Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,451
Tuwavuruge ili iweje?Kwanini tulishindwa kuwavuruga wao kabla hawajatuvuruga sisi?
Unaelewa unachokiandika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwavuruge ili iweje?Kwanini tulishindwa kuwavuruga wao kabla hawajatuvuruga sisi?
Sasa hivi hauli?.Au kuna jamii ambayo aizai?.Mbwa wenyewe wanazaa sembuse binadamu.Hoja yako iko nje ya hoja ya mtoa mada.Acheni kupindisha hoja nyie vibaraka wa mashetani na mabeberu.
Afrika ni ardhi iliyobarikiwa. Tuliishi maisha mazuri ya kibinadamu kabla ya ujio wa hao majini weupe.
Tulikula, tulioa, tulizaa, tuliishi kwa amani. Hapakuwa na vita, ghasia wala magonjwa.
Walipokuja hawa mabaradhuli ndio wakaanza kuvuruga vuruga kila kitu.
Sasa hivi hauli?.Au kuna jamii ambayo aizai?.Mbwa wenyewe wanazaa sembuse binadamu.Hoja yako iko nje ya hoja ya mtoa mada.
Ina maana sasa unakubali Mabeberu wametuzidi akili kitambo?Pichani ni Eiffel Tower huko Paris, Ufaransa kwa picha ya mwaka 1900 na 2017. Picha inajieleza jinsi gani wazungu walikuwa mbele sana kimaendeleo. Kama unabisha tafuta picha ya Dar es Salaam ya mwaka 1900. Mimi nadhani tuachane na historia za kusema tuna akili kuwazidi wazungu. Huko ni kujipa moyo tu na haisaidii. Mababu wa kizungu mwaka 1900 wameshajenga Eiffel Tower je hawa wa kwetu walikuwa wanajenga nini? Nadhani tuachane na ishu za historia na kuanzia sasa tuangalie tuna nini mkononi na tusonge nacho mbele.
View attachment 2201616
Babu zetu walikua busy kutunga methali eti harakaharaka haina baraka.
Kutawaliwa hakuifanya nchi kuwa masikini.Karibu KILA nchi imewahi tawaliwa.Japan katawaliwa na Mzungu, Mchina katawaliwa na Japan, India na MzunguUingerezz katawaliwa,Marekani katawaliwa lakini maendeleo waliyokuwa nayo ukilinganisha na sisi ni mbingu na ardhi..tatizo letu sisi ni moja bado tuna akili za Zinjanthropas
mbio za mwengeeee....kuna baadhi ya hoteli/lodges/guest houses mwaeza kaa hata wikii...mmelipaa..mwenge ukikaribia mwaambiwa mwondokee mkatafte pa kulala adi mwenge upiteee