Kuendelea kutumia Kiswahili Shule ya msingi ni kujipiga mtama wa kitaaluma

Kuendelea kutumia Kiswahili Shule ya msingi ni kujipiga mtama wa kitaaluma

Wana jf mimi ninavyojua lugha ni utamaduni hiyo kushadidia lugha za wengine hasa kiingereza ni kwamba kuoenda utamaduni wa kiingereza na kuudharau utamaduni wa mswahili kama ambavyo wakoloni walivyotuaminisha kuwa utamaduni wetu ni wakishenzi
Mambo yanakuwa magumu unapotakiwa kuchangamana au kushindania fulsa za kiuchumi ... kingereza kinabaki kuwa jukwaa (universal) ... Ni mpaka Uwe na uchumi mkubwa ndio utapata ahueni ya kufurahi na lugha yako ... Tofauti na hapo ni shida tuu ... siyo kwamba kiswahili kinadharaulika ni uhalisia tuu wa kidunia.
 
Wana jf mimi ninavyojua lugha ni utamaduni hiyo kushadidia lugha za wengine hasa kiingereza ni kwamba kuoenda utamaduni wa kiingereza na kuudharau utamaduni wa mswahili kama ambavyo wakoloni walivyotuaminisha kuwa utamaduni wetu ni wakishe
Hi
Wana jf mimi ninavyojua lugha ni utamaduni hiyo kushadidia lugha za wengine hasa kiingereza ni kwamba kuoenda utamaduni wa kiingereza na kuudharau utamaduni wa mswahili kama ambavyo wakoloni walivyotuaminisha kuwa utamaduni wetu ni wakishenzi
Hii ilikuwa zama za mawe.
Sasa hivi lugha ni

Exposure-Elimu matembezi
Pesa
Marafiki duniani

Utamaduni hatufundishwi shuleni utafundishwa nyumbani na mtaani huko kinapoongelewa kiswahili.
 
Unatakiwa uwe na nguvu ya uchumi pia ili kuendelea kukomaa na kiswahili hiki.

Unamfundisha mtoto kwa kiswahili ... hata chuo watu wanamaliza hawako vizuri sababu ya kuchanganya lugha ... utashindana na nani kwenye soko la ajira kidunia .... Hatuoni wakenya na waganda wanavyochukua fulsa.. hata kujiamini kunashuka .... Kama tunakipenda kiswahili basi kuna jambo la kufanya kuhusu uchumi wetu ili tuweze kujitegemea kwa sehemu kubwa.
Sababu ya nguvu ya kiuchumi haina mashiko kabisa. Nchi nyingi, kama hizo China, Malaysia nk zilianza kufundisha kwa lugha zao zikiwa maskini kabisa. Na hilo ndilo limafanya leo ziwe nchi zilizoelimika na tajiri. Huwezi kuwa na uchumi mzuri kwa elimu ya kukariri.

Hufundishwi ili ukaajiriwe nje, lengo la elimu ni kukufanya upambane na mazingira yako. Hatujiamini sababu tunajua tuna maarifa ya kukaririkariri hivi. Unafikiri kwenye hayo mashirika ya kimataifa hakuna wachina, wakorea, wajerumani, wafaransa, wareno,waitalioano nk?
 
Taarifa nyingi za maana zipo kwa kiingereza. Watoto wa Shule za serikali huwa ni watafiti na wanaakili kuliko international. Wakiongezewa dimension ya English kuanzia chekechea, nchi nzima itachangamka kiakili
Unafikiri wanaosoma kwa kikorea, kijapan, kireno, kifaransa, kijerumani, kirusi, kimalay, nk nk wanazipataje hizo 'Taarifa nyingi za maana?'
 
Sababu ya nguvu ya kiuchumi haina mashiko kabisa. Nchi nyingi, kama hizo China, Malaysia nk zilianza kufundisha kwa lugha zao zikiwa maskini kabisa. Na hilo ndilo limafanya leo ziwe nchi zilizoelimika na tajiri. Huwezi kuwa na uchumi mzuri kwa elimu ya kukariri.

Hufundishwi ili ukaajiriwe nje, lengo la elimu ni kukufanya upambane na mazingira yako. Hatujiamini sababu tunajua tuna maarifa ya kukaririkariri hivi. Unafikiri kwenye hayo mashirika ya kimataifa hakuna wachina, wakorea, wajerumani, wafaransa, wareno,waitalioano nk?
Kama tunataka kuyaelewa mazingira yetu na kuyamudu basi tufundishe kwa kiswahili level zote.
 
Sioni sababu ya kujifunza kwa Kiswahili Shule ya msingi.

1: Walimu wao wanajifunza kozi kwa Kiingereza.

2: Kiswahili tayari tunakiongea nyumbani hata Mtoto akitoka Shule atakiongea hawezi kukisahau.

Hasara tunazopata

1: Watoto wa shuleza msingi wanakuwa wazito na hawaendani na kasi ya dunia.

2: Maarifa mengi ya ziada yako kwa kimombo watoto tunakuwa tumewafungua kwenye kasha la Kiswahili.

Maoni

Kiswahili libaki kama somo tuwafungulie watoto wetu kujuifunza mambo kwa Kiingereza.

Kama ni shida miundombinu angalau tuanze kwa Shule zote za kwenye majiji na miji mikubwa.

Ni hayo tu

Walimu wenyewe wako wapi wa kufundisha kiingereza.
 
Yaani lugha nayo inahitaji miundombinu?
 
Kabisa..
Watoto wa wakubwa wanasoma Academy halafu wanapewa scholarship za kwenda kusoma elimu ya juu huko nje - Canada, Us, Eu, nk..
Meanwhile, Wakubwa wanawaambia wanyonge kuwa Kiswahili Kwa sasa ni 'Bidhaa' adimu, wakomae nacho!
Miaka ijayo kutakuwa na tabaka la 'watwana' na 'mabwana' kutokana na huu msingi wa kibaguzi wa elimu!
Kuna siku nilikuwa nyumbani Kwa mwanasiasa mmoja kwenye mitandao anapush kuhusu kiswahili hatari nyumbani kwake watoto wote wanaongea kingereza fasaha hatari.
Hawa wanasiasa ni waongo hatari aisee.
 
Hivi mnajua huko vijijini watoto hawajui kabisa kiswahili [emoji23][emoji23][emoji23],asilimia 70% shule za vijijini watoto wao wanongea lugha za kabila lao na walimu wanatumia nguvu kubwa Sana shuleni kuwasisitiza kuongea kiswahili ....!mpaka watoto wananza darasa la kwanza ndio wanakuja kujua kuwa Kuna lugha inaitwa kiswahili .....

Hii nchi Bado ni masikini sanaa Tena wa kutupwa ,msijipe mambo ambayo hamuwezi ,...kisa nyie mmekulia mjini mnajiona Tanzania yote ipo hivo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tembea uone ...Kuna maeneo unaweza kukataa hadharani kuwa hapa sio Tanzania ,ni Burundi au congo ....
Uko sahihi100% mmeshawahi fundisha mikoa kadhaa usukumani hukoo ni balaaa

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Fikra sahihi huja kwa lugha sahihi,

*Wafaransa wanasoma kwa kifaransa darasani kwao

*Wachina wanasoma kwa kichina darasani kwao

*Waarabu wanasoma kwa kiarabu darasani kwao

*Wajerumani wanasoma kwa kijerumani

*Waitaliano wanasoma kwa kiitaliano

*Waingereza wanasoma kwa kiingereza

*Warusi wanasoma kwa kirusi

*Wajapani wanasoma kijapani

*Wakorea wanasoma kikorea

*Wabelgiji wanasoma kibelgiji

*Wareno wanasoma kwa koreno

Nimechoka kuorozesha.............

Sisi "mazafaka" tusio na mbele wala nyuma tutaendelea kua wapagazi mpaka dunia iishe

Elimu ni mbinu za kuyatumia mazingira uliyonayo kwa namna yenye tija zaidi kwa maendeleo yako hivyo ni lazma ujifunze kwa lugha yako

Mathalani huwezi kuifundisha jamii yako uvuvi kwa kingereza, kilimo halikadhalika, ufuaji wa chuma n.k ambavyo kwa maoni yangu hivyo ndio elimu

Tukiendelea kuamini kwamba elimu ni kingereza hawa jamaa wa vishule vya Engilishimidiamu wataendelea kulamba pesa zetu maana siku hizi wanachukua walimu wakenya na waganda kuja kuwafundisha watoto wetu sio elimu bali kingereza

Asubuhi katoto kakikuaga "Daddy am going" unavimbisha tumbo mtoto ameelimika huyu!
 
Tanzania haina competitive advantage ya kuendelea kwa lugha ya kiswahili. Wachina wengi wanaokuja huku hawajaenda Shule lakini licha ya kujua kichina wanaABC za English.

Kuna MTU huwa namtafsiria message za kiswahili kwenda kingereza ili aongee na bosi wake mchina Whatsapp. Bosi yuko China hajaenda Shule sana ila ni mfanyabiashara mkubwa anajua English kidogo kama daraja.

Hao wote uliowataja sio wajuha kuhivyo, tayari wanawatu wao walitawanyika duniani Siku nyingi hivyo kila taarifa na mambo ya Muhimu tayari yapo kwao kwa lugha zao sio sisi.

Na kila wakitaka kuchukua hatua za kimataifa lazima wajifue kiingereza hata kama hawajaenda
 
Screenshot_2022-03-29-10-09-34.png
 
Sioni sababu ya kujifunza kwa Kiswahili Shule ya msingi.

1: Walimu wao wanajifunza kozi kwa Kiingereza.

2: Kiswahili tayari tunakiongea nyumbani hata Mtoto akitoka Shule atakiongea hawezi kukisahau.

Hasara tunazopata

1: Watoto wa shuleza msingi wanakuwa wazito na hawaendani na kasi ya dunia.

2: Maarifa mengi ya ziada yako kwa kimombo watoto tunakuwa tumewafungua kwenye kasha la Kiswahili.

Maoni

Kiswahili libaki kama somo tuwafungulie watoto wetu kujuifunza mambo kwa Kiingereza.

Kama ni shida miundombinu angalau tuanze kwa Shule zote za kwenye majiji na miji mikubwa.

Ni hayo tu
Hoja yako haiko sawa... Kiswahili Ndio lugha Yetu laizima ipewe kipaumbele
 
Tanzania haina competitive advantage ya kuendelea kwa lugha ya kiswahili. Wachina wengi wanaokuja huku hawajaenda Shule lakini licha ya kujua kichina wanaABC za English.

Kuna MTU huwa namtafsiria message za kiswahili kwenda kingereza ili aongee na bosi wake mchina Whatsapp. Bosi yuko China hajaenda Shule sana ila ni mfanyabiashara mkubwa anajua English kidogo kama daraja.

Hao wote uliowataja sio wajuha kuhivyo, tayari wanawatu wao walitawanyika duniani Siku nyingi hivyo kila taarifa na mambo ya Muhimu tayari yapo kwao kwa lugha zao sio sisi.

Na kila wakitaka kuchukua hatua za kimataifa lazima wajifue kiingereza hata kama hawajaenda
Apa unachanganya mambo mawili mkulungwa

Sina shida na mtu kujifunza lugha yoyote iwe kingereza, kichina kijapani, kisambaa, kichaga n.k, kwani lugha ni jambo muhimu sana katika mawasiliano na maendeleo kwa ujumla

Shida yangu ni namna ambavyo tutatumia lugha ya ughaibuni kujistaarabisha, kujipatia maarifa au generally kujipatia elimu

Ikumbukwe kwamba lugha sio maneno tu yatokayo mdomoni bali lugha ni chombo muhimu sana ambacho kimebeba utamaduni, maarifa na juzi mbalimbali za watu wa jamii fulani

Na ikumbukwe pia lengo la elimu sio kutoa kijana "smati" anayechomekea na mwiko anayezunguka na bahasha kuomba ajira za kola nyeupe....refer interview wanahitajika watu watatu wanaoenda kuomba ni 500?

Lengo la elimu ni kumfanya kijana ama mtu yeyote kuweza kuyatumia mazingira yanayomzunguka pamoja na rasilimali zilizopo kuweza kujiletea maendeleo.....

Mathalani uwepo wa makumi elfu ya mahekta vijijini huku watu wakilia njaa ndio ujinga wenyewe ama kutokuelimika

So bado napinga jambo la kuifanya elimu yetu itolewe kwa lugha za kigeni ila nasapoti lugga za kigeni ziwe nyongeza ya lazima kwenye masomo yetu

Note: sina imani na mfumo wa elimu nchini
Kwamba ukijua kinjekitile ngwale kafa lini ndio tayari ushaelimika?

Tujaribuni kuchek china, india malaysia, brazil, wanatoa elimu ya namna gani

Ukishaelimika kichwani utachangamana na jamii yyte ile hta wamasai na hata usijue lugha zao utafanya nao miamala mbalimbali hata kwa kutumia wakalimani

Mfano wachina wanafuata fursa uku bongo wakiwa weupe hawajui kiswahili ama kingereza ila wanasavaivu
 
Back
Top Bottom