Kuendelea kuwekewa "mbinyo" na Jumuiya ya kimataifa, ndiyo njia pekee iliyobaki inayoweza kuiokoa nchi yetu katika anguko la kidemokrasia

Nchi yetu iko katika mfumo wa vyama Vingi kama inavyobainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1)

Kwa Bahati mbaya sana, ingawa Katiba ya nchi inatamka hivyo, watawala wetu wanaonekana kabisa ni watu wasioutaka kabisa mfumo wa vyama vingi na wanatulazimisha watanzania wote turejee kwenye mfumo Wa Chama kimoja cha CCM.

Ushahidi wa wazi ni namna uchaguzi mkuu uliopita ulivyoendeshwa, hadi kutolewa matokeo ya mwisho, ambayo yamempa ushindi Wa asilimia zaidi ya 84, mgombea wake John Pombe Magufuli na kujizolea viti 262 vya ubunge kati ya viti 264!

Sasa kazi ipo katika uundwaji wa Kamati za Bunge, ambapo inatakiwa:-

1. Kamati za hesabu za serikali (PAC)
2. Kamati ya mashirika ya Umma (POAC)
3. Kamati ya serikali za mitaa(LAAC) ni "lazima" ziongozwe na wabunge wa upinzani.

Swali kubwa wanalojiuliza watawala je watawapataje wabunge hao wa upinzani wakati wnyewe ndiyo "waliouvuruga" uchaguzi huo hadi kutopatikana kabisa wabunge hao wa upinzani?

Nimesikia fununu kuwa wafadhili mbalimbali, ambao ndiyo huwa wanatufadhili kwa kiasi kinachokadiriwa cha shilingi trilioni 2 kila mwaka "wanakomalia" kuwa ni lazima sharti hilo litimizwe ndipo walete hayo mapesa yao.

Tumesikia kauli zilizotolewa na washirika mbalimbali wakiwemo Umoja wa mataifa, Ubalozi wa Matekani, Ubalozi wa Uingereza, Ubalozi wa Japan na Jumuiya ya nchi za Ulaya za kutotaka kuutambua uchaguzi huu uliopita kuwa haukuwa na viwango vya kuitwa ni uchaguzi uliokuwa Huru na Haki

Je nchi yetu ambayo imegeuka kuwa ombaomba, japo "inajimwambafai" kuwa inaweza kuwa "donor country" itaweza kumudu kuendesha shughuli zake bila kuwategemea hao wafadhili?

Swali muhimu ambalo tunapaswa tujiulize wananchi wote Wa nchi hii, je nchi yetu itakuwa imefuata njia iliyopitia Zimbabwe kwa kuyafanya maisha ya kila Mtanzania kuwa magumu mno kutokana na kiburi cha watawala wetu wa kutaka mfumo wa chama kimoja ambapo ni kinyume cha Katiba ya nchi?
Nipe mfano wa nchi yenye demokrasia ya kweli duniani.

Ninacho jua mimi nchi zote ulimwenguni zilizojaribu kuwa na demokrasia ya kweli ziliangamia. Wagiriki walianziasha demokrasia wakaangamia na warum nao vilevile walikwenda chini. Wengine wanao fuata ni waingereza na baadae watakuja waamerika. Si mnaona mambo yanayotokea huko? Ninkichekesho kweli. Eti nyie ndiyo wa kufanganywa kuwa demokrasia ya kweli iko Amerika. Amerika? "Da lachen sogar die Hühner(hata kuku wanacheka)!"

Wachina na waarabu ndiyo watao-dominate ulimwengu. Mtake msitake.

Ujerumani kwa mfano hivi sasa imesha chukuliwa na waturuki. Rais wa Utruki Erdogan ndiye mwenye kupeleka commands Ujerumani na wafuasi wake wanaitikia.
Wajerumani hata wafanye nini, hawawezi kuwazuia na kuwafukuza.

Na nataka tu mtambue waturuki nao wanazaana ile mbaya kama sisi, kiasi kwamba miaka 50 tu ijayo asilimia kubwa ya wajerumani watakuwa wenye asili ya kituruki.

Mfano ni huu hapa; hawa researchers wawili wa Covid-19 Vaccine ni mke na mme. Ni wajerumanu wenye asili ya kituruki. Hivyo mjionee wenyewe ulimwengu unako kwenda
Hi ni picha moja wapo ya kuwaonyesha nyie walilia demokrasia na haki za bidam kuwa kwenye viwanda vikubwa vya magari na mashine huko ujerumani asilimia kubwa ya wafanyakazi na hata mabosi ni waturuki. Nyie endeleeni kulala na ku-dream demokrasia, mkitegemea kila kitu kitaletwa kenyewe. Nendeni nje mkauangalie ulimwengu sio kukaa kaa Tanzania tu na kulilia vitu msivyo vijua asili yake.

Askofu Gwajima alikwisha waeleza ulimwengu unako kwenda na watu wasio ujua ulimwengu vizuri kwa ujinga wao walimkebei sana. Hapa nawaambia kitu kimoja kuwa huyu Askofu ni mtu anaye ona mbali sana. Anapo piga Safari zake za nje na kuongea na watu, nin mtu anaye yachunguza sana mazingira. Na mimi ninampa right.

Nyie vijana wa leo endeleeni tu na mambo ya kupenda kuiga maneno na vitendo vya watu wengine bila kujiuliza, kwanini?. Tumieni common sense yenu kusoma nyakati! Mtauzwa mchana kweupe!

Demokrasia wanayo taka kutujaza sisi ni demokrasia ya kutuibia rasilimali zetu na sio kingine.
 
Tupate kwanza kibano,ili akili itukae sawa. Hii miaka 5, waone athari za wizi wa kura.
Ni kweli tukipata kibano hii miaka 5 akili itaturejea.

Siyo kwa njia hii ya kupeleka "ballot papers" zilizojaa kwenye mabegi zilizotikiwa kabisa kwa wagombea wa CCM
 
Uko sahihi, lkn lazima kuwe na MTU shupavu wa kuyasemea.
Mtu huyo ni Tundu Antipas Lissu anayafanya
Kuna nyimbo nyingine kama huu zinatokana na kutoelewa mambo tu. Kwa mfano ikitokea nchi ikawekewa vikwazo vya uchumi unadhani utafaidika nini; au kwa lugha rahisi sana unadhani ni nani atakayeumia zaidi. Unadhani vikwazo vitamkomoa Magufuli na CCM lakini inabidi ufikiri mara mbili zaidi kabla ya kuombea hilo.

Zimbabwe ilikuwa na vikwazo vya uchumi kwa muda wa karibu miaka 17 chini ya Mugabe; je yeye pamoja watu wake waliwahi kushindwa kwenda kutembea au kutibiwa Singapore au watoto wao kwenda kusoma Hongkong ? Baada ya Mugabe kuondoka madarakani, je unaamini kuwa uharibifu uliotokana na na vikwazo hivyo umekwisha na kweli watu wa Zimbabwe wanafaidika na maisha tena?

Iraq ilikuwa na vikwazo chini ya Saddam, lakini wakati wote wa vikwazo Saddam na watu wake walikuwa wakiishi vizuri tu isipokuwa raia wa kawaida, na leo ni takriban miaka ishirini tangu Saddam ang'olewe, je unadhani kweli madhara ya vikwazo vile yamekwisha na watu wanaishi maisha mazuri tena?

Kuamini kuwa "utakombolewa" na mataifa ya kigeni kwa kumkomoa magufuli na CCM ni ndoto isiyosaidia lolote. Upinzani ulikosea kuamini kuwa kutangaza chuki dhidi ya magufuli ndiyo sera, wakasahau kujenga mashina . wao walichukulia kuwa siasa ni maandamano na mikutano ya hadhara tu. Halafu eti leo wanalilia mataifa ya nje yaje yawasaidie. Utawala wa demokrasi unatokana na sanduku la kura; kila mtu anayelelamika hapa kudai uchaguzi siyo halali kwa sabu alishindwa kwenye boksi la kura siyo mwanademkrasia huyo.

Kwa kifupi, hayo yanayosemwa na mataifa ya nje yanaisha vivyo hivyo; ndiyo maana bado uliwaona mabalazi wote wa nchi hizo za magharibi waliokuwa wametoa matamko wakihudhuria tukio la kuapishwa kwa magufuli tena.
Kama haturuhusiwi kufanya maandamano ya amani kutoa Duku Duku letu basi vikwazo vya kiuchumi ndiyo njia pekee wenye nguvu watatusemea. Kuhusu kuumia itabidi iwe hivyo unapomzuia bubu kusema atajifunza kuandika.
 
Mtu huyo ni Tundu Antipas Lissu anayafany

kama haturuhusiwi kufanya maandamano ya amani kutoa Duku Duku letu basi vikwazo vya kiuchumi ndiyo njia pekee wenye nguvu watatusemea. Kuhusu kuumia itabidi iwe hivyo unapomzuia bubu kusema arajifunza kuandika.
absolutely correct!
 
Nchi yetu iko katika mfumo wa vyama vingi kama inavyobainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1)

Kwa Bahati mbaya sana, ingawa Katiba ya nchi inatamka hivyo, watawala wetu wanaonekana kabisa ni watu wasioutaka kabisa mfumo wa vyama vingi na wanatulazimisha watanzania wote turejee kwenye mfumo Wa Chama kimoja cha CCM.

Ushahidi wa wazi ni namna uchaguzi mkuu uliopita ulivyoendeshwa, hadi kutolewa matokeo ya mwisho, ambayo yamempa ushindi Wa asilimia zaidi ya 84, mgombea wake John Pombe Magufuli na kujizolea viti 262 vya ubunge kati ya viti 264!

Sasa kazi ipo katika uundwaji wa Kamati za Bunge, ambapo inatakiwa:-

1. Kamati za hesabu za serikali (PAC)
2. Kamati ya mashirika ya Umma (POAC)
3. Kamati ya serikali za mitaa (LAAC) ni "lazima" ziongozwe na wabunge wa upinzani.

Swali kubwa wanalojiuliza watawala je watawapataje wabunge hao wa upinzani wakati wnyewe ndiyo "waliouvuruga" uchaguzi huo hadi kutopatikana kabisa wabunge hao wa upinzani?

Nimesikia fununu kuwa wafadhili mbalimbali, ambao ndiyo huwa wanatufadhili kwa kiasi kinachokadiriwa cha shilingi trilioni 2 kila mwaka "wanakomalia" kuwa ni lazima sharti hilo litimizwe ndipo walete hayo mapesa yao.

Tumesikia kauli zilizotolewa na washirika mbalimbali wakiwemo Umoja wa mataifa, Ubalozi wa Matekani, Ubalozi wa Uingereza, Ubalozi wa Japan na Jumuiya ya nchi za Ulaya za kutotaka kuutambua uchaguzi huu uliopita kuwa haukuwa na viwango vya kuitwa ni uchaguzi uliokuwa Huru na Haki.

Je, nchi yetu ambayo imegeuka kuwa ombaomba, japo "inajimwambafai" kuwa inaweza kuwa "donor country" itaweza kumudu kuendesha shughuli zake bila kuwategemea hao wafadhili?

Swali muhimu ambalo tunapaswa tujiulize wananchi wote Wa nchi hii, je nchi yetu itakuwa imefuata njia iliyopitia Zimbabwe kwa kuyafanya maisha ya kila Mtanzania kuwa magumu mno kutokana na kiburi cha watawala wetu wa kutaka mfumo wa chama kimoja ambapo ni kinyume cha Katiba ya nchi?
Suluhisho pekee siyo vikwazo vya kiuchumi tena kwa sababu wanaoumia siyo viongozi ni wananchi wenyewe.

Tuanzishe Liberation Movement tu
cc
ZittoMnyika
 
Kura feki zingepitia wapi wakati tayari Lissu kashatuhakikishia hakuna kura feki wala figisu inaharibu utaratibu wa uchaguzi wa mwaka huu!? Na akaongeza kuwa dunia inafuatilia kila kitu kinachoendelea hapa nchini.

Ni wiki na ushee sasa uchaguzi umepita. Dunia imenyamaza wala haizungumzii habari za kura feki wa kura za mabegi! Ila ninyi tu mmejificha kwa uongo mliofundishwa na Antipasu ilikuficha aibu ya matokeo yenu ya uchaguzi. Mpone sasa muanze kufanya kazi acheni kujichechemesha!
Wakafanye kazi. Kwani siku zote walikuwa wanakuja kula kwako? Mna kopi na kupest slogan za ki fala na mhutu wenu,a eti hapa kazi, aliyekuwa anakula kwake nani. Hizo Ni akili za wasio enda sunna.
 
Economic sanction inawaumiza raia wa kawaida wanatakiwa kudeal na hao wachache wanaotuzimia mitandao
Ndiyo maana wakatunga the Magnisticky Act kwajili ya kutarget individual politicians.

But all in all external solutions are not effective lazima kuwa na internal pressure kubwa.
 
Swali kubwa wanalojiuliza watawala je watawapataje wabunge hao wa upinzani wakati wnyewe ndiyo "waliouvuruga" uchaguzi huo hadi kutopatikana kabisa wabunge hao wa upinzani?
Hilo halijawahi kuwa tatizo na halitakua tatizo

Rais ana nafasi kumi, tutamteua hata Hashim Rungwe, nyie suseni tu mwisho mtarudi bungeni tumewazoea.
 
Nchi yetu iko katika mfumo wa vyama vingi kama inavyobainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1)

Kwa Bahati mbaya sana, ingawa Katiba ya nchi inatamka hivyo, watawala wetu wanaonekana kabisa ni watu wasioutaka kabisa mfumo wa vyama vingi na wanatulazimisha watanzania wote turejee kwenye mfumo Wa Chama kimoja cha CCM.

Ushahidi wa wazi ni namna uchaguzi mkuu uliopita ulivyoendeshwa, hadi kutolewa matokeo ya mwisho, ambayo yamempa ushindi Wa asilimia zaidi ya 84, mgombea wake John Pombe Magufuli na kujizolea viti 262 vya ubunge kati ya viti 264!

Sasa kazi ipo katika uundwaji wa Kamati za Bunge, ambapo inatakiwa:-

1. Kamati za hesabu za serikali (PAC)
2. Kamati ya mashirika ya Umma (POAC)
3. Kamati ya serikali za mitaa (LAAC) ni "lazima" ziongozwe na wabunge wa upinzani.

Swali kubwa wanalojiuliza watawala je watawapataje wabunge hao wa upinzani wakati wnyewe ndiyo "waliouvuruga" uchaguzi huo hadi kutopatikana kabisa wabunge hao wa upinzani?

Nimesikia fununu kuwa wafadhili mbalimbali, ambao ndiyo huwa wanatufadhili kwa kiasi kinachokadiriwa cha shilingi trilioni 2 kila mwaka "wanakomalia" kuwa ni lazima sharti hilo litimizwe ndipo walete hayo mapesa yao.

Tumesikia kauli zilizotolewa na washirika mbalimbali wakiwemo Umoja wa mataifa, Ubalozi wa Matekani, Ubalozi wa Uingereza, Ubalozi wa Japan na Jumuiya ya nchi za Ulaya za kutotaka kuutambua uchaguzi huu uliopita kuwa haukuwa na viwango vya kuitwa ni uchaguzi uliokuwa Huru na Haki.

Je, nchi yetu ambayo imegeuka kuwa ombaomba, japo "inajimwambafai" kuwa inaweza kuwa "donor country" itaweza kumudu kuendesha shughuli zake bila kuwategemea hao wafadhili?

Swali muhimu ambalo tunapaswa tujiulize wananchi wote Wa nchi hii, je nchi yetu itakuwa imefuata njia iliyopitia Zimbabwe kwa kuyafanya maisha ya kila Mtanzania kuwa magumu mno kutokana na kiburi cha watawala wetu wa kutaka mfumo wa chama kimoja ambapo ni kinyume cha Katiba ya nchi?
#Uzalendo ni Kazi

".......

Tumesikia kauli zilizotolewa na washirika mbalimbali wakiwemo Umoja wa mataifa, Ubalozi wa Matekani, Ubalozi wa Uingereza, Ubalozi wa Japan na Jumuiya ya nchi za Ulaya za kutotaka kuutambua uchaguzi huu uliopita kuwa haukuwa na viwango vya kuitwa ni uchaguzi uliokuwa Huru na Haki........"

Hiyo mada uliyoweka hapo ulikuwa unamaanisha au unatania?
Je, wewe ni Mtanzania au mkazi wa ughaibuni?
Nchi gani duaniani, viongozi wa kisiasa hutoa haki uliyoikamia nje ya mfumo wa mahakama na kamisheni za kisheria?
Je, ni wapi ulishuhudia au kusikia kwa uhakika HAKI hutolewa bila WAJIBU? [Once you obligationary heed the law it is evident rights and justice is apparent to prevail]

Kushabikia kauli tata kutoka mataifa makubwa dhidi ya nchi yako au jirani yako ni upofu wa moyo na Roho ambapo madhara yake huwezi amini kama yatakuadhibu mwenyewe...
 
Kama waliweza kuitokomeza 'COVID-19' kwa sala; kuna jambo jingine lolote linaloweza kuwashinda hawa vipenzi wa 'mungu'?

Unauliza maswali ambayo kwao wanaona ni fursa ya kipekee kuonyesha dunia nzima uwezo mkubwa wa kiuongozi walionao wao.

Mkuu, jiandae tu kutoa sifa kemkem kutokana na mafanikio makubwa nchi yetu itakayoyapata katika miaka kumi hii au zaidi tutakayokuwa chini ya utawala uliotukuka kutoka kwa mwenyezi mungu mwenyewe.

Kama bado hujashiriki katika kusifia juu ya COVID-19, wakati wako ni huu kujiunga na wapiga zumari waliomo humu JF.
 
#Uzalendo ni Kazi

".......
Nimesikia fununu kuwa wafadhili mbalimbali, ambao ndiyo huwa wanatufadhili kwa kiasi kinachokadiriwa cha shilingi trilioni 2 kila mwaka "wanakomalia" kuwa ni lazima sharti hilo litimizwe ndipo walete hayo mapesa yao.

Tumesikia kauli zilizotolewa na washirika mbalimbali wakiwemo Umoja wa mataifa, Ubalozi wa Matekani, Ubalozi wa Uingereza, Ubalozi wa Japan na Jumuiya ya nchi za Ulaya za kutotaka kuutambua uchaguzi huu uliopita kuwa haukuwa na viwango vya kuitwa ni uchaguzi uliokuwa Huru na Haki........"

Hiyo mada uliyoweka hapo ulikuwa unamaanisha au unatania?
Je, wewe ni Mtanzania au mkazi wa ughaibuni?
Nchi gani duaniani, viongozi wa kisiasa hutoa haki uliyoikamia nje ya mfumo wa mahakama na kamisheni za kisheria?
Je, ni wapi ulishuhudia au kusikia kwa uhakika HAKI hutolewa bila WAJIBU? [Once you obligationary heed the law it is evident rights and justice is apparent to prevail]

Kushabikia kauli tata kutoka mataifa makubwa dhidi ya nchi yako au jirani yako ni upofu wa moyo na Roho ambapo madhara yake huwezi amini kama yatakuadhibu mwenyewe...
Looo, nimekusoma kwa mara ya kwanza kabisa mkuu, hapa JF.

Naona wewe ni zao la juhudi hizi 'Mpya' zinazoonekana kila sehemu, juhudi za kupindisha kila kitu au kupotosha kila kitu ari mradi kutetea lolote.

Hiyo HAKI hapo uliyoiandika, na hicho kizungu chake kimenifunza machache juu yako. Endelea na juhudi mkuu, bado kungali mapema.
 
Kwanini wasiminywe hao waliosababisha uchaguzi kutokuwa huru na wa haki na sisi Wengine tukaachwa?
 
Nchi yetu iko katika mfumo wa vyama vingi kama inavyobainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1)

Kwa Bahati mbaya sana, ingawa Katiba ya nchi inatamka hivyo, watawala wetu wanaonekana kabisa ni watu wasioutaka kabisa mfumo wa vyama vingi na wanatulazimisha watanzania wote turejee kwenye mfumo Wa Chama kimoja cha CCM.

Ushahidi wa wazi ni namna uchaguzi mkuu uliopita ulivyoendeshwa, hadi kutolewa matokeo ya mwisho, ambayo yamempa ushindi Wa asilimia zaidi ya 84, mgombea wake John Pombe Magufuli na kujizolea viti 262 vya ubunge kati ya viti 264!

Sasa kazi ipo katika uundwaji wa Kamati za Bunge, ambapo inatakiwa:-

1. Kamati za hesabu za serikali (PAC)
2. Kamati ya mashirika ya Umma (POAC)
3. Kamati ya serikali za mitaa (LAAC) ni "lazima" ziongozwe na wabunge wa upinzani.

Swali kubwa wanalojiuliza watawala je watawapataje wabunge hao wa upinzani wakati wnyewe ndiyo "waliouvuruga" uchaguzi huo hadi kutopatikana kabisa wabunge hao wa upinzani?

Nimesikia fununu kuwa wafadhili mbalimbali, ambao ndiyo huwa wanatufadhili kwa kiasi kinachokadiriwa cha shilingi trilioni 2 kila mwaka "wanakomalia" kuwa ni lazima sharti hilo litimizwe ndipo walete hayo mapesa yao.

Tumesikia kauli zilizotolewa na washirika mbalimbali wakiwemo Umoja wa mataifa, Ubalozi wa Matekani, Ubalozi wa Uingereza, Ubalozi wa Japan na Jumuiya ya nchi za Ulaya za kutotaka kuutambua uchaguzi huu uliopita kuwa haukuwa na viwango vya kuitwa ni uchaguzi uliokuwa Huru na Haki.

Je, nchi yetu ambayo imegeuka kuwa ombaomba, japo "inajimwambafai" kuwa inaweza kuwa "donor country" itaweza kumudu kuendesha shughuli zake bila kuwategemea hao wafadhili?

Swali muhimu ambalo tunapaswa tujiulize wananchi wote Wa nchi hii, je nchi yetu itakuwa imefuata njia iliyopitia Zimbabwe kwa kuyafanya maisha ya kila Mtanzania kuwa magumu mno kutokana na kiburi cha watawala wetu wa kutaka mfumo wa chama kimoja ambapo ni kinyume cha Katiba ya nchi?
Mkuu tutazabuliwa mpaka tukome, no way out, tutakula dagaa, mpaka mboga zingine kama China, japo sio wote tutaumia, asilimia kubwa tutajuta kuzaliwa.

Kazi ya elfu kumi tutaifanya kwa elfu 3,

Mpaka kuchoma hapa tutakua hoi.
 
Wakafanye kazi. Kwani siku zote walikuwa wanakuja kula kwako? Mna kopi na kupest slogan za ki fala na mhutu wenu,a eti hapa kazi, aliyekuwa anakula kwake nani. Hizo Ni akili za wasio enda sunna.
Pole kamanda uchwara ha ha ha aaa....sasa Kamanda acha " kujichechemesha " kafanye kazi. Neno "uchwara" limetumika kiutani kwa sababu hukuingia barabarani kamanda.

Sasa utani pembeni. Mkuu nakupongeza sana kwa kutii sheria bila shuruti. Ndiyo utanzania huo.

Ushauri kwako, punguza jazba mkuu unapoambiwa ukweli. Ukweli utakuponya ugonjwa wa uongo ambao kuna mwanasiasa kauneza kwa baadhi ya vijana najana kakimbia na mikwara yake yote!

Siamini kama anakimbilia mvinyo wa bure, maana hata mvinyo wa Dodoma tungemnunulia tu! Ha hahaha!
 
Nchi yetu iko katika mfumo wa vyama vingi kama inavyobainishwa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ibara ya 3(1)

Kwa Bahati mbaya sana, ingawa Katiba ya nchi inatamka hivyo, watawala wetu wanaonekana kabisa ni watu wasioutaka kabisa mfumo wa vyama vingi na wanatulazimisha watanzania wote turejee kwenye mfumo Wa Chama kimoja cha CCM.

Ushahidi wa wazi ni namna uchaguzi mkuu uliopita ulivyoendeshwa, hadi kutolewa matokeo ya mwisho, ambayo yamempa ushindi Wa asilimia zaidi ya 84, mgombea wake John Pombe Magufuli na kujizolea viti 262 vya ubunge kati ya viti 264!

Sasa kazi ipo katika uundwaji wa Kamati za Bunge, ambapo inatakiwa:-

1. Kamati za hesabu za serikali (PAC)
2. Kamati ya mashirika ya Umma (POAC)
3. Kamati ya serikali za mitaa (LAAC) ni "lazima" ziongozwe na wabunge wa upinzani.

Swali kubwa wanalojiuliza watawala je watawapataje wabunge hao wa upinzani wakati wnyewe ndiyo "waliouvuruga" uchaguzi huo hadi kutopatikana kabisa wabunge hao wa upinzani?

Nimesikia fununu kuwa wafadhili mbalimbali, ambao ndiyo huwa wanatufadhili kwa kiasi kinachokadiriwa cha shilingi trilioni 2 kila mwaka "wanakomalia" kuwa ni lazima sharti hilo litimizwe ndipo walete hayo mapesa yao.

Tumesikia kauli zilizotolewa na washirika mbalimbali wakiwemo Umoja wa mataifa, Ubalozi wa Matekani, Ubalozi wa Uingereza, Ubalozi wa Japan na Jumuiya ya nchi za Ulaya za kutotaka kuutambua uchaguzi huu uliopita kuwa haukuwa na viwango vya kuitwa ni uchaguzi uliokuwa Huru na Haki.

Je, nchi yetu ambayo imegeuka kuwa ombaomba, japo "inajimwambafai" kuwa inaweza kuwa "donor country" itaweza kumudu kuendesha shughuli zake bila kuwategemea hao wafadhili?

Swali muhimu ambalo tunapaswa tujiulize wananchi wote Wa nchi hii, je nchi yetu itakuwa imefuata njia iliyopitia Zimbabwe kwa kuyafanya maisha ya kila Mtanzania kuwa magumu mno kutokana na kiburi cha watawala wetu wa kutaka mfumo wa chama kimoja ambapo ni kinyume cha Katiba ya nchi?
Wewe endelea kusikia tu
Binge litafanya kazi yake
Na serikali itafanya kazi, na maendeleo tutapata
Nyie mlimtafuta mgombea hopeless, matusi na kejeri, mnafikiri suala la kura ni kitu cha mchezomchezo?

Tafuteni namna ya kujenga chama, malalamiko hayatasaidia
 
Kura feki zingepitia wapi wakati tayari Lissu kashatuhakikishia hakuna kura feki wala figisu inaharibu utaratibu wa uchaguzi wa mwaka huu!? Na akaongeza kuwa dunia inafuatilia kila kitu kinachoendelea hapa nchini.

Ni wiki na ushee sasa uchaguzi umepita. Dunia imenyamaza wala haizungumzii habari za kura feki wa kura za mabegi! Ila ninyi tu mmejificha kwa uongo mliofundishwa na Antipasu ilikuficha aibu ya matokeo yenu ya uchaguzi. Mpone sasa muanze kufanya kazi acheni kujichechemesha!
Huyo Lissu kuweza kupata hata hizo kura milioni moja na ushee ni mafanikio makubwa kwake.

Tangu September 2017 yupo hospitalini asingeweza kushindana na mtu aliyekuwa kazini tangu 2015 tena hasafiri nje ya Africa.
 
Back
Top Bottom