Kuendelea kujipa matumaini kwa historia kwamba tuna akili kuliko wazungu ni kupoteza muda.

Sasa hivi hauli?.Au kuna jamii ambayo aizai?.Mbwa wenyewe wanazaa sembuse binadamu.Hoja yako iko nje ya hoja ya mtoa mada.
 
Sasa hivi hauli?.Au kuna jamii ambayo aizai?.Mbwa wenyewe wanazaa sembuse binadamu.Hoja yako iko nje ya hoja ya mtoa mada.

Ulitakaje?

Africa is good and cool. Ni nyie wajinga wajinga tu ndio mnaoiharibu.

Na makorona yenu uchwara.
 
Ina maana sasa unakubali Mabeberu wametuzidi akili kitambo?
 
Kumbe akili ni kuvamia taifa lingine na kuwageuza watumwa!?

Hiyo ndiyo akili kwa mujibu wako?
 
Sema wazungu wa zamani ndio walikuwa na akili.

Hawa wa siku hizi vilaza tu kama sisi. Wachache sana ndio wenye akili.
 
Uingerezz katawaliwa,Marekani katawaliwa lakini maendeleo waliyokuwa nayo ukilinganisha na sisi ni mbingu na ardhi..tatizo letu sisi ni moja bado tuna akili za Zinjanthropas
Kutawaliwa hakuifanya nchi kuwa masikini.Karibu KILA nchi imewahi tawaliwa.Japan katawaliwa na Mzungu, Mchina katawaliwa na Japan, India na Mzungu
 
Huwa unazindua hadi guest house!
mbio za mwengeeee....kuna baadhi ya hoteli/lodges/guest houses mwaeza kaa hata wikii...mmelipaa..mwenge ukikaribia mwaambiwa mwondokee mkatafte pa kulala adi mwenge upiteee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…