Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

huyu amelewa sana yuko chakari kwa kilevi hiki cha madaraka wacha wapambane
 
Kwa kifupi huyu lofa ameshasoma alama za nyakati hasa Kwa upande wa huku dar asingepitishwa ndiyo maana amekimbilia kwao....huyu ndiye mbunge wa Kwanza kuanza kutapatapa mapema,dalili za kushindwa zimeshaanza
 
ana ujanja janja wa kizamani , kaharibu huku ana kimbilia tarime hajui kila kitu kinajulikana
 
Kule ccm ina wagombea wengi ajue hayuko Peke yake au ameisha hakikishiwa ushindi kura ya maoni?
 
Naibu waziri wa ofisi ya Rais TAMISEMI amesema katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu atagombea ubunge wa Jimbo la Tarime vijijini. Ameongeza anatamani CHADEMA kimpitishe JOHN HECHE kugombea Jimbo hilo.

Nauona Mwisho wa Heche katika siasa za Tanzania ikumbukwe katika siku za hivi Kari uni alishindwa na ESTER MATIKO katika kinyang’anyiro cha uchaguzi wa Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Serengeti.
IMG_0264.JPG
 
huyu ataliwa kichwa na ccm kwenye kura za maoni
 
Back
Top Bottom