Kuenguliwa kwa wagombea kuwe funzo kwa Vyama vya Siasa

Kuenguliwa kwa wagombea kuwe funzo kwa Vyama vya Siasa

Kabulala

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2019
Posts
695
Reaction score
936
Nimewasikia Viongozi wa vyama vya Siasa wakipaza sauti na kuwahamasisha wananchi waandamane nchi nzima kupinga kuenguliwa Kwa wagombea wao. Unawezaje kumconvince MTU akampambanie MTU ambaye sio chaguo lake?

Zamani wananchi ndio walikua wanawaomba watu wakawawakilishe kutokana na mahitaji Yao,lakini siku hizi Viongozi mnawaperekea wananchi watu mnaowajua na kuwataka nyie kutoka makao makuu(Dar). Wagombea wenu wakifanyiwa figisu ni Ngumu kuwapambania kwani sio choices za wananchi.

Vyama vibadirike, waacheni wananchi wamtafute Mwakilishi wao badala ya kuwaperekea mapandikizi. People will always fight for/support their own.
 
Hivi umejaribu kutafakari kwa kina kwanini enzi za chama kimoja hakuna mgombea aliyewahi kuenguliwa na sasa enzi za vyama vingi wagombea wa upinzani hasa wa Chadema na ACT wanaenguliwa na hivyo wale was maccm kutangazwa eti wamepita bila KUPINGWA!?
 
Ungejua hiyo Sheria inayotumika kuengua imetungwa na kuanzia kutumia lini ingekusaidia Sana.
 
Acha ujinga hiyo sheria ni ya KIBAGUZI ili kushinda kiharamu hata wakati wa chama kimoja hakuna mgombea aliyewahi kuenguliwa na cha kustaajabisha hakuna mgombea yeyote wa maccm aliyewahi kuenguliwa.

Ungejua hiyo Sheria inayotumika kuengua imetungwa na kuanzia kutumia lini ingekusaidia Sana.
 
Mapingamizi kwa mgombea wa ccm yalitupwa bila maelezo wala maswali kutoka kwa Waandishi wa habari walioalikwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi.

KWA NINI?
 
Back
Top Bottom