MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Pichani ni Eiffel Tower huko Paris, Ufaransa kwa picha ya mwaka 1900 na 2017. Picha inajieleza jinsi gani wazungu walikuwa mbele sana kimaendeleo.
Kama unabisha tafuta picha ya Dar es Salaam ya mwaka 1900. Mimi nadhani tuachane na historia za kusema tuna akili kuwazidi wazungu.
Huko ni kujipa moyo tu na haisaidii. Mababu wa kizungu mwaka 1900 wameshajenga Eiffel Tower je hawa wa kwetu walikuwa wanajenga nini?
Nadhani tuachane na ishu za historia na kuanzia sasa tuangalie tuna nini mkononi na tusonge nacho mbele.