Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

Uchaguzi 2020 Kuelekelea Uchaguzi mkuu 2020: Tupe tetesi na maoni yako, unapendekeza nani agombee wapi na nafasi gani?

Kwani ameshapitishwa na chama chake? au ana uhakika ubabe utatumika kama ulivyotumika kumpitisha kurudia kugombea jimbo la ukonga?
 
ndoto za mchana za huyu mlamba miguu, kibaraka na msaliti wa siasa za ukumbozi dhidi ya dhuruma na ufedhuri
 
Yaani amng'oe Heche?????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata angeenda kugombea akiwa Waziri full na awe RPC at the same time awe msimamizi wa uchaguzi hapo atachemka

Sent using Jamii Forums mobile app
Na siku zote CCM hawajifunzi ni kama kenge kusikia hadi damu itoke sikioni. Kiufupi Waitara anacheza pata potea ya ovyo kabisa kabisa
 
Akumbuke akisikika tarime vijijini asijue ni kijijini kweli huko ndio wakurya wakorofi hupatikana kuna maeneo mawili magumu sirari na nyamongo aisee izo sehemu ndio koo za kikurya korofi huishi huko sasa ni bora angeenda hata tarime mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
Usimpangie ! Bhita ni bhita tu Mura !😡...🤣
 
Labda kwa kuiba kura kupora ushindi lakini kwa sanduku la kura hawezi kumshinda Heche
 
Kiukweli hilo jimbo litampa changamoto sana kulipata, kwa hesabu za kawaida ni ngumu labda kama kuna njia mbadala.
Heche ni mbunge imara hakuna wapiga kura wanamchoka kinachaenda kufanyika ni kwenda kuiba kura kumpora jimbo kwa njia haramu
 
Yaani huyu kwishnei hata huku Tarime CCM hatumpitishi labda makoti ampitishe
 
Kwani ameshapitishwa na chama chake? au ana uhakika ubabe utatumika kama ulivyotumika kumpitisha kurudia kugombea jimbo la ukonga?
Ukonga si pagumu kama huko anapotaka kuja sasa, na Huko endapo atapora ushindi itabidi awe mbunge anayeongoza Duniani kwa kutembea na Ulinzi mkubwa zaidi kupita hata wa waziri mkuu
 
Heche ni mbunge imara hakuna wapiga kura wanamchoka kinachaenda kufanyika ni kwenda kuiba kura kumpora jimbo kwa njia haramu
Kule hata wizi ni ngumu sana, Waitara ni jrani yangu huko kijijni. Sijajua kapiga hesabu gani iliyompa hiyo jeuri
 
Back
Top Bottom