MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Naunga mkono hojaPichani ni Eiffel Tower huko Paris, Ufaransa kwa picha ya mwaka 1900 na 2017. Picha inajieleza jinsi gani wazungu walikuwa mbele sana kimaendeleo. Kama unabisha tafuta picha ya Dar es Salaam ya mwaka 1900. Mimi nadhani tuachane na historia za kusema tuna akili kuwazidi wazungu. Huko ni kujipa moyo tu na haisaidii. Mababu wa kizungu mwaka 1900 wameshajenga Eiffel Tower je hawa wa kwetu walikuwa wanajenga nini? Nadhani tuachane na ishu za historia na kuanzia sasa tuangalie tuna nini mkononi na tusonge nacho mbele.
View attachment 2201616
Hahahahahah mkesha wa Mwenge ni kama sodomambio za mwengeeee....kuna baadhi ya hoteli/lodges/guest houses mwaeza kaa hata wikii...mmelipaa..mwenge ukikaribia mwaambiwa mwondokee mkatafte pa kulala adi mwenge upiteee
Babu zetu walikua busy kutunga methali eti harakaharaka haina baraka.Pichani ni Eiffel Tower huko Paris, Ufaransa kwa picha ya mwaka 1900 na 2017. Picha inajieleza jinsi gani wazungu walikuwa mbele sana kimaendeleo. Kama unabisha tafuta picha ya Dar es Salaam ya mwaka 1900. Mimi nadhani tuachane na historia za kusema tuna akili kuwazidi wazungu. Huko ni kujipa moyo tu na haisaidii. Mababu wa kizungu mwaka 1900 wameshajenga Eiffel Tower je hawa wa kwetu walikuwa wanajenga nini? Nadhani tuachane na ishu za historia na kuanzia sasa tuangalie tuna nini mkononi na tusonge nacho mbele.
View attachment 2201616
Polepole ndio mwendoBabu zetu walikua busy kutunga methali eti harakaharaka haina baraka.
Inauma sanaWapigania UHURU walituingiza chaka kwa kuwahadaa waafrika wakawafukuza wakoloni kisha wao wakawa wakoloni weusi, wakijilimisha utajiri wa nchi wao na vizazi vyao huku mamilioni ya waafrika wakitopea kwenye ufukara zaidi ya wakati wa mkoloni. Viwanda, mashamba, na miradi yote waliyoacha wakoloni imekufa. Huku familia za wapigania UHURU wakiwa mamilionea wakiishi kifahari. Kumbe lengo lao lilikuwa ni wao na familia yao na sio waafrika wote.
Walikuwa vilaza wa kutupa, Sana Sana walitafuta vocabulary za ngono. Hayo maneno tumayo ya kujitoshelezaBabu zetu walikua busy kutunga methali eti harakaharaka haina baraka.
Check familia zao walivyo mamilionea kwa ufisadi wa mababa zao baada ya kuwafukuza wakoloni,nao wakaiba wakaenda ficha ulaya.Inauma sana
Historia tunayosoma sisi imechakachuliwa hatari. Mimi hadi namaliza form six nilikuwa najua Idd Amin ni nduli alivamia bila sababu tukaamua tumpige. Kumbe kabla ya bita kuna hadi makubaliano ya amani yalishafanyika huko Somalia (Mogadishu accords)... au hata huu muungano tunaambiwa ni Nyerere na Karume waliamua waungane kumbe nyuma ya pazia kuna wababe waliounganisha kwa maslahi yao.Baada ya kukua na kufanya tafiti, nimegundua historia tuliyosoma mashuleni mengi tumesoma ni uongo na chuki tu zaidi dhidi ya race zingine. Kusema eti ukoloni ndo kikwazo cha maendeleo huu ni uongo mkubwa kabisa, mbona ethiopia, Liberia wao awakutawaliwa mbona SAwa na sisi tu. Mbona nchi za waarabu wanaoishi afrika wao mbona angalau awaisomi Sana namba.
True, Nyerere ndie aliyemchokoza Iddi Amin Ili amrudishe swahiba wake obote madarakani.Muungano ulikuwa ni kwa maslai ya Karume na Nyerere.Karume baada ya kuwafanyizia waarabu Ili wasimlipe kisasi akajisalimisha kwa Nyerere Ili ikitokea ampe msaada.Nyerere nae aliwaogopa wareno wa msumbiji na makaburu wa south africa kama Mwarabu akirudi zanzbar anaweza akashawishiwa na Mreno au Kaburu wampige Nyerere tokea zanZbar,maana Nyerere anafadhili harakati za kumtoa Mreno na Kaburu pia.Historia tunayosoma sisi imechakachuliwa hatari. Mimi hadi namaliza form six nilikuwa najua Idd Amin ni nduli alivamia bila sababu tukaamua tumpige. Kumbe kabla ya bita kuna hadi makubaliano ya amani yalishafanyika huko Somalia (Mogadishu accords)... au hata huu muungano tunaambiwa ni Nyerere na Karume waliamua waungane kumbe nyuma ya pazia kuna wababe waliounganisha kwa maslahi yao.
Uingerezz katawaliwa,Marekani katawaliwa lakini maendeleo waliyokuwa nayo ukilinganisha na sisi ni mbingu na ardhi..tatizo letu sisi ni moja bado tuna akili za ZinjanthropasBaada ya kukua na kufanya tafiti, nimegundua historia tuliyosoma mashuleni mengi tumesoma ni uongo na chuki tu zaidi dhidi ya race zingine. Kusema eti ukoloni ndo kikwazo cha maendeleo huu ni uongo mkubwa kabisa, mbona ethiopia, Liberia wao awakutawaliwa mbona SAwa na sisi tu. Mbona nchi za waarabu wanaoishi afrika wao mbona angalau awaisomi Sana namba.
Kwanini tulishindwa kuwavuruga wao kabla hawajatuvuruga sisi?Acheni kupindisha hoja nyie vibaraka wa mashetani na mabeberu.
Afrika ni ardhi iliyobarikiwa. Tuliishi maisha mazuri ya kibinadamu kabla ya ujio wa hao majini weupe.
Tulikula, tulioa, tulizaa, tuliishi kwa am freeani. Hapakuwa na vita, ghasia wala magonjwa.
Walipokuja hawa mabaradhuli ndio wakaanza kuvuruga vuruga kila kitu.