Mambo yanakuwa magumu unapotakiwa kuchangamana au kushindania fulsa za kiuchumi ... kingereza kinabaki kuwa jukwaa (universal) ... Ni mpaka Uwe na uchumi mkubwa ndio utapata ahueni ya kufurahi na lugha yako ... Tofauti na hapo ni shida tuu ... siyo kwamba kiswahili kinadharaulika ni uhalisia tuu wa kidunia.Wana jf mimi ninavyojua lugha ni utamaduni hiyo kushadidia lugha za wengine hasa kiingereza ni kwamba kuoenda utamaduni wa kiingereza na kuudharau utamaduni wa mswahili kama ambavyo wakoloni walivyotuaminisha kuwa utamaduni wetu ni wakishenzi
Wana jf mimi ninavyojua lugha ni utamaduni hiyo kushadidia lugha za wengine hasa kiingereza ni kwamba kuoenda utamaduni wa kiingereza na kuudharau utamaduni wa mswahili kama ambavyo wakoloni walivyotuaminisha kuwa utamaduni wetu ni wakishe
Hii ilikuwa zama za mawe.Hi
Wana jf mimi ninavyojua lugha ni utamaduni hiyo kushadidia lugha za wengine hasa kiingereza ni kwamba kuoenda utamaduni wa kiingereza na kuudharau utamaduni wa mswahili kama ambavyo wakoloni walivyotuaminisha kuwa utamaduni wetu ni wakishenzi
Sababu ya nguvu ya kiuchumi haina mashiko kabisa. Nchi nyingi, kama hizo China, Malaysia nk zilianza kufundisha kwa lugha zao zikiwa maskini kabisa. Na hilo ndilo limafanya leo ziwe nchi zilizoelimika na tajiri. Huwezi kuwa na uchumi mzuri kwa elimu ya kukariri.Unatakiwa uwe na nguvu ya uchumi pia ili kuendelea kukomaa na kiswahili hiki.
Unamfundisha mtoto kwa kiswahili ... hata chuo watu wanamaliza hawako vizuri sababu ya kuchanganya lugha ... utashindana na nani kwenye soko la ajira kidunia .... Hatuoni wakenya na waganda wanavyochukua fulsa.. hata kujiamini kunashuka .... Kama tunakipenda kiswahili basi kuna jambo la kufanya kuhusu uchumi wetu ili tuweze kujitegemea kwa sehemu kubwa.
Unafikiri wanaosoma kwa kikorea, kijapan, kireno, kifaransa, kijerumani, kirusi, kimalay, nk nk wanazipataje hizo 'Taarifa nyingi za maana?'Taarifa nyingi za maana zipo kwa kiingereza. Watoto wa Shule za serikali huwa ni watafiti na wanaakili kuliko international. Wakiongezewa dimension ya English kuanzia chekechea, nchi nzima itachangamka kiakili
Kama tunataka kuyaelewa mazingira yetu na kuyamudu basi tufundishe kwa kiswahili level zote.Sababu ya nguvu ya kiuchumi haina mashiko kabisa. Nchi nyingi, kama hizo China, Malaysia nk zilianza kufundisha kwa lugha zao zikiwa maskini kabisa. Na hilo ndilo limafanya leo ziwe nchi zilizoelimika na tajiri. Huwezi kuwa na uchumi mzuri kwa elimu ya kukariri.
Hufundishwi ili ukaajiriwe nje, lengo la elimu ni kukufanya upambane na mazingira yako. Hatujiamini sababu tunajua tuna maarifa ya kukaririkariri hivi. Unafikiri kwenye hayo mashirika ya kimataifa hakuna wachina, wakorea, wajerumani, wafaransa, wareno,waitalioano nk?
Nakubaliana kabisa.... Huwezi kuwa na uchumi mzuri kwa elimu ya kukariri...
Sioni sababu ya kujifunza kwa Kiswahili Shule ya msingi.
1: Walimu wao wanajifunza kozi kwa Kiingereza.
2: Kiswahili tayari tunakiongea nyumbani hata Mtoto akitoka Shule atakiongea hawezi kukisahau.
Hasara tunazopata
1: Watoto wa shuleza msingi wanakuwa wazito na hawaendani na kasi ya dunia.
2: Maarifa mengi ya ziada yako kwa kimombo watoto tunakuwa tumewafungua kwenye kasha la Kiswahili.
Maoni
Kiswahili libaki kama somo tuwafungulie watoto wetu kujuifunza mambo kwa Kiingereza.
Kama ni shida miundombinu angalau tuanze kwa Shule zote za kwenye majiji na miji mikubwa.
Ni hayo tu
Sioni sababu ya kujifunza kwa Kiswahili Shule ya msingi.
1: Walimu wao wanajifunza kozi kwa Kiingereza.
2: Kiswahili tayari tunakiongea nyumbani hata Mtoto akitoka Shule atakiongea hawezi kukisahau.
Hasara tunazopata
1: Watoto wa shuleza msingi wanakuwa wazito na hawaendani na kasi ya dunia.
2: Maarifa mengi ya ziada yako kwa kimombo watoto tunakuwa tumewafungua kwenye kasha la Kiswahili.
Maoni
Kiswahili libaki kama somo tuwafungulie watoto wetu kujuifunza mambo kwa Kiingereza.
Kama ni shida miundombinu angalau tuanze kwa Shule zote za kwenye majiji na miji mikubwa.
Ni hayo tu
Ndiyo inavyotakiwa.Kama tunataka kuyaelewa mazingira yetu na kuyamudu basi tufundishe kwa kiswahili level zote.
Kuna siku nilikuwa nyumbani Kwa mwanasiasa mmoja kwenye mitandao anapush kuhusu kiswahili hatari nyumbani kwake watoto wote wanaongea kingereza fasaha hatari.Kabisa..
Watoto wa wakubwa wanasoma Academy halafu wanapewa scholarship za kwenda kusoma elimu ya juu huko nje - Canada, Us, Eu, nk..
Meanwhile, Wakubwa wanawaambia wanyonge kuwa Kiswahili Kwa sasa ni 'Bidhaa' adimu, wakomae nacho!
Miaka ijayo kutakuwa na tabaka la 'watwana' na 'mabwana' kutokana na huu msingi wa kibaguzi wa elimu!
Uko sahihi100% mmeshawahi fundisha mikoa kadhaa usukumani hukoo ni balaaaHivi mnajua huko vijijini watoto hawajui kabisa kiswahili [emoji23][emoji23][emoji23],asilimia 70% shule za vijijini watoto wao wanongea lugha za kabila lao na walimu wanatumia nguvu kubwa Sana shuleni kuwasisitiza kuongea kiswahili ....!mpaka watoto wananza darasa la kwanza ndio wanakuja kujua kuwa Kuna lugha inaitwa kiswahili .....
Hii nchi Bado ni masikini sanaa Tena wa kutupwa ,msijipe mambo ambayo hamuwezi ,...kisa nyie mmekulia mjini mnajiona Tanzania yote ipo hivo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tembea uone ...Kuna maeneo unaweza kukataa hadharani kuwa hapa sio Tanzania ,ni Burundi au congo ....
Tanzania haina competitive advantage ya kuendelea kwa lugha ya kiswahili. Wachina wengi wanaokuja huku hawajaenda Shule lakini licha ya kujua kichina wanaABC za English.Fikra sahihi huja kwa lugha sahihi,
*Wafaransa wanasoma kwa kifaransa darasani kwao
*Wachina wanasoma kwa kichina darasani kwao
*Waarabu wanasoma kwa kiarabu darasani kwao
*Wajerumani wanasoma kwa kijerumani
*Waitaliano wanasoma kwa kiitaliano
*Waingereza wanasoma kwa kiingereza
*Warusi wanasoma kwa kirusi
*Wajapani wanasoma kijapani
*Wakorea wanasoma kikorea
*Wabelgiji wanasoma kibelgiji
*Wareno wanasoma kwa koreno
Nimechoka kuorozesha.............
Sisi "mazafaka" tusio na mbele wala nyuma tutaendelea kua wapagazi mpaka dunia iishe
Elimu ni mbinu za kuyatumia mazingira uliyonayo kwa namna yenye tija zaidi kwa maendeleo yako hivyo ni lazma ujifunze kwa lugha yako
Mathalani huwezi kuifundisha jamii yako uvuvi kwa kingereza, kilimo halikadhalika, ufuaji wa chuma n.k ambavyo kwa maoni yangu hivyo ndio elimu
Tukiendelea kuamini kwamba elimu ni kingereza hawa jamaa wa vishule vya Engilishimidiamu wataendelea kulamba pesa zetu maana siku hizi wanachukua walimu wakenya na waganda kuja kuwafundisha watoto wetu sio elimu bali kingereza
Asubuhi katoto kakikuaga "Daddy am going" unavimbisha tumbo mtoto ameelimika huyu!
KabisaKutumia kiingereza sekondari na chuo kikuu ndiyo kujidumaza, na ujinga mkubwa. Kiingereza tungejifunza kama lugha tu.
Kama wachina wanajifunza kiingereza sisi ni nani tukikatae?Asante
Hoja yako haiko sawa... Kiswahili Ndio lugha Yetu laizima ipewe kipaumbeleSioni sababu ya kujifunza kwa Kiswahili Shule ya msingi.
1: Walimu wao wanajifunza kozi kwa Kiingereza.
2: Kiswahili tayari tunakiongea nyumbani hata Mtoto akitoka Shule atakiongea hawezi kukisahau.
Hasara tunazopata
1: Watoto wa shuleza msingi wanakuwa wazito na hawaendani na kasi ya dunia.
2: Maarifa mengi ya ziada yako kwa kimombo watoto tunakuwa tumewafungua kwenye kasha la Kiswahili.
Maoni
Kiswahili libaki kama somo tuwafungulie watoto wetu kujuifunza mambo kwa Kiingereza.
Kama ni shida miundombinu angalau tuanze kwa Shule zote za kwenye majiji na miji mikubwa.
Ni hayo tu
Apa unachanganya mambo mawili mkulungwaTanzania haina competitive advantage ya kuendelea kwa lugha ya kiswahili. Wachina wengi wanaokuja huku hawajaenda Shule lakini licha ya kujua kichina wanaABC za English.
Kuna MTU huwa namtafsiria message za kiswahili kwenda kingereza ili aongee na bosi wake mchina Whatsapp. Bosi yuko China hajaenda Shule sana ila ni mfanyabiashara mkubwa anajua English kidogo kama daraja.
Hao wote uliowataja sio wajuha kuhivyo, tayari wanawatu wao walitawanyika duniani Siku nyingi hivyo kila taarifa na mambo ya Muhimu tayari yapo kwao kwa lugha zao sio sisi.
Na kila wakitaka kuchukua hatua za kimataifa lazima wajifue kiingereza hata kama hawajaenda