Samawia
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 592
- 462
Utakuwa hujui maana yake,na ukijua utagundua umekosea sana kulitumia hilo neno mahali ambapo sio pake,pekua kamusi itakusaidia kujua maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa hujui maana yake,na ukijua utagundua umekosea sana kulitumia hilo neno mahali ambapo sio pake,pekua kamusi itakusaidia kujua maana
Unyirambani hamna ukabila kabisa!
Asante mkuuUtakuwa hujui maana yake,na ukijua utagundua umekosea sana kulitumia hilo neno mahali ambapo sio pake,pekua kamusi itakusaidia kujua maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue kutofautisha kati ya CCM na watanzania
Ajaribu kuweka fair ground ataona
Sent using Jamii Forums mobile app
signed and sealed ni Magu hadi 2025Watu wenye fikra pana na wanaozijua siasa za Tanzania wanachoangalia kwa sasa ni nani atakuwa Rais wa Tanzania baada ya 2025.
Rais Magufuli election victory is seemingly a foregone conclusion!
Ninajua ukweli hupanda ngazi na wakati unapanda ngazi kunakuwa na mabishano ya hapa na pale ili tu kuziba ombwe!
Ukweli ni kuwa, Rais Magufuli ataendelea kuwa Rais wa Tanzania mpaka mwaka 2025 labda litokee tukio ambalo liko nje ya uwezo wa kibinadamu!
Wana Kyela msiogope kutupa ubunge sisi wapinzani , nakuhakikishia Tutaibadili Kyela , tutafuta kabisa vijana kutegemea NJEMUKE tu , tunayo mipango mingi sana mizuri juu yaoMasahihisho; Mh. Mwakipesile alitoka 2000 na sio 1995 . Hata hivyo hoja yako mkuu ina mashiko ,,,,tunahitaji mabadiriko jimboni kwetu tupate viongozi vijana ambao wanaweza kuibadirisha sura ya kyela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa ni nani na anaishi wapi, na kwao wapi? mkuukuna jamaa yupo wfp angewafaaa sana ni mtu smart sana na ana vision ila anaonekana hana interest na siasa