Hakuna cha kuinama tu ndugu yanguMtaka cha mvunguni sharti ainame
Methali imekaa kimagumashi sna hiiMtaka cha mvunguni sharti ainame
Basically unatuambia wewe umetaka,umeamua kuwa masikini na umeridhika,right?Nashangaa sana kuona vijana wengi tunaendelea kuwa maskini katika Karne hii ambayo imejaa fursa kibao just imagine watu kama kiboko ya wachawi , na manabii kibao
Akina chif godlove wanatajirika kwa ujinga ujinga tu akina mwijaku na wengine wengi kibao alafu kuna akina sisi ambao tunaendelea kutafuta pesa kwa njia halali πππ ndo maana tunakuwa maskini
Just imagine mtu anafungua group lake la betting anakuwa anatoza watu kwa kupata preduction ambazo mara nyingi ni za uongo cha ajabu anapata pesa , mtu anaanzisha sijui vikoba , sijui kundi la dada poa sijui nini alafu unashangaa wanapata pesa kibao
ZAmani tulikuwa tunajua produits ni vitu
Ila kwasasa produits ni watu
Kila nikiwaza yote haya najiuiliza kwanini naendelea kuwa maskini kabisa na wakati mimi nina nyota ya unabii πππ
Akiinama achunge sana, maana anaweza kuchomekewa kwa nyuma.Mtaka cha mvunguni sharti ainame
Wahenga walisema,,Methali imekaa kimagumashi sna hii
Huyu ana amini life style ya mtandaoni ya watuBasically unatuambia wewe umetaka,umeamua kuwa masikini na umeridhika,right?
Kuna mbeba vyuma mmoja alipelekwa dubai huko akawa na mzungu kazi yake ikawa ni kumbetua, sasa ilifika wakati yule mzungu naye akawa anataka kumlaa na alimlaa kweliAkiinama achunge sana, maana anaweza kuchomekewa kwa nyuma.
Akae ki master sio,, π€Akiinama achunge sana, maana anaweza kuchomekewa kwa nyuma.
πππ.Kuna mbeba vyuma mmoja alipelekwa dubai huko akawa na mzungu kazi yake ikawa ni kumbetua, sasa ilifika wakati yule mzungu naye akawa anataka kumlaa na alimlaa kweli
Yaani walikuwa wanakulana
Ova
Sana tu. Watu hawacheleweshi yaani.Akae ki master sio,, π€