunge ccm? Kwa hiyo Waitara kapangiwa huko kwa wanaume?
Sent using Jamii Forums mobile app