Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Manyau nyau watapinga hili, na nakuhakikishia MAKOLO wako tayari hata kuruhusu Ke zao zigongwe bure ila si kutoshabikia huo ujinga [emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna akili ya kuanzisha mada za ki-GTMechi ya Leo imetufundisha jambo, awa asec mimosas simba aiwafikii kwa ubora walionao, walivyowafunga kwa mkapa ni kwasababu za nje ya uwanja zaidi na sio kwamba simba iliwazidi ubora, mambo ya kishirikina yanayofanyikaga pale kwa mkapa ili simba ashinde tunayajua vizuri sana, ndo maana slogan ya kwa mkapa atoki mtu inafanya kazi kwa mkapa tu wakitoka nje wanakuwa weupeee, hii dhana ifike mahali ikome, kama una uwezo wa kushinda nyumbani basi uonyeshe angalau kauwezo kidogo kuonyesha ubora wako lakini unafika ugenini unagongeshwa tu kiulaini utafikiri pombe ya ngomani? Timu inabaki kuwa na uwezo uwanja wa taifa tu ambapo ndo jopo la waganga lipo kwanini msiwe mnakwenda nao uko nje wawasaidie na uko???
Wenzako wanaonyesha kitu wakiwa ugenini kimbinu lakini wewe unakuwa mweupe kote kote unakoenda kucheza, mmewafunga berkane kwa mbeleko ya rose mhando kagoli kamoja lakini kimbinu walikuwa vizuri kuwazidi,,vinginevyo ilikuwa droo, unajificha kwenye kichaka cha nani kashinda away???Jibu swali, hao unaowaona wanajua ni mechi ipi wameshinda wakiwa away?
Kama unaamini katika hayo, basi fanya na wewe, si unajua?!We kaa kimyaa ujui unachoongea na wala ujui tunachokijua sisi, simba michezo yote wanayofanyaga tunayo kiganjani kwaiyo ni bora ukanyamaza ubaki na unachoamini wewe
Kakojoe ulale. Huna hoja. Unawaaibisha tu wenye akili zao huko Utopolo kama wapo basi (ukiondoa JK na Jumapili - kwa kauli ya Haji).Wenzako wanaonyesha kitu wakiwa ugenini kimbinu lakini wewe unakuwa mweupe kote kote unakoenda kucheza, mmewafunga berkane kwa mbeleko ya rose mhando kagoli kamoja lakini kimbinu walikuwa vizuri kuwazidi,,vinginevyo ilikuwa droo, unajificha kwenye kichaka cha nani kashinda away???
Na hao wengine kwa nini wanashinda kwao tuu? Lkn pia unaongea kama mgeni na mambo ya nchini hapa, taja timu isiyoroga kabisa, acha mahaba.Mechi ya Leo imetufundisha jambo, awa asec mimosas simba aiwafikii kwa ubora walionao, walivyowafunga kwa mkapa ni kwasababu za nje ya uwanja zaidi na sio kwamba simba iliwazidi ubora...
Huna facts unaropoka ropoka tu. Kwani Berkane kacheza away dhidi ya Simba pekee? Mbona kwa Asec kapigwa? Huyo Asec kacheza away dhidi ya simba pekee? Mbona kwa Gendarmarie kapigwa? Gendarmarie mechi zote za away kapigwa na hakuna aliyocheza na simba, ila simba akishinda home ni uchawi, hakika utopolo ni utopolo.Wenzako wanaonyesha kitu wakiwa ugenini kimbinu lakini wewe unakuwa mweupe kote kote unakoenda kucheza, mmewafunga berkane kwa mbeleko ya rose mhando kagoli kamoja lakini kimbinu walikuwa vizuri kuwazidi,,vinginevyo ilikuwa droo, unajificha kwenye kichaka cha nani kashinda away???
Tunawafahamu nje ndani acha kubwata wewe, na huo ndo uwezo wenu halisi siku zote samaki ukimtoa ndani ya maji hana ujanja unamwelekeza kibra kiulaiHuna akili ya kuanzisha mada za ki-GT
Yaani kwa mtizamo huu eti kuna wanaokutegemea kwenye familia yako. Hasara sana hii.
Ukiangalia kundi kila mtu ameshinda ktk uwanja wa nyumbani kwake. Sasa hao wengine unasemaje?
Uto saa nyingine muwe mnafikiri kama wakomavu. Nongwa itawaua.
Unajifariji tu kwa vile timu lenu lishatolewa mapema.Tunawafahamu nje ndani acha kubwata wewe, na huo ndo uwezo wenu halisi siku zote samaki ukimtoa ndani ya maji hana ujanja unamwelekeza kibra kiulai
kama mlivyotuaibisha na visit zanzibar yenu hata jezi hamjaziuza mkagongwa nje ndaniHalafu wafute na ile visit Tanzania wanatuaibisha kinyama!..
Unateseka sana ukijua mnyama anaenda kufuzu...utopolo kabisa..kmmk.Tunawafahamu nje ndani acha kubwata wewe, na huo ndo uwezo wenu halisi siku zote samaki ukimtoa ndani ya maji hana ujanja unamwelekeza kibra kiulai
Hao aseck wameshinda au hta ku draw mechi hata moja ugenini?mpira wa africa ndo ulivyo ndugu kwa asilimia kubwa sana!!Mechi ya Leo imetufundisha jambo, awa asec mimosas simba aiwafikii kwa ubora walionao, walivyowafunga kwa mkapa ni kwasababu za nje ya uwanja zaidi na sio kwamba simba iliwazidi ubora, mambo ya kishirikina yanayofanyikaga pale kwa mkapa ili simba ashinde tunayajua vizuri sana, ndo maana slogan ya kwa mkapa atoki mtu inafanya kazi kwa mkapa tu wakitoka nje wanakuwa weupeee, hii dhana ifike mahali ikome, kama una uwezo wa kushinda nyumbani basi uonyeshe angalau kauwezo kidogo kuonyesha ubora wako lakini unafika ugenini unagongeshwa tu kiulaini utafikiri pombe ya ngomani? Timu inabaki kuwa na uwezo uwanja wa taifa tu ambapo ndo jopo la waganga lipo kwanini msiwe mnakwenda nao uko nje wawasaidie na uko???
Sasa ata ukifuzu utaenda kuishia wapi zaidi ya kuendelea kuvuna aibu tu, unabaki kutegemea kupuliza dawa vyumbani ovyooo kabisa nyieUnateseka sana ukijua mnyama anaenda kufuzu...utopolo kabisa..kmmk.
Kina kagere, mugalu,boko ndo washambuliaji wanaotegemewa waipe ushindi makolo, kule nyuma unawakuta kina onyango na wawa unategemea nini kwa mfano, Sana Sana utajiegemeza kwenye plan b ya makafara, kuchinja na kufukia, dawa vyumbani lakini wanapotoka nje inakuwa aibu Kama iyo na washazoea siku wakiingia kwenye 18 za caf wataimba!Yaani timu inawachezaji wenye wastani wa miaka 40 alafu inataka kushindana na washindani wao wenye wastani wa miaka 23 kisa wao wanajivunia makafara wanayo Fanya Kwa Mkapa kabla ya mechi.
Mpira wa makafara hauna tija, mta chinja na kufukia Kila aina ya kiumbe lakini furaha yenu ni ya muda tu, soka letu linazidi kudidimia.
[emoji1787] kunywa maji ushushie kwanza usijenifia bure kwa presha zako za kujitakia na za kipumbavu [emoji38]Kwanini unadharau kiungo KE cha wanawake..wewe ulitokea wapi? Mkunduni?
Acha kutukania viungo vya wanawake , huo ni udhalilishaji kijinsia. Labda kama umetokea mkunduni.