Atleast wakifanya soft sanctions kuliko economic sanctionsHata mbinyo ukiwekwa wanaoumia ni wananchi wa kawaida wala usitegemee viongozi wataathirika labda waweke mbinyo kwa viongozi binafsi na familia zao
Nipe mfano wa nchi yenye demokrasia ya kweli duniani.Nchi yetu iko katika mfumo wa vyama Vingi kama inavyobainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1)
Kwa Bahati mbaya sana, ingawa Katiba ya nchi inatamka hivyo, watawala wetu wanaonekana kabisa ni watu wasioutaka kabisa mfumo wa vyama vingi na wanatulazimisha watanzania wote turejee kwenye mfumo Wa Chama kimoja cha CCM.
Ushahidi wa wazi ni namna uchaguzi mkuu uliopita ulivyoendeshwa, hadi kutolewa matokeo ya mwisho, ambayo yamempa ushindi Wa asilimia zaidi ya 84, mgombea wake John Pombe Magufuli na kujizolea viti 262 vya ubunge kati ya viti 264!
Sasa kazi ipo katika uundwaji wa Kamati za Bunge, ambapo inatakiwa:-
1. Kamati za hesabu za serikali (PAC)
2. Kamati ya mashirika ya Umma (POAC)
3. Kamati ya serikali za mitaa(LAAC) ni "lazima" ziongozwe na wabunge wa upinzani.
Swali kubwa wanalojiuliza watawala je watawapataje wabunge hao wa upinzani wakati wnyewe ndiyo "waliouvuruga" uchaguzi huo hadi kutopatikana kabisa wabunge hao wa upinzani?
Nimesikia fununu kuwa wafadhili mbalimbali, ambao ndiyo huwa wanatufadhili kwa kiasi kinachokadiriwa cha shilingi trilioni 2 kila mwaka "wanakomalia" kuwa ni lazima sharti hilo litimizwe ndipo walete hayo mapesa yao.
Tumesikia kauli zilizotolewa na washirika mbalimbali wakiwemo Umoja wa mataifa, Ubalozi wa Matekani, Ubalozi wa Uingereza, Ubalozi wa Japan na Jumuiya ya nchi za Ulaya za kutotaka kuutambua uchaguzi huu uliopita kuwa haukuwa na viwango vya kuitwa ni uchaguzi uliokuwa Huru na Haki
Je nchi yetu ambayo imegeuka kuwa ombaomba, japo "inajimwambafai" kuwa inaweza kuwa "donor country" itaweza kumudu kuendesha shughuli zake bila kuwategemea hao wafadhili?
Swali muhimu ambalo tunapaswa tujiulize wananchi wote Wa nchi hii, je nchi yetu itakuwa imefuata njia iliyopitia Zimbabwe kwa kuyafanya maisha ya kila Mtanzania kuwa magumu mno kutokana na kiburi cha watawala wetu wa kutaka mfumo wa chama kimoja ambapo ni kinyume cha Katiba ya nchi?
Ni kweli tukipata kibano hii miaka 5 akili itaturejea.Tupate kwanza kibano,ili akili itukae sawa. Hii miaka 5, waone athari za wizi wa kura.
Mtu huyo ni Tundu Antipas Lissu anayafanyaUko sahihi, lkn lazima kuwe na MTU shupavu wa kuyasemea.
Kama haturuhusiwi kufanya maandamano ya amani kutoa Duku Duku letu basi vikwazo vya kiuchumi ndiyo njia pekee wenye nguvu watatusemea. Kuhusu kuumia itabidi iwe hivyo unapomzuia bubu kusema atajifunza kuandika.Kuna nyimbo nyingine kama huu zinatokana na kutoelewa mambo tu. Kwa mfano ikitokea nchi ikawekewa vikwazo vya uchumi unadhani utafaidika nini; au kwa lugha rahisi sana unadhani ni nani atakayeumia zaidi. Unadhani vikwazo vitamkomoa Magufuli na CCM lakini inabidi ufikiri mara mbili zaidi kabla ya kuombea hilo.
Zimbabwe ilikuwa na vikwazo vya uchumi kwa muda wa karibu miaka 17 chini ya Mugabe; je yeye pamoja watu wake waliwahi kushindwa kwenda kutembea au kutibiwa Singapore au watoto wao kwenda kusoma Hongkong ? Baada ya Mugabe kuondoka madarakani, je unaamini kuwa uharibifu uliotokana na na vikwazo hivyo umekwisha na kweli watu wa Zimbabwe wanafaidika na maisha tena?
Iraq ilikuwa na vikwazo chini ya Saddam, lakini wakati wote wa vikwazo Saddam na watu wake walikuwa wakiishi vizuri tu isipokuwa raia wa kawaida, na leo ni takriban miaka ishirini tangu Saddam ang'olewe, je unadhani kweli madhara ya vikwazo vile yamekwisha na watu wanaishi maisha mazuri tena?
Kuamini kuwa "utakombolewa" na mataifa ya kigeni kwa kumkomoa magufuli na CCM ni ndoto isiyosaidia lolote. Upinzani ulikosea kuamini kuwa kutangaza chuki dhidi ya magufuli ndiyo sera, wakasahau kujenga mashina . wao walichukulia kuwa siasa ni maandamano na mikutano ya hadhara tu. Halafu eti leo wanalilia mataifa ya nje yaje yawasaidie. Utawala wa demokrasi unatokana na sanduku la kura; kila mtu anayelelamika hapa kudai uchaguzi siyo halali kwa sabu alishindwa kwenye boksi la kura siyo mwanademkrasia huyo.
Kwa kifupi, hayo yanayosemwa na mataifa ya nje yanaisha vivyo hivyo; ndiyo maana bado uliwaona mabalazi wote wa nchi hizo za magharibi waliokuwa wametoa matamko wakihudhuria tukio la kuapishwa kwa magufuli tena.
absolutely correct!Mtu huyo ni Tundu Antipas Lissu anayafany
kama haturuhusiwi kufanya maandamano ya amani kutoa Duku Duku letu basi vikwazo vya kiuchumi ndiyo njia pekee wenye nguvu watatusemea. Kuhusu kuumia itabidi iwe hivyo unapomzuia bubu kusema arajifunza kuandika.
Suluhisho pekee siyo vikwazo vya kiuchumi tena kwa sababu wanaoumia siyo viongozi ni wananchi wenyewe.Nchi yetu iko katika mfumo wa vyama vingi kama inavyobainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1)
Kwa Bahati mbaya sana, ingawa Katiba ya nchi inatamka hivyo, watawala wetu wanaonekana kabisa ni watu wasioutaka kabisa mfumo wa vyama vingi na wanatulazimisha watanzania wote turejee kwenye mfumo Wa Chama kimoja cha CCM.
Ushahidi wa wazi ni namna uchaguzi mkuu uliopita ulivyoendeshwa, hadi kutolewa matokeo ya mwisho, ambayo yamempa ushindi Wa asilimia zaidi ya 84, mgombea wake John Pombe Magufuli na kujizolea viti 262 vya ubunge kati ya viti 264!
Sasa kazi ipo katika uundwaji wa Kamati za Bunge, ambapo inatakiwa:-
1. Kamati za hesabu za serikali (PAC)
2. Kamati ya mashirika ya Umma (POAC)
3. Kamati ya serikali za mitaa (LAAC) ni "lazima" ziongozwe na wabunge wa upinzani.
Swali kubwa wanalojiuliza watawala je watawapataje wabunge hao wa upinzani wakati wnyewe ndiyo "waliouvuruga" uchaguzi huo hadi kutopatikana kabisa wabunge hao wa upinzani?
Nimesikia fununu kuwa wafadhili mbalimbali, ambao ndiyo huwa wanatufadhili kwa kiasi kinachokadiriwa cha shilingi trilioni 2 kila mwaka "wanakomalia" kuwa ni lazima sharti hilo litimizwe ndipo walete hayo mapesa yao.
Tumesikia kauli zilizotolewa na washirika mbalimbali wakiwemo Umoja wa mataifa, Ubalozi wa Matekani, Ubalozi wa Uingereza, Ubalozi wa Japan na Jumuiya ya nchi za Ulaya za kutotaka kuutambua uchaguzi huu uliopita kuwa haukuwa na viwango vya kuitwa ni uchaguzi uliokuwa Huru na Haki.
Je, nchi yetu ambayo imegeuka kuwa ombaomba, japo "inajimwambafai" kuwa inaweza kuwa "donor country" itaweza kumudu kuendesha shughuli zake bila kuwategemea hao wafadhili?
Swali muhimu ambalo tunapaswa tujiulize wananchi wote Wa nchi hii, je nchi yetu itakuwa imefuata njia iliyopitia Zimbabwe kwa kuyafanya maisha ya kila Mtanzania kuwa magumu mno kutokana na kiburi cha watawala wetu wa kutaka mfumo wa chama kimoja ambapo ni kinyume cha Katiba ya nchi?
Magnisticky Act wanatumia sana sasa hivi but it is not such effective.Kuna binadamu hata ukimuwekea kikwazo cha aina yoyote akiamua kufanya ushenzi anafanya tu, maana anajua yeye hawezi kuumia ila wengine ndiyo watakaoumia.
Wakafanye kazi. Kwani siku zote walikuwa wanakuja kula kwako? Mna kopi na kupest slogan za ki fala na mhutu wenu,a eti hapa kazi, aliyekuwa anakula kwake nani. Hizo Ni akili za wasio enda sunna.Kura feki zingepitia wapi wakati tayari Lissu kashatuhakikishia hakuna kura feki wala figisu inaharibu utaratibu wa uchaguzi wa mwaka huu!? Na akaongeza kuwa dunia inafuatilia kila kitu kinachoendelea hapa nchini.
Ni wiki na ushee sasa uchaguzi umepita. Dunia imenyamaza wala haizungumzii habari za kura feki wa kura za mabegi! Ila ninyi tu mmejificha kwa uongo mliofundishwa na Antipasu ilikuficha aibu ya matokeo yenu ya uchaguzi. Mpone sasa muanze kufanya kazi acheni kujichechemesha!
Economic sanction inawaumiza raia wa kawaida wanatakiwa kudeal na hao wachache wanaotuzimia mitandaoAtleast wakifanya soft sanctions kuliko economic sanctions
Ndiyo maana wakatunga the Magnisticky Act kwajili ya kutarget individual politicians.Economic sanction inawaumiza raia wa kawaida wanatakiwa kudeal na hao wachache wanaotuzimia mitandao
Hilo halijawahi kuwa tatizo na halitakua tatizoSwali kubwa wanalojiuliza watawala je watawapataje wabunge hao wa upinzani wakati wnyewe ndiyo "waliouvuruga" uchaguzi huo hadi kutopatikana kabisa wabunge hao wa upinzani?
#Uzalendo ni KaziNchi yetu iko katika mfumo wa vyama vingi kama inavyobainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1)
Kwa Bahati mbaya sana, ingawa Katiba ya nchi inatamka hivyo, watawala wetu wanaonekana kabisa ni watu wasioutaka kabisa mfumo wa vyama vingi na wanatulazimisha watanzania wote turejee kwenye mfumo Wa Chama kimoja cha CCM.
Ushahidi wa wazi ni namna uchaguzi mkuu uliopita ulivyoendeshwa, hadi kutolewa matokeo ya mwisho, ambayo yamempa ushindi Wa asilimia zaidi ya 84, mgombea wake John Pombe Magufuli na kujizolea viti 262 vya ubunge kati ya viti 264!
Sasa kazi ipo katika uundwaji wa Kamati za Bunge, ambapo inatakiwa:-
1. Kamati za hesabu za serikali (PAC)
2. Kamati ya mashirika ya Umma (POAC)
3. Kamati ya serikali za mitaa (LAAC) ni "lazima" ziongozwe na wabunge wa upinzani.
Swali kubwa wanalojiuliza watawala je watawapataje wabunge hao wa upinzani wakati wnyewe ndiyo "waliouvuruga" uchaguzi huo hadi kutopatikana kabisa wabunge hao wa upinzani?
Nimesikia fununu kuwa wafadhili mbalimbali, ambao ndiyo huwa wanatufadhili kwa kiasi kinachokadiriwa cha shilingi trilioni 2 kila mwaka "wanakomalia" kuwa ni lazima sharti hilo litimizwe ndipo walete hayo mapesa yao.
Tumesikia kauli zilizotolewa na washirika mbalimbali wakiwemo Umoja wa mataifa, Ubalozi wa Matekani, Ubalozi wa Uingereza, Ubalozi wa Japan na Jumuiya ya nchi za Ulaya za kutotaka kuutambua uchaguzi huu uliopita kuwa haukuwa na viwango vya kuitwa ni uchaguzi uliokuwa Huru na Haki.
Je, nchi yetu ambayo imegeuka kuwa ombaomba, japo "inajimwambafai" kuwa inaweza kuwa "donor country" itaweza kumudu kuendesha shughuli zake bila kuwategemea hao wafadhili?
Swali muhimu ambalo tunapaswa tujiulize wananchi wote Wa nchi hii, je nchi yetu itakuwa imefuata njia iliyopitia Zimbabwe kwa kuyafanya maisha ya kila Mtanzania kuwa magumu mno kutokana na kiburi cha watawala wetu wa kutaka mfumo wa chama kimoja ambapo ni kinyume cha Katiba ya nchi?
Kama waliweza kuitokomeza 'COVID-19' kwa sala; kuna jambo jingine lolote linaloweza kuwashinda hawa vipenzi wa 'mungu'?Je, nchi yetu ambayo imegeuka kuwa ombaomba, japo "inajimwambafai" kuwa inaweza kuwa "donor country" itaweza kumudu kuendesha shughuli zake bila kuwategemea hao wafadhili?
Looo, nimekusoma kwa mara ya kwanza kabisa mkuu, hapa JF.#Uzalendo ni Kazi
".......
Nimesikia fununu kuwa wafadhili mbalimbali, ambao ndiyo huwa wanatufadhili kwa kiasi kinachokadiriwa cha shilingi trilioni 2 kila mwaka "wanakomalia" kuwa ni lazima sharti hilo litimizwe ndipo walete hayo mapesa yao.
Tumesikia kauli zilizotolewa na washirika mbalimbali wakiwemo Umoja wa mataifa, Ubalozi wa Matekani, Ubalozi wa Uingereza, Ubalozi wa Japan na Jumuiya ya nchi za Ulaya za kutotaka kuutambua uchaguzi huu uliopita kuwa haukuwa na viwango vya kuitwa ni uchaguzi uliokuwa Huru na Haki........"
Hiyo mada uliyoweka hapo ulikuwa unamaanisha au unatania?
Je, wewe ni Mtanzania au mkazi wa ughaibuni?
Nchi gani duaniani, viongozi wa kisiasa hutoa haki uliyoikamia nje ya mfumo wa mahakama na kamisheni za kisheria?
Je, ni wapi ulishuhudia au kusikia kwa uhakika HAKI hutolewa bila WAJIBU? [Once you obligationary heed the law it is evident rights and justice is apparent to prevail]
Kushabikia kauli tata kutoka mataifa makubwa dhidi ya nchi yako au jirani yako ni upofu wa moyo na Roho ambapo madhara yake huwezi amini kama yatakuadhibu mwenyewe...
Kwa hiyo Mnamuaa Nini SasaKwa faida ya wana JF ungetutajia alichosema Tundu Lissu siku hiyo na kilichotokea siku ya uchaguzi
Mkuu tutazabuliwa mpaka tukome, no way out, tutakula dagaa, mpaka mboga zingine kama China, japo sio wote tutaumia, asilimia kubwa tutajuta kuzaliwa.Nchi yetu iko katika mfumo wa vyama vingi kama inavyobainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1)
Kwa Bahati mbaya sana, ingawa Katiba ya nchi inatamka hivyo, watawala wetu wanaonekana kabisa ni watu wasioutaka kabisa mfumo wa vyama vingi na wanatulazimisha watanzania wote turejee kwenye mfumo Wa Chama kimoja cha CCM.
Ushahidi wa wazi ni namna uchaguzi mkuu uliopita ulivyoendeshwa, hadi kutolewa matokeo ya mwisho, ambayo yamempa ushindi Wa asilimia zaidi ya 84, mgombea wake John Pombe Magufuli na kujizolea viti 262 vya ubunge kati ya viti 264!
Sasa kazi ipo katika uundwaji wa Kamati za Bunge, ambapo inatakiwa:-
1. Kamati za hesabu za serikali (PAC)
2. Kamati ya mashirika ya Umma (POAC)
3. Kamati ya serikali za mitaa (LAAC) ni "lazima" ziongozwe na wabunge wa upinzani.
Swali kubwa wanalojiuliza watawala je watawapataje wabunge hao wa upinzani wakati wnyewe ndiyo "waliouvuruga" uchaguzi huo hadi kutopatikana kabisa wabunge hao wa upinzani?
Nimesikia fununu kuwa wafadhili mbalimbali, ambao ndiyo huwa wanatufadhili kwa kiasi kinachokadiriwa cha shilingi trilioni 2 kila mwaka "wanakomalia" kuwa ni lazima sharti hilo litimizwe ndipo walete hayo mapesa yao.
Tumesikia kauli zilizotolewa na washirika mbalimbali wakiwemo Umoja wa mataifa, Ubalozi wa Matekani, Ubalozi wa Uingereza, Ubalozi wa Japan na Jumuiya ya nchi za Ulaya za kutotaka kuutambua uchaguzi huu uliopita kuwa haukuwa na viwango vya kuitwa ni uchaguzi uliokuwa Huru na Haki.
Je, nchi yetu ambayo imegeuka kuwa ombaomba, japo "inajimwambafai" kuwa inaweza kuwa "donor country" itaweza kumudu kuendesha shughuli zake bila kuwategemea hao wafadhili?
Swali muhimu ambalo tunapaswa tujiulize wananchi wote Wa nchi hii, je nchi yetu itakuwa imefuata njia iliyopitia Zimbabwe kwa kuyafanya maisha ya kila Mtanzania kuwa magumu mno kutokana na kiburi cha watawala wetu wa kutaka mfumo wa chama kimoja ambapo ni kinyume cha Katiba ya nchi?
Pole kamanda uchwara ha ha ha aaa....sasa Kamanda acha " kujichechemesha " kafanye kazi. Neno "uchwara" limetumika kiutani kwa sababu hukuingia barabarani kamanda.Wakafanye kazi. Kwani siku zote walikuwa wanakuja kula kwako? Mna kopi na kupest slogan za ki fala na mhutu wenu,a eti hapa kazi, aliyekuwa anakula kwake nani. Hizo Ni akili za wasio enda sunna.
Wewe endelea kusikia tuNchi yetu iko katika mfumo wa vyama vingi kama inavyobainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1)
Kwa Bahati mbaya sana, ingawa Katiba ya nchi inatamka hivyo, watawala wetu wanaonekana kabisa ni watu wasioutaka kabisa mfumo wa vyama vingi na wanatulazimisha watanzania wote turejee kwenye mfumo Wa Chama kimoja cha CCM.
Ushahidi wa wazi ni namna uchaguzi mkuu uliopita ulivyoendeshwa, hadi kutolewa matokeo ya mwisho, ambayo yamempa ushindi Wa asilimia zaidi ya 84, mgombea wake John Pombe Magufuli na kujizolea viti 262 vya ubunge kati ya viti 264!
Sasa kazi ipo katika uundwaji wa Kamati za Bunge, ambapo inatakiwa:-
1. Kamati za hesabu za serikali (PAC)
2. Kamati ya mashirika ya Umma (POAC)
3. Kamati ya serikali za mitaa (LAAC) ni "lazima" ziongozwe na wabunge wa upinzani.
Swali kubwa wanalojiuliza watawala je watawapataje wabunge hao wa upinzani wakati wnyewe ndiyo "waliouvuruga" uchaguzi huo hadi kutopatikana kabisa wabunge hao wa upinzani?
Nimesikia fununu kuwa wafadhili mbalimbali, ambao ndiyo huwa wanatufadhili kwa kiasi kinachokadiriwa cha shilingi trilioni 2 kila mwaka "wanakomalia" kuwa ni lazima sharti hilo litimizwe ndipo walete hayo mapesa yao.
Tumesikia kauli zilizotolewa na washirika mbalimbali wakiwemo Umoja wa mataifa, Ubalozi wa Matekani, Ubalozi wa Uingereza, Ubalozi wa Japan na Jumuiya ya nchi za Ulaya za kutotaka kuutambua uchaguzi huu uliopita kuwa haukuwa na viwango vya kuitwa ni uchaguzi uliokuwa Huru na Haki.
Je, nchi yetu ambayo imegeuka kuwa ombaomba, japo "inajimwambafai" kuwa inaweza kuwa "donor country" itaweza kumudu kuendesha shughuli zake bila kuwategemea hao wafadhili?
Swali muhimu ambalo tunapaswa tujiulize wananchi wote Wa nchi hii, je nchi yetu itakuwa imefuata njia iliyopitia Zimbabwe kwa kuyafanya maisha ya kila Mtanzania kuwa magumu mno kutokana na kiburi cha watawala wetu wa kutaka mfumo wa chama kimoja ambapo ni kinyume cha Katiba ya nchi?
Huyo Lissu kuweza kupata hata hizo kura milioni moja na ushee ni mafanikio makubwa kwake.Kura feki zingepitia wapi wakati tayari Lissu kashatuhakikishia hakuna kura feki wala figisu inaharibu utaratibu wa uchaguzi wa mwaka huu!? Na akaongeza kuwa dunia inafuatilia kila kitu kinachoendelea hapa nchini.